Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Mwehu huyo, huyu wa sasa alipewa na nani? Maana wakati anakagua bado hayati alikuwepo
Huyu sio mnafiki.Ni mtu msomi na hata wewe na mimi wakati wa awamu ya 5 tusingethubutu hata kuandika hapa.Sasa tunaambiwa ukweli tunaanza kulalama.Uliza huyu Profesa Assad kabla ya kuteuliwa na Mh Kikwete alikuwa anashughulika na nini?Mabilioni yamepotea katika mazingira ya kawaida tu.kila mtu alikuwa anachota anavyotaka.Isitoshe kafukuzwa kazi bila ya mwajiri wake kufuata katiba.Rejea kauli ya Profesa Shivji.TUKUBALI AU TUKATAE AWAMU YA 5 ILIKUWA NA MADUDU KULIKO AWAMU ZOTE ZILIZOTANGULIA.
 
Kawaida ukishastaafu au kuondoka kwenye nafasi yako usipende kuongelea mambo ya ofisi uliyokuwa

Ulishamalizana nao basi.sababu wakikubana ukasema una ushahidi ukienda ofisini kuomba hata barua labda hawakupi.Si sahihi sana ukishatoka kuongelea mambo ya ofisi ulikokuwa achana nayo endelea na maisha mengine
MUSA Assad conference yake ilihusisha wasomi wa vyuo mbalimbali kutoka nchi mbalimbali kama utajaaliwa kutazama kipindi cha q n a hivyo hakulenga ofisi aliyohudumu kwa muda hebu tuichukue positive
 
Kawaida ukishastaafu au kuondoka kwenye nafasi yako usipende kuongelea mambo ya ofisi uliyokuwa

Ulishamalizana nao basi.sababu wakikubana ukasema una ushahidi ukienda ofisini kuomba hata barua labda hawakupi.Si sahihi sana ukishatoka kuongelea mambo ya ofisi ulikokuwa achana nayo endelea na maisha mengine
HiHii ni Kinyume na Kiapo chake
 
Marehemu akifa husingiziwa mengi sababu hawezi kutoka aliko kujitetea .Tutasikia mengi.Kila mtu akijinadibu ohhh matehemu.msrehemu alisema ohh !!!
Alikuwepo Baba wa Taifa. Alilitumikia Taifa kwa muda mrefu kuliko Rais yeyote. Alikuwepo Mkapa, na wengineo kama mzee Kawawa, Aboud Jumbe, Abdul Wakili - wote wametangulia mbele za haki. Lakini hakuna ambaye baada ya kuondoka kwake, maneno yalikuwa hivi!!
 
Kukabidhi ofisi ya CAG hakukuvui Utanzania, hakumvui Taaluma yake, hakumvui ulipaji kodi, sababu zote hizo zinamfanya awe na haki ya kuh
Anajisahau kuwa alusha hand over office ya CAG kwa mtu mwingine.Unspo hand over una hand over kils kitu ikiwemo reports .Sasa kama ali hand over report kuwa hakupewa document fulani hiyo inakuwa jukumu la CAG mpya kulichukulia kama pending work
Alisha hand over a shut up kuongelea ya office ya CAG amwachie aliyepo ayaongelee.Hana Authority ya kuongelea mambo ya ofisi ya CAG akiwa alishatoka.Alikabidhi basi
 
Kuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji. Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.
Unajua umeandika nini SHEKHE?
 
Yule Kenge Mfu na ameshaoza sasa hivi, alikuwa anatumia vitisho na mauaji kuiba
Ametaka kumuua Lisu, Ameshaua Ben Saanane, Azory Gwanda, na wengine wengi waliopotea kwa mazingira ya kutatanisha na watu wasiojulikana
Prof. Assad, yuko sawa kwa kuhofia maisha yake, na sasa ndio muda muafaka kuongea ukweli
Kenge Mzoga Mfu ameshaoza sasa, kwa hiyo maisha yanaenda mbele, tumeshamsau.
Mh hebu kuwa na hofu ya Mungu. Hata wewe ni Mzoga mtarajiwa! Unajua umebakisha mda gani wa Kuringa hapa Duniani? Have some Respect yule ni Baba wa mtu na wanaumia kuona such Comments kwa Mzazi wao.
 
Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini

Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga

Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua

Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu

Huyu ni msomi mzuri tu, lkn naye anaingia kwenye mtego wa wanasiasa kina mlongo, kigwangala, lisu, wasira, nk
 
kwani aliyemtoa bila kufuata utaratibu hakujua viapo acha ujuha wewe au ndio nyie baada ya malaika wa chato kufwa mnahangaika kudandia kila kitu wala hamjijui kama ni wa kike ama wakiume , mitano tena nasema kwa marehemu jiwe
We Ku.ma endelea kuhangaika na mitandao mi nilikua sitegemei Mtu mzee Salary yangu inangia kila mwezi na enjoy maisha hii nafasi niliopo hata aje Rais gani nitaendelea ku enjoy na kula bata
 
Wote wanaotetea huu wizi wa awamu ya tano, hawaamini kama ameshakufa Kenge mwizi
Kwa taarifa tu, ameshaoza mpaka sasa muda huu
Na tunataka audit zote mpaka tutamvua mpaka suti aliyozikiwa kama ni ya wizi
CAG wa sasa ameshavua mpaka chupi aliyozikiwa
Na Huo mzoga mpaka ukweli wote wa wizi unapatikana atakuwa uchi kaburini
 
Back
Top Bottom