Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,443
- 2,643
Prof Assad ndiye msomi pekee amenifanya nitamani kuwa Prof
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu sio mnafiki.Ni mtu msomi na hata wewe na mimi wakati wa awamu ya 5 tusingethubutu hata kuandika hapa.Sasa tunaambiwa ukweli tunaanza kulalama.Uliza huyu Profesa Assad kabla ya kuteuliwa na Mh Kikwete alikuwa anashughulika na nini?Mabilioni yamepotea katika mazingira ya kawaida tu.kila mtu alikuwa anachota anavyotaka.Isitoshe kafukuzwa kazi bila ya mwajiri wake kufuata katiba.Rejea kauli ya Profesa Shivji.TUKUBALI AU TUKATAE AWAMU YA 5 ILIKUWA NA MADUDU KULIKO AWAMU ZOTE ZILIZOTANGULIA.Mwehu huyo, huyu wa sasa alipewa na nani? Maana wakati anakagua bado hayati alikuwepo
MUSA Assad conference yake ilihusisha wasomi wa vyuo mbalimbali kutoka nchi mbalimbali kama utajaaliwa kutazama kipindi cha q n a hivyo hakulenga ofisi aliyohudumu kwa muda hebu tuichukue positiveKawaida ukishastaafu au kuondoka kwenye nafasi yako usipende kuongelea mambo ya ofisi uliyokuwa
Ulishamalizana nao basi.sababu wakikubana ukasema una ushahidi ukienda ofisini kuomba hata barua labda hawakupi.Si sahihi sana ukishatoka kuongelea mambo ya ofisi ulikokuwa achana nayo endelea na maisha mengine
Nimecheka balaa Longido boy.Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.
Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
HiHii ni Kinyume na Kiapo chakeKawaida ukishastaafu au kuondoka kwenye nafasi yako usipende kuongelea mambo ya ofisi uliyokuwa
Ulishamalizana nao basi.sababu wakikubana ukasema una ushahidi ukienda ofisini kuomba hata barua labda hawakupi.Si sahihi sana ukishatoka kuongelea mambo ya ofisi ulikokuwa achana nayo endelea na maisha mengine
Alikuwepo Baba wa Taifa. Alilitumikia Taifa kwa muda mrefu kuliko Rais yeyote. Alikuwepo Mkapa, na wengineo kama mzee Kawawa, Aboud Jumbe, Abdul Wakili - wote wametangulia mbele za haki. Lakini hakuna ambaye baada ya kuondoka kwake, maneno yalikuwa hivi!!Marehemu akifa husingiziwa mengi sababu hawezi kutoka aliko kujitetea .Tutasikia mengi.Kila mtu akijinadibu ohhh matehemu.msrehemu alisema ohh !!!
Anajisahau kuwa alusha hand over office ya CAG kwa mtu mwingine.Unspo hand over una hand over kils kitu ikiwemo reports .Sasa kama ali hand over report kuwa hakupewa document fulani hiyo inakuwa jukumu la CAG mpya kulichukulia kama pending workKukabidhi ofisi ya CAG hakukuvui Utanzania, hakumvui Taaluma yake, hakumvui ulipaji kodi, sababu zote hizo zinamfanya awe na haki ya kuh
Unajua umeandika nini SHEKHE?Kuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji. Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.
kwani aliyemtoa bila kufuata utaratibu hakujua viapo acha ujuha wewe au ndio nyie baada ya malaika wa chato kufwa mnahangaika kudandia kila kitu wala hamjijui kama ni wa kike ama wakiume , mitano tena nasema kwa marehemu jiweHiHii ni Kinyume na Kiapo chake
Mh hebu kuwa na hofu ya Mungu. Hata wewe ni Mzoga mtarajiwa! Unajua umebakisha mda gani wa Kuringa hapa Duniani? Have some Respect yule ni Baba wa mtu na wanaumia kuona such Comments kwa Mzazi wao.Yule Kenge Mfu na ameshaoza sasa hivi, alikuwa anatumia vitisho na mauaji kuiba
Ametaka kumuua Lisu, Ameshaua Ben Saanane, Azory Gwanda, na wengine wengi waliopotea kwa mazingira ya kutatanisha na watu wasiojulikana
Prof. Assad, yuko sawa kwa kuhofia maisha yake, na sasa ndio muda muafaka kuongea ukweli
Kenge Mzoga Mfu ameshaoza sasa, kwa hiyo maisha yanaenda mbele, tumeshamsau.
Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini
Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga
Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua
Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu
We Ku.ma endelea kuhangaika na mitandao mi nilikua sitegemei Mtu mzee Salary yangu inangia kila mwezi na enjoy maisha hii nafasi niliopo hata aje Rais gani nitaendelea ku enjoy na kula batakwani aliyemtoa bila kufuata utaratibu hakujua viapo acha ujuha wewe au ndio nyie baada ya malaika wa chato kufwa mnahangaika kudandia kila kitu wala hamjijui kama ni wa kike ama wakiume , mitano tena nasema kwa marehemu jiwe
Wewe ndo uko na hasira juu ya ASSAD pale anapomgusa mungu wenu wanyonge. Pelekeni hasira chato au hujui alikozikwa wakupeleke.Huyu mzee aache ujinga, hasira zake akae nazo nyumbani.. aachae kutumika kisiasa.
Anatumika na nani ?Huyu mzee aache ujinga, hasira zake akae nazo nyumbani.. aachae kutumika kisiasa.
Hamjui kitu. Kwahiyo hata kama ni upumbavu usisemwe kisa ni wa SERIKALI na ufanye SIRI. WEWE NI MPUMBAVU NA BONGE LA FALA KAMA SI MSENGEREMAVery incompetent CAG ndio maana wakamtimua anabaki kutafuta huruma tu kwenye media.