Prof. Mwandosya ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA

Aisee!!? Hiv sifa za kuwa mwenyekiti wa hizo bodi huwa ni zipi?
 


========

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mark James Mwandosya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Prof. Mwandosya anachukua nafasi ya Prof. Jamidu Hazzam Yahaya ambaye amemalizia muda wake. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Agosti, 2022.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…