Prof. Mwandosya ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA

Prof. Mwandosya ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA

Huyo anaweza kusimamia nini? Ashajichokea hana lolote ni ujinga tu!
Mjinga ni wewe unayemdharau Prof Mwandosya ambaye mchango wake katika Taifa la Tanzania haubishaniwi. Pole sana
 
Ana kitu gani adimu na kigeni kukileta kwenye utumishi wa umma huyu babu? Ulaghai tu wa kisiasa unaotafutwa kuungwa mkono na watu wa kanda ya nyanda za juu kusini hasa Rungwe anakotokea
Huwa hajisifu kwa usomi wake wa kweli.
Kina Mwigulu waliopata PhD za kuunga unga, kutwa kujisifu.
Vile vile ni Mwadilifu sana.
 
Mjinga ni wewe unayemdharau Prof Mwandosya ambaye mchango wake katika Taifa la Tanzania haubishaniwi. Pole sana
Wewe mpuuzi tu anamchango gani huyo mzee? Alitaka kuwa Rais yakamshinda ni kundi la wazee wanafiki wasiojitabua!
 
Huwa hajisifu kwa usimi wake wa kweli.
Kina Mwigulu waliopata PhD za kuunga unga, kutwa kujisifu.
Vile vile ni Mwadilifu sana.
PHD ya Mwandosya imeleta nini hata huko Mbeya ambapo ni majumba ya tope na mji kama zizi!
 
View attachment 2328299

========

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mark James Mwandosya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Prof. Mwandosya anachukua nafasi ya Prof. Jamidu Hazzam Yahaya ambaye amemalizia muda wake. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Agosti, 2022.

View attachment 2328277
Asante kwa kutafsiri kwa kiswahili
 
She is doing good, you can't leave intellectual man like prof. M . J . Mwandosya out of the system. Nchi hii Iko matatizo mengi wanazuoni kama hawa tunatakiwa kuwa tumia vema kwenye kutoa ushauri mbali mbali kwa Taifa.kongole kwake mama yetu
Acha ujinga wewe kila kitu kina wakati wake,amekuwa Serikalini toka mwaka 1980 kitu gani kipya ameleta?
 
Nchi inakua kwaajili ya watu flani hivi.
 
Acha ujinga wewe kila kitu kina wakati wake,amekuwa Serikalini toka mwaka 1980 kitu gani kipya ameleta?
Mjinga familia Yako, huwezi kutoa maoni Yako bila kutusi wengine! Maoni yangu so Lazima ya fanane na Yako. Wambie wakuteue wewe uliyeenza kazi jana. Mwanakwenda wewe
 
Wewe mpuuzi tu anamchango gani huyo mzee? Alitaka kuwa Rais yakamshinda ni kundi la wazee wanafiki wasiojitabua!
Unampuuza usiyemjua. Nenda UDSM kaangalie machapisho yake na kahesabu wahitimu wa electrical kwenye kitivo ambao amewadindisha. Ila sidhani kama unanielewa maana JF Ina mbumbumbu wengi pia
 
Karibu mwamba! karibu sana kuna uchafu mwingi sana hasa ktk bulk procurement ya mafuta
Vunja huo upuuzi ila najua utapata upinzani mkubwa sana hasa hapo wizarani
 
Watu hawateuliwi hivihivi,wewe endelea kusema sisi vijana hatuteuliwi,uteuliwe kwa CV gani na umeshawahi kuleta impact gani kwenye jamii kwa usomi wako!!
 

Attachments

  • image_c9bafe12-cfae-4b57-8134-6f01bc4bb39720220820_185828.jpg
    image_c9bafe12-cfae-4b57-8134-6f01bc4bb39720220820_185828.jpg
    52 KB · Views: 3
Back
Top Bottom