Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Mimi najiuliza, wenyewe huwa hawapendi kupumzika na kupata maisha ya utulivu? Maana yake kama ni pesa ni mamilionea, na bado wanalipwa pensheni za mamilioni ya pesa hadi kufa kwao, nini shida hadi uanze kuhangaika na mavikao ya bodi ili hali umezeeka?Hivi hawa wanasiasa hua hawanaga kustaafu
Raisi haoni watu wengine ambao hawajalitumikia taifa na wao walitumikie?
This is not fair!