Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Mimi najiuliza, wenyewe huwa hawapendi kupumzika na kupata maisha ya utulivu? Maana yake kama ni pesa ni mamilionea, na bado wanalipwa pensheni za mamilioni ya pesa hadi kufa kwao, nini shida hadi uanze kuhangaika na mavikao ya bodi ili hali umezeeka?Hivi hawa wanasiasa hua hawanaga kustaafu
Huyu mzee wangempumzisha tu keshajichokea na afya imedhoofu, anakuja na mawazo gani chanya hapo EWURA hasa kipindi hiki cha bei za nishati kupaa duniani??
Kalipwa baada ya kazi kukamilika
Uzee na kufilisika!Aisee!!? Hiv sifa za kuwa mwenyekiti wa hizo bodi huwa ni zipi?
Hata mimi naweza kuwa we mjinga bila kuwa nna ushahidi.Mwadilifu mtu mwenye kiburi, kujikweza, majivuno na dharau?
Edwin Mtei kamsema vibaya Nyerere kwenye "From Goatherd To Governor", na watu tumenunua kitabu.Asante mama Samia maana Huyu Mzee nusula apitiwe na kipanga kiarusi jaman stress we Dunia ya leo uandike kitabu dhidi ya Nyerere nani ananunua?
Katuwekea muktadha kwa historia na wasifu wa Mwandosya.Kulikuwa na haja gani kuelezea tofauti zake na Magufuli??
Hivi maana ya kustaafu ni nini hasa katika nchi za ulimwengu wa tatu????
Halafu na wewe mtoa mada uanze kukua. Badala ya kuandika shida wanazopitia Watanzania unasifia tu.
Hayo machapisho yake ya makaratasi yana tija gani kwa wananchi na nchi kwa ujumja tangu aingie kwenye siasa kupitia ukatibu mkuu na baadae uwaziri?Unampuuza usiyemjua. Nenda UDSM kaangalie machapisho yake na kahesabu wahitimu wa electrical kwenye kitivo ambao amewadindisha. Ila sidhani kama unanielewa maana JF Ina mbumbumbu wengi pia
Kama hujafika elimu ya chuo kikuu basi una bahati mbaya. Lakini Prof Mwandosya yuko kwenye top 10 scientists of all times in Tanzania. Machapisho yake yako kwenye solar energy.Hayo machapisho yake ya makaratasi yana tija gani kwa wananchi na nchi kwa ujumja tangu aingie kwenye siasa kupitia ukatibu mkuu na baadae uwaziri?
Unataka kusema yeye ndio mwenye akili sana kuzidi vijana wengi ambao wamehitimu na kufikia shahada za juu lakini wanabezwa kupewa hizo kazi ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia ya sayansi?
Sasa prof na JK mbona waliokuwa na bifu toka enzi za ruksa au bifu liliisha ila binafsi namkubali Sana.Sasa naamini rimoti ni msoga
Rubbish, you must be addicted to his arroganceKama hujafika elimu ya chuo kikuu basi una bahati mbaya. Lakini Prof Mwandosya yuko kwenye top 10 scientists of all times in Tanzania. Machapisho yake yako kwenye solar energy.
Wewe endela tu kula makande na kuvuta bangi chooni
Tena walituabisha, watukana na kudharau wazee kisa nafasi walizo nazo, walituchongea na wanatuchongea mpaka sasa kwamba wenzao hatufai ila wao. Watajibeba unazandiki wao...Mkuu,vijana walipewa nafasi awamu il'opita,matokeo yake ni aibu!
Kuwa mvimilivu na maoni ya mwenzako, Kila mtu anasutairi heshima ya mawazo yake sio kutukana nana. Vijana ndio tutapewa kweli teusi kwa kushindwa kiheshimu mawazo ya wengine kama hivi kweli!!!Rubbish, you must be addicted to his arrogance