TANZIA Prof. Mwesiga Baregu afariki dunia

TANZIA Prof. Mwesiga Baregu afariki dunia

R.I.P Prof,safari ni yetu sote.na sote tutafuata. Ila yote kwa yote ni kazi ya mola. pumzika kwa Neema ya Bwana.

Mpambanaji wa kweli
 
Barukh atah Adonai Eloheinu melekh ha'olam, dayan ha-emet.

Mungu Baba wa Mbinguni akuweke miongoni mwa wateule wake wa Sayuni. Naye akufanye katika wale watakao furahi mbele ya uso wako wakikusifu na kukutumikia Milele na Milele Amina
 
A towering figure.

May all beings attain enlightenment.
 
Hakika ni masikitiko makubwa ,tunaomba Mwenyezi Mungu apumzishe roho yake mahali pema peponi Amina
 
Rest in peace Prof. Sijawezapata record yako ya Mlimani zaidi ya kuwa Mwanasiasa niliyekupenda sana kwa usomi wako ukasimama na wachache wanaodai haki. Hukupenda madaraka huko upinzani bali ulitumia elimu yako kwa Faida ya wanamageuzi wote
 
Back
Top Bottom