Whiteman confusing
JF-Expert Member
- Sep 12, 2020
- 328
- 279
R.I.P Prof,safari ni yetu sote.na sote tutafuata. Ila yote kwa yote ni kazi ya mola. pumzika kwa Neema ya Bwana.
Mpambanaji wa kweli
Mpambanaji wa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitahangaika na mamlukiWewe mbona unampigia magoti Dj?
View attachment 1816939
Ni habari mbaya ambayo imetokea muda si mrefu.
Aliyekuwa Mhadhiri wa Vyuo Vikuu mbalimbali nchini, Prof. Mwesiga Baregu amefariki dunia mapema leo.
Prof. Baregu alikuwa pia Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA.
Pia Soma: Prof. Baregu alifukuzwa UDSM kwa sababu za kisiasa, huku Bashiru akiachwa kwakuwa ni CCM
Ni msomi pekee aliekuwa pale chadema!Uliijua haki na haki ikakujua, pumzika sasa mpambanaji.