Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

Kwa hilo jina hapindui anachukuliwa hatua, namjua huyo mama ana aleji na majina hayo
 
Duu uzao wake na ...nda una mahusiano gani na elimu ya utawala ambayo anaikosa !

Ni vyema mkaandika barua kwenda kwa mhusika
Huku social media haitamfikia
 
Hapo Tamisemi ndio inahusika na si Ndalichako.

Hao Maafisa Elimu wanapatikanaje? Huku kwetu Singida kuna wilaya moja mwanadada naye ni shida tupu!
Baadhi yao wakishapata vyeo/pesa basi ni shida
Ndio maana usimweleze mshahara wako...
 
alichelewa dakika 20 tu na changΓ moto za Barabara za vijijini zinajulikana.
Kama changamoto za barabara za vijijini zinajulikana basi hamna udhuru wa kuchelewa, wahi kuondoka au hama huko uliko kilomita 120 mbali na kazi. Kumbe hapendwi kwa vile anawatia disiplini wasiowajibika? Dada Zainab tuko pamoja!
 
Wazo zuri sana, maana kwa madudu kama haya mpaka Rais aje kuona mambo haya JF sio leo,
 
Wewe unaogopa nini kubadilisha uongozi kama unafanya madudu, watabadilishwa tu mpaka apatikane anaefaa, usiangalie historia haikusaidi, haiwezekana malalamiko kila mtu amlalamikie, kuna shida hapo
 
Inaumiza kweli
 
Lotto acha upuppet walimu wote wanakufahamu kuwa wewe ni informer Wa hao mbweha wako,dawa yako inapoa utainywa soon!
 
Nimefanyanae kazi vizuri tu hapa Kongwa, na kaenda huko chamwino akitokea hapa.
Kwa ninavyomfahamu, hayuko hivyo anavyoandikwa!

Nasisitiza wewe ni MTU Wa kujikomba mnafiki mkubwa ndiye informar wao,Wa kuwapeleka taarifa walimu wote wanakujua na pengine hujatumwa kutetea ni tabia yako ya kujikomba ukombolewe unajitahidi kubadil ID lakini kwakuwa mshamba na mbumbumbu,anaepaswa kusema huyo mwajuma ndala ndefu wako anaonewa ni waziri anaeombwa amchunguze sio wewe mla mbwa Wa Iringa.sasa kanusha kama si kweli yule mwalimu anaejitangaza kazaa na pinda ni shoga na afisa elimu wako imefikia mahali anamsumbua Mwl Mkuu wake anaenda kazini muda anaotaka kisa shoga wa afisa elimu ukipata muda kamuulize Mwl Mkuu Buigiri mission Fanya kazi kijana acha nidhamu ya kujikomba.
 
Nawahakikishia afisa elimu huyu hayupo kama mnavyosema na majungu hayana nafasi kwa kiongozi huyu.
Kazi unayojipa ambayo haina mshahara utaiona chungu muda c mrefu nafikili umezimis Boda Boda.kwa sasa wilaya ya Chamwino inahitaji nidhamu ya kiwango cha juu kwa heshima ya ikulu yetu ya jamuhuri ya muungano Wa Tanzania, walimu Wa Chamwino wanafanya kazi kwa hali na kujituma kwa heshima ya Rais na amir jeshi Mkuu sio huyo ngedere wako na watafanya vizuri zaidi hata asipokuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…