Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

Aisee haya maneno ni magumu sana kumtamkia binadamu mwenzako, mbaya zaidi yanatoka kwenye kinywa cha mwanamke.
 
Haaahaa mkuu umenifurahisha kweli, mimi kwa uelewa wangu usalama wa Taifa upo chini ya kila raia yaani unahaki ya kulinda Taifa lako bila malipo yeyote sio mpaka urasimishwe, Ila hilo la simu nadhani lingefaa sana raia tuwe na simu za baadhi ya idara hasa za mkuu wa jeshi la polisi maana huku wakati mwingine kuna uonevu mkubwa sana, mimi ni muhanga wa polisi, katika maisha yangu sikutegemea kama ningewahi ingizwa sero kutokana na malezi niyelelewa tangu utoto lakini niliwekwa ndani muda wa masaa matatu kisa nilikataa kutoa rushwa ya laki tano kuikomboa mali yetu waliyoichukua mbele yangu huku risiti ya kununulia nikiwa nayo, hapo ndio nilifahamu walioko maabusu wote hawana kosa na ki ukweli nilitamani sana nifikishe malalamiko yangu kwa RPC ila niliogopa biashara yangu ingepata misukosuko zaidi.
 
Mkuu mleta uzi mbona hajasema aondolewe? yeye kamuomba waziri hamchunguze.
 
Nilichogundua huyo mama huu uzi ameupata vyema ,Sasa ana haha huko aliko na kaamua kutafuta vijana wake waje kupoza makali ya huu uzi .

Kuna vijana kadhaa hapo juu wao Ni kutetea tu na kupinga .Niseme tu ww mama siku zako zinahesabika Sana na mpaka Sasa upo chini ya uangaliz wa Hali ya juu na watahojiwa watu mbal mbal Tena kimya kimya hapo chamwino hao ndio watatoa hukumu ya ww kubak hapo au kurud kwenye Kaz uliyosomea.

Kama umeonewa raia wataongea na Kama una vitabia vya aina hiyo basi jiandae na huenda yakaibuliwa had madudu yako ya ndani ya ofisin kwako.
 
Huyu atakuwa Mwamfupe tu, spy manywele mijitu mingine bhana ukuda had I mtaani
 
Mkuu mleta mada moja ya kasoro alizozungumzia NI kashfa ya mitihani STD 7.Je,hilo ni utekelezaji wa ilani ya CCM?
Kwa maoni yangu hizi ni tuhuma achunguzwe na Kama NI kweli achukuliwe hatua za kisheria,kimaadili na kinidhamu.
 
Mwl acha majungu. Unaitaka nafasi kupitia majungu!! Huipati ng'o
 
Yaani kumtongoza afisa elimu akasema atakuchukulia hatua imekubidi uandike majungu? Usilazimishe mapenzi
 
Naona mnakuja kujitetea wapumbavu nye
 
Naona umekuja kujitetea mwenyewe ,wewe ni mpuuzi tu chamwino tunakufahamu vizuri
 
Yaani kumtongoza afisa elimu akasema atakuchukulia hatua imekubidi uandike majungu? Usilazimishe mapenzi
Ona mnavyojianika kwa ujinga na upumbavu wenu hapa.
Kwan kutongoza Ni kosa kwa watu wazima?

Huyo Afisa asitongozwe yeye Ni Nan haswa?

Yaan watongozwe wakuu wa wilaya Kama Joketi alaf huyo kima Afisa Elimu Tena msingi asitongozwe?

Wakina joket tunawatongoza live live huko istagram na Kama hajakupenda anakwambia tu sipo tayal kwa Sasa.

Jibuni hoja achen utoto, huyo Afisa wenu lazima achunguzwe tu na mpaka Sasa uchunguz wa kimya kimya unaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…