Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

tatizo hoja zenu za utetezi kwa huyo kima wenu ni dhaifu mno kwanini amnamtetea asichunguzwe kwani kwenye serikali hii? Kwa ufupi hafai kuwa kwenye nafasi hiyo eneo ambapo ipo ikulu yetu ya jamhuri ya muungano pana heshima yake.
Lete Hoja mezani.

Pamoja na matusi na hasira bado huna Hoja.
Orodhesha makosa ya Zaina ili achunguzwe.

Hakuna mtu atafanyia kazi merely heresay.
Kima au ngedere saaaawa hatujakataa, mwite majina utakayo.

Ila weka Hoja mezani.
1.
2.
3.
4.
5.
Achana na hizi habari sijui za kukwapua mume wa mtu.
Kwa taarifa tu Prof na Zaina wala sio wa leo kuwa wewe ndo umelipua bomu, ni mumewe wa ndoa huyo.
So hii nayo sio habari.
Na wala haikuwa tu, as bado ni kitu binafsi hakihusiani na Ajira yako wala yake.
Lete Hoja Mwalimu!
 
Zainab sio jeuri.
Ni mkimya na mtaratibu mno.
Na ujeuri ni kanuni ipi ya Kitaaluma amekiuka?
Walimu na watumishi idea ya Elimu wana Tume yao ya Maadili.

Zainab amekiuka kanuni ipi miongoni mwao?
Huyu mleta uzi anasema mjeuri
Ndy nme m qoute tu

Ova
 
Mwandishi kaa uandike vizuri. Tabia zake zinazofanya asifae katika nafasi hiyo ni zipi.
 
Kama wamewekww mfukoni unataka kujua Nini
 
Naona una mtetea sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe lazima utakuwa na una maslahi nae bila chenga
 
Uchunguzi unaonesha maafisa elimu wengi hawana mume Ila michepuko

Eidha wanaliwa na wakurugenzi au wakuu wa idara Happ halmshauri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
tatizo hoja zenu za utetezi kwa huyo kima wenu ni dhaifu mno kwanini amnamtetea asichunguzwe kwani kwenye serikali hii? Kwa ufupi hafai kuwa kwenye nafasi hiyo eneo ambapo ipo ikulu yetu ya jamhuri ya muungano pana heshima yake.
Mwandishi hana hoja au tuhuma za kuchunguza.
 
Tatizo wote mnaomtetea labda hamjajipanga vizur au mnajifanya wehu,mimi nimemuomba waziri amchunguze yeye ndiye atakae jua msafi au hafai,pengine mngeungana na mimi basi kusisitiza achunguzwe ili huo umalidadi wake uwekwe wazi kuliko mnavyokuja kufinyanga maneno hapa,kumbuka afisa elimu huyu ndani ya ofisi yake anafanya kazi kwa ubaguzi kuna watu wake baadhi ndio anaenda nao sawa pia unaushogashoga na baadhi ya walimu ambao nao wanawasumbua walimu wakuu wao kisa shoga wa afisa elimu manawatishia mpaka kuwaamisha wenzao kisa shoga wa afisa elimu nenda kaulize buigiri mision shule ya msingi pale hiyo ni miongoni tu na ndio nyie mnaokuja na huo utetezi dhaifu achilia mbali lotto ambaye ni puppet na keherehere!!
 
Maybe uko right but path ya elimu ya mtu hai determine tabia yake na ethics.
Wako watu wamesoma from diploma to degree mpaka masters. Na wako vizur.. ni watu wasikivu sana sana.

Wapo waliosoma degree to Phd ni wasikivu sana.

Dharau mtu anakuwa nazo before. Haijalishi kasomea kiasi gani na kapita njia gani kutokea hapo.
 
Naona upo kazini!
 
Hana sifa ni sifa zipi za kuwa Afisa Elimu hana degree? wewe utakuwa ni mwl lakini unataka kuwa Afisa Elimu
 
Walimu wa praimari kwakulialia?!? Hamna mjanja mmoja amwombe afu mumvamie kumi? Hapo ataomba yeye kuhama...
Hamuwezi basi mlogeni... msitusumbue great thinkers tuache kujadili taifa tumuwaze mtoto wakike mrembo anayewatukana kizembe, tutawatukana nasisi hamna adabu.
 
Huna hoja ya msingi unajua.
Yani thread inafika page ya 8, na hutaweza simamisha Hoja zako.
Hata ukiweka mbele ya hizo mamlaka za kumuwajibisha huyu afisa Elimu ndo tutaongea hivi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Halafu wewe ni mwalimu.
Hebu jifunze kuandika kitu ueleweke.
Matusi hayakusaidii.

Orodhesha Hoja zako kwa kituo.
Weka ushahidi.
Haya maneno sijui wehu, ushoga ushoga sijui puppet nini mbona hujawasilisha kitu ndugu yangu.

Kaa chini,andika Hoja zako za msingi.
Wasilisha mahala husika.
Mi hata nikimtetea sina mamlaka ya kumchunguza wala kumuwajibisha Zaina.
Sawa?

Nenda kwenye forum husika, bwaga Hoja zako.
Wazifanyie kazi.
Kama una ushahidi mbona kila kitu kitakuwa wazi.
Hata uchunguzi hautakuwa na haja, ila kwa kuwa unaamini ukiniita mwehu, ukimwita Kishegwe mchepuko, sijui analeta ushoga ushoga.
Unaamini ndizo hoja.
Basi kila la kheri
Tatizo lako litatatuliwa.
 
Baadhi ya walimu wengi wakike ni matatizo tu huko mashuleni hasa wake wa viongozi.

Unakuta wamekalia majungu na vikundi vya umbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…