snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Lete Hoja mezani.tatizo hoja zenu za utetezi kwa huyo kima wenu ni dhaifu mno kwanini amnamtetea asichunguzwe kwani kwenye serikali hii? Kwa ufupi hafai kuwa kwenye nafasi hiyo eneo ambapo ipo ikulu yetu ya jamhuri ya muungano pana heshima yake.
Pamoja na matusi na hasira bado huna Hoja.
Orodhesha makosa ya Zaina ili achunguzwe.
Hakuna mtu atafanyia kazi merely heresay.
Kima au ngedere saaaawa hatujakataa, mwite majina utakayo.
Ila weka Hoja mezani.
1.
2.
3.
4.
5.
Achana na hizi habari sijui za kukwapua mume wa mtu.
Kwa taarifa tu Prof na Zaina wala sio wa leo kuwa wewe ndo umelipua bomu, ni mumewe wa ndoa huyo.
So hii nayo sio habari.
Na wala haikuwa tu, as bado ni kitu binafsi hakihusiani na Ajira yako wala yake.
Lete Hoja Mwalimu!