Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

Mungu akitaka kukuaibisha hata ufanyaje huna ujanja kuepuka!
 
Akili zemu nyepesi sana..
Mnangangania tafsiri yenu ndio iwe universal..?!

Kusema amepotea na kufa bado ni assumption sababu hakupatikana, sasa nyny vichwa panzi mshatengeneza script..
Sasa kama ni kupotea tu na haonekani utawezaje kusema mtu kafa...!
Kufa na kupotea ni vitu tofauti kabisa.
 
Mkuu rudia tena kuisikiliza hiyo clip vizuri....
 
unapomsoma na kumsikiliza Prof.Kabudi kama unamsikiliza Mbowe au Sugu lazima utoke kapa. that man ability is beyond your understanding, hivyo jitahidi kumuelewa zaidi
Hekima huwa inapatikana kutoka jalalani?
Kweli ccm mmekwisha,kwa kuwa na profesa wa sampuli hii
 
Aisee acha ujinga mkuu! Hivi wewe hapo una wasiwasi wa nini hasa?

Tuseme hata ukikaa na familia yako unaweza kabisa kuhofia maisha yako kwa lipi la kuitisha selikali ulilofanya?
 
katika mahojiano ya kiswahili hivi karibuni na BBC,Prof Kabudi ameeleza Azory ametoweka hakusema amekufa na latest information ndiyo yenye kuweka clear taarifa yenye mgogoro
 
Mungu akitaka kukuaibisha hata ufanyaje huna ujanja kuepuka!

Aiseee porofesa kabugi hapo alipotumia "and" kwenye ishu ya Azory..angetumia "or" wala huu uzi usingepandishwa hapa. Nadhani angesema [In the rufiji area, it is not only Azory who has disappeared OR died] ila aliposema "In the rufiji area, it is not only Azory who has disappeared AND died" hapo ndo ukakasi ulipoanzia....facial expression ya mwandishi tho.....mmmmhhh...Kabudi weeeee....Kama namuona Jiwe.
 
Exactly !

Amesema "Azori amepotea na amekufa"

Wasiojulikana wanazidi kujitokeza bila kujua...

Kajuaje Azori amededi??

Ndio maana akiitwa mpumbavu annashangilia??

Wasomi wa majalalani tabu sana
Umemaliza kwa hasira sana mkuu... Ila hawa morons called academicians wanatuharibia nchi kwa kweli...
 
Aiseee porofesa kabugi hapo alipotumia "and" kwenye ishu ya Azory..angetumia "or" wala huu uzi usingepandishwa hapa. Nadhani angesema [In the rufiji area, it is not only Azory who has disappeared OR died] ila aliposema "In the rufiji area, it is not only Azory who has disappeared AND died" hapo ndo ukakasi ulipoanzia....facial expression ya mwandishi tho.....mmmmhhh...Kabudi weeeee....Kama namuona Jiwe.
 
Kazae nae Mahiga wako

Kwa matusi tuu na maneno ya kuudhi, mmejaaliwa nyie, kuanzia baba yenu anaewaita wenzie wapumbavu mpaka nyie wa buku 7 mitandaoni.. Argue the point not the person.. Kabudi amesema hapo kwamba sio Azory peke yake aliepotea na kufa huko kibiti.. Hajasema sio Azory peke yake aliepotea au kufa.. Badala ya maneno ya kukerehesha, elezea wewe ufahamu wako kwa hiyo kauli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…