Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama ni kupotea tu na haonekani utawezaje kusema mtu kafa...!Akili zemu nyepesi sana..
Mnangangania tafsiri yenu ndio iwe universal..?!
Kusema amepotea na kufa bado ni assumption sababu hakupatikana, sasa nyny vichwa panzi mshatengeneza script..
HICHO NDIYO JIWE ANAMPENDEA !!!!!!!Huyu jamaa kwa domo kajaaliwa kuipaka mafuta serikali kwa wahisani
Lakini kwenye swala la utendaji kazi katika wizara hiyo hatomfikia Mh Mahiga hata kwa robo yake
Lkn kwa propaganda zake tu hapo kajaaliwa[emoji3]
Mkuu rudia tena kuisikiliza hiyo clip vizuri....Nimesoma kichwa cha thread, nikasema kama kapotea, Waziri atajuaje kwamba kafariki?
Nikasema ngoja nisikilize clip nimsikie Waziri.
Nimemsikia Waziri anachemka kama kawaida yake, kakosea jina, anataja Azory Rwanda.
Naona Rwanda imemkaa sana kichwani.
Lakini sijasikia Waziri akisema lolote kuhusu kifo.
Mtoa mada anaweza kutupa uhakikisho kwamba hiyo habari ya kifo kusemwa na Waziri ni ya kweli na si ya kutungwa tu?
Hekima huwa inapatikana kutoka jalalani?unapomsoma na kumsikiliza Prof.Kabudi kama unamsikiliza Mbowe au Sugu lazima utoke kapa. that man ability is beyond your understanding, hivyo jitahidi kumuelewa zaidi
Mimacho mithili ya mjusi aliyebanwa na mlangoIle mimacho kama vile naiona.
Aisee acha ujinga mkuu! Hivi wewe hapo una wasiwasi wa nini hasa?Jana DW radio walikuwa na kipindi cha mbiu ya mnyonge. Imenisikitisha sana.
Waliongelea matukio ya utekwaji na mauaji yanayoendelea Tanzania bila vyombo vya dola kutoa majibu ya maana au kujikalia tu kimya kama hakuna kinachoendelea.
Wameielezea Tz iliyokuwa inajulikana kama kisiwa cha amani kwa sasa imegeuka kuwa nchi ya hofu na kukosa matumaini kwa raia wake kuiona kesho.
Uhuru wa maoni umeuawa, haki za binadamu kutoheshimiwa na demokrasia kuminywa imekuwa ni maisha ya watanzania kwa sasa.
Imeniuma kweli!
Ni wapi kama taifa tumekosea?
Mchawi kuna siku ata jisema tu.Mungu akitaka kukuaibisha hata ufanyaje huna ujanja kuepuka!
Huyu jamaa kwa domo kajaaliwa kuipaka mafuta serikali kwa wahisani
Lakini kwenye swala la utendaji kazi katika wizara hiyo hatomfikia Mh Mahiga hata kwa robo yake
Lkn kwa propaganda zake tu hapo kajaaliwa[emoji3]
Exactly !unapomsoma na kumsikiliza Prof.Kabudi kama unamsikiliza Mbowe au Sugu lazima utoke kapa. that man ability is beyond your understanding, hivyo jitahidi kumuelewa zaidi
Mungu akitaka kukuaibisha hata ufanyaje huna ujanja kuepuka!
Exactly !
Umemaliza kwa hasira sana mkuu... Ila hawa morons called academicians wanatuharibia nchi kwa kweli...Amesema "Azori amepotea na amekufa"
Wasiojulikana wanazidi kujitokeza bila kujua...
Kajuaje Azori amededi??
Ndio maana akiitwa mpumbavu annashangilia??
Wasomi wa majalalani tabu sana
Akihojiwa na mtangazaji Zuhura Yunus wa BBC, waziri Kabudi amesema Tanzania kuna uhuru wa kutosha wa vyombo vya habari.
Alipoulizwa kuhusu kupotea kwa mwandishi Azory, Prof Kabudi amesema serikali inaendelea na uchunguzi.
Waziri amesema hali ya Kibiti na Mkuranga ilikuwa tete na haijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru wake.
Askari wa polisi, viongozi wa serikali za mitaa na viongozi wa chama tawala CCM waliuawa katika kadhia hiyo lakini kwa sasa amani imerejea na hali ni shwari.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
UPDATES;
Palamagamba has just admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory has “disappeared and died”.
WAZIRI wa Mambo ya ndani Palamagamba Kabudi akiri mwandishi wa Habari Azory Gwanda alitoweka na kufariki, ikiwa ni zaidi ya siku 500 tangu kutoweka kwa mwandishi huyo wa habari za uchunguzi.
View attachment 1150947
Zamwizi 40 hawakukoseaMungu akitaka kukuaibisha hata ufanyaje huna ujanja kuepuka!
Kazae nae Mahiga wako