TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
NAdhani...Hiyo clip imechezewa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maneno hayo hayawezi kutoka kwa mtu makini na guru la sheria Tanzania kwa sababu anajua kabisa yatamhukumu. Jaribu upotoshaji mwingine
Nd. Ziro "Disappeared and Died" nini kisichoeleweka au unadhani kila MTU ni Jiwe kwamba lugha ya mama malkia inamsumbua....Bwashee mbwiga BBC Dira ya Dunia wanatumia Kiswahili fasaha!
Kiingereza; Disappeared and diedAkihojiwa na mtangazaji Zuhura Yunus wa BBC, waziri Kabudi amesema Tanzania kuna uhuru wa kutosha wa vyombo vya habari.
Alipoulizwa kuhusu kupotea kwa mwandishi Azory, Prof Kabudi amesema serikali inaendelea na uchunguzi.
Waziri amesema hali ya Kibiti na Mkuranga ilikuwa tete na haijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru wake.
Askari wa polisi, viongozi wa serikali za mitaa na viongozi wa chama tawala CCM waliuawa katika kadhia hiyo lakini kwa sasa amani imerejea na hali ni shwari.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
UPDATES;
Palamagamba has just admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory has “disappeared and died”.
WAZIRI wa Mambo ya ndani Palamagamba Kabudi akiri mwandishi wa Habari Azory Gwanda alitoweka na kufariki, ikiwa ni zaidi ya siku 500 tangu kutoweka kwa mwandishi huyo wa habari za uchunguzi.
View attachment 1150947
jione huruma wew livuvuzera.Dispeared and died Hujui tafsir yake?Pumbavuhao wanataka kulinganisha akili za profesa na yule mwanasheria mropokaji bila ushahidi imekula kwao. huyo ndio Kabudi , sumu ya siasa za utapeli Tanzania
We babu umeisikiliza mwenyewe hiyo habari au umeona kipande cha video tu?
Iko wapi hiyo ndiyo mgeweka hapa ili isapoti uzi. lugha za watu hizi msijekuwa hamkuelewa alichosemaKabudi amesema kua azory amepotea na kufa kwahiyo ukweli umefichuka clip yake akijibu hilo swali iko hewani
Si kweli aisee nimeisikiliza na kutizama amesema watu wamepotea na kufa wala hajamrejea Azori pekee, amewarejea watu wengi waliokutwa na maswaibu kule kibiti na rufiji...
Kuna watu wanacheza na akili za watanzania kwa kuquote kisentesi kimoja kuibua taharuki
Kiingereza; Disappeared and died
Disappeared or died
Disappeared and eventually died
Disappeared and probably died
Disappeared and may be dead
Disappeared and thought to have died
Lugha ya Malkia huiwezi na Kiswahili hukiwezi.Great man in writting our nation history and in telling the world how Tanzania peaceful is
Hiyo ya kufa binafsi sijaisikia!