Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

Kasimu majaliwa naye pia alishawahi sema bungeni kuwa Ben Saanane ameshakufa, hivyo sio ajabu na huyu kusema hivyo sababu wanaujua ukweli.
maneno hayo hayawezi kutoka kwa mtu makini na guru la sheria Tanzania kwa sababu anajua kabisa yatamhukumu. Jaribu upotoshaji mwingine
 
Bwashee mbwiga BBC Dira ya Dunia wanatumia Kiswahili fasaha!
Nd. Ziro "Disappeared and Died" nini kisichoeleweka au unadhani kila MTU ni Jiwe kwamba lugha ya mama malkia inamsumbua....

Hicho kiswahili kamfafanulie Mwenyekiti wenu kama lugha ya English inamgonga lkn najua hayo maneno anayaelewa...

Acheni upotoshaji..Kabudi amechafua Serikali ya Awamu ya Five kwa mabeberu.

Inaonekana Serikali ya Wauaji...., mambo mengine hayabadilishi kitu... Dunia imesikia na kuelewa kile alichosema Professor Kabugi Kalamaganda.....
 
Pamoja na kuchukiwa na watu wengi Prof. Kabudi ni raia wa nchi hii anayestahili kusikilizwa na kuhukumiwa kwa haki. Mimi nadhani kwa hili la Azory Gwanda kauli ya waziri was most likely a slip of the tongue. Sidhani mawaziri wanajua kinachoendelea kuhusiana na mambo hayo ya ulinzi na usalama, hususan mambo nyeti kama ya MAKIRU. Prof Kabudi siyo mtu sahihi wa kutoa taarifa hiyo kuwa Azory amekufa!.
 
Akihojiwa na mtangazaji Zuhura Yunus wa BBC, waziri Kabudi amesema Tanzania kuna uhuru wa kutosha wa vyombo vya habari.

Alipoulizwa kuhusu kupotea kwa mwandishi Azory, Prof Kabudi amesema serikali inaendelea na uchunguzi.

Waziri amesema hali ya Kibiti na Mkuranga ilikuwa tete na haijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru wake.

Askari wa polisi, viongozi wa serikali za mitaa na viongozi wa chama tawala CCM waliuawa katika kadhia hiyo lakini kwa sasa amani imerejea na hali ni shwari.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia!

UPDATES;

Palamagamba has just admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory has “disappeared and died”.

WAZIRI wa Mambo ya ndani Palamagamba Kabudi akiri mwandishi wa Habari Azory Gwanda alitoweka na kufariki, ikiwa ni zaidi ya siku 500 tangu kutoweka kwa mwandishi huyo wa habari za uchunguzi.
View attachment 1150947
Kiingereza; Disappeared and died
Disappeared or died
Disappeared and eventually died
Disappeared and probably died
Disappeared and may be dead
Disappeared and thought to have died
 
rekebisha hii statement mkuu "WAZIRI wa Mambo ya ndani Palamagamba Kabudi akiri mwandishi wa Habari Azory Gwanda alitoweka na kufariki "
 
Chama cha waandishi wa habari Tanzania ni ovyo sana hakina msaada wowote kwa wanachama wake na hata hakina ushawishi wowote nje ambao ungewasaidia kuibana serikali kuhusu swala la Azori.

Vyama vingi nchini ni vya kisiasa tu na huenda hata hao wasiojulikana waliishapenya hadi huko. Hivi vyama ni misalaba kwa wanachama wao. They're very useless indeed.
 
Aisee kwahiyo kabudi kathibisha kwamba yeye MNA wenzake ndio wahusika ,sasa atujulishe kafa lini ? wapi ? nini kimemuua ? miwili wake uko wapi ?aisaidie na polisi .
 
Naona wanazidi tu kujichanganya mmoja baada ya mwingine....

sijui volume inatosha au niongeze kidogo
 
Kabudi amesema kua azory amepotea na kufa kwahiyo ukweli umefichuka clip yake akijibu hilo swali iko hewani
Iko wapi hiyo ndiyo mgeweka hapa ili isapoti uzi. lugha za watu hizi msijekuwa hamkuelewa alichosema
 
Si kweli aisee nimeisikiliza na kutizama amesema watu wamepotea na kufa wala hajamrejea Azori pekee, amewarejea watu wengi waliokutwa na maswaibu kule kibiti na rufiji...
Kuna watu wanacheza na akili za watanzania kwa kuquote kisentesi kimoja kuibua taharuki


Asante sana.
 
Kiingereza; Disappeared and died
Disappeared or died
Disappeared and eventually died
Disappeared and probably died
Disappeared and may be dead
Disappeared and thought to have died

Disappeared and pronounced dead 😂 😂 😂 😂
 
Great man in writting our nation history and in telling the world how Tanzania peaceful is
Lugha ya Malkia huiwezi na Kiswahili hukiwezi.
Writting - X
Writing - √
Nasubiri kuona ukijichanganya tena bibie muimba mapambio.
 
Back
Top Bottom