Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli anang'olewa mapema mno !Prof. Rwekaza S. Mukandala amehitimisha kuwa hajui hatima ya Magufuli na CCM Mpya itakuwaje 2020 wananchi wakiamua.
Weka hoja na sio uharoCCM itashinda kwa kishindo hilo halina mjadala!
13 Oktoba 2020
Mabibo / Mburahati soko la ndizi
Dar es Salaam, Tanzania
Kampeni za mgombea urais kupitia CCM
Mgombea wa urais CCM kulirudisha rasmi soko kwa wananchi, mgombea ubunge Prof. Kitila Mkumbo azungumza kuhusu changamoto
Mambo magumu kambi ya mtaa wa Lumumba wameshaona dalili zote chochote kinanaweza kutokea tarehe 28 Oktoba maana wananchi wanapiga kura ya maoni yao kupima miaka mitano ya Magufuli na ile ya uchaguzi mkuu .Haya ndiyo majibu kwa profesa Mkandala?
Ccm wamechanganyikiwa
Hoja iko wapi weka Hoja yakoSisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yule mropokaji lissu atapigiwa kura na robert tu
Hii ina uhalisia kwa kiwango cha juu sana kwa hapa kwetu Bongo.Kushindwa siasa za Ushawishi kubaki Siasa za Kushurutisha
Miaka 2 tangu chapisho, serikali ya CCM haikuchukua na kufanyia kazi hata kipengele kimoja +vely, saana umeongeza kulaza nut na kuziba masikio.
Ukiona time imemtangaza mpinzani, tofauti ya kura ni kubwa mno. Nyamagana Masha alizidiwa zaidi ya 13000 na Wenje, lakini bado walitaka Masha awe mshindi!Case study chaguzi za marudio na za serikali ya mitaa jibu unalo
Siasa na Utawala
Profesa Rwekaza Sympho Mukandala anazungumzia kigezo muhimu na kikubwa cha siasa na uongozi na kubaki madarakani kwa muda muafaka, Ni je wananchi wanafuraha?
Prof. Mukandala anasema haitoshi baba wa nyumba kuleta nyama, samaki na chakula kila siku nyumbani lakini familia yake inaishi bila furaha. Prof. Mukandala anataka utoe tathmini katika maeneo yao chini baada ya muhadhara wake na kutoa alama/ maksi juu ya utawala wa CCM
- Kiongozi kuongoza kwa hiyari, kushawishi na siyo kushurutisha
- Wakati wa janga kubwa kwa nchi, kiongozi kuwa mbele pamoja na wananchi kukabiliana na changamoto hiyo
- Kukithiri kwa Umasikini wa watu
- Maendeleo ya Vitu kuleta Umasikini ktk Maendeleo ya Watu
- Ajira na Viwanda
- Kilimo Kwanza na Masoko ya Kilimo , Mifugo, Uvuvi
- Wananchi kukosa kushirikishwa ktk kipi ni kipau-mbele kwao maana serikali haitoi nafasi wananchi kusema
- Sera za kiuchumi za serikali kukazania Maendeleo ya Vitu na kusahau kabisa Maendeleo ya Watu.
- Utawala wa sheria
- Uhuru wa Kujumuika na Kufanya Siasa
- Kupiga vita rushwa
- Kushindwa siasa za Ushawishi kubaki Siasa za Kushurutisha
- Tanzania kuelewa diplomasia ya kujinafasi ki Geopolitics ktk majukumu kikanda / Kimataifa : SADC , EAC , Africa Union , United Nations, WHO, Benki ya Dunia World Bank, Fuko la Fedha IMF
- Uwezo wa Mwenyekiti wa CCM kuzuia chama kisiwe na mpasuko si tu CCM Tanganyika na hata CCM Zanzibar kuelekea 2020
Kipimo cha kufanya vizuri CCM hakiwezi kupimwa kwa vile serikali yake imeweza kutengeneza miundombinu lukuki na kulazimisha watu waridhike wakati wananchi hawana furaha kutokana na ukata mifukoni mwao. Kipimo halisi ni hayo madokezo hapo juu.
Source :