Uchaguzi 2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

Uchaguzi 2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

Wengi wanataka mabadiliko

Kingunge Ngombale-Mwiru : Kuyumba kwa waTanzania kwa kukaa kimya na kukosa ujasiri wa kusema ukweli

 
Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania

Mwenyekiti Kamanda China wa China anaelezea siasa za mkoa wa Mbeya na mkoa wa Songwe na uimara wa CHADEMA kutokana na kuaminiwa na wananchi



UFU-WA-KISIASA KTK CCM MPYA
Watolewa ufafanuzi . Na CHADEMA kutoa tathimini ya CCM Mpya kudhoofu kisiasa sababu zake ni kuhamishia shughuli za siasa kwa mtu mmoja kupitia kwa wateule wake walio watumishi wa serikali na wale wa vyombo vya dola na kusababisha wanasiasa halisi wa CCM kuamua kuwa "tegemezi" kwa kudai kufanya sera ya kimya kimya lakini ukweli wamekasimisha / wametoa kandarasi shughuli za kisiasa zifanyike nje ya chama chao cha CCM Mpya.
 
5 September 2020
Mbeya, Tanzania

Mkutano wa Kampeni Uchaguzi Mkuu 2020

 
POLEPOLE ACHAMBUA ILANI YA CCM NDANI YA MIAKA MITATU YA JPM 2015 - 2018 NA UTEKELEZAJI WAKE UMEFANIKIWA VIPI KUPAMBANA NA UMASIKINI WA WATU

 
06 October 2020
Nachingwea, Tanzania

Kampeni za Urais 2020 mgombea mwenza wa CHADEMA Mh. Salum Mwalimu


Viongozi wagombea nafasi za kisiasa wa chama cha CHADEMA ngazi zote yaani Urais, ubunge na udiwani wameweza kunadi na kueleweka kuhusu umuhimu wa Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu hivyo kuwagusa waTanzania kwa namna ya kipekee katika Uchaguzi Mkuu wa 2020
 
09 October 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Kampeni za CCM 2020 Urais mgombea John Magufuli leo jijini Dar es Salaam



Chama kikongwe cha siasa Afrika cha CCM wamekuwa na taabu kuwaelewesha waTanzania kuwa Maendeleo ya Vitu ni muhimu kuliko Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu katika kushindanisha sera hizo uchaguzi huu wa 2020 ambapo CHADEMA inachuana vikali na chama kongwe kilichojibrandi kama CCM Mpya.
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji lissu atapigiwa kura na robert tu
 
13 October 2020
Tunduma, Songwe
Tanzania

Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu ilani hii ya CHADEMA yawagusa maelfu kila kona ya nchi
Mgombea mwenza urais Salum Mwalimu asimamisha shughuli Tunduma kwa muda
 
13 Oktoba 2020
Mabibo / Mburahati soko la ndizi
Dar es Salaam, Tanzania

Kampeni za mgombea urais kupitia CCM
Mgombea wa urais CCM kulirudisha rasmi soko kwa wananchi, mgombea ubunge Prof. Kitila Mkumbo azungumza kuhusu changamoto
 
13 Oktoba 2020
Mabibo / Mburahati soko la ndizi
Dar es Salaam, Tanzania

Kampeni za mgombea urais kupitia CCM
Mgombea wa urais CCM kulirudisha rasmi soko kwa wananchi, mgombea ubunge Prof. Kitila Mkumbo azungumza kuhusu changamoto

Haya ndiyo majibu kwa profesa Mkandala?
Ccm wamechanganyikiwa
 
Haya ndiyo majibu kwa profesa Mkandala?
Ccm wamechanganyikiwa
Mambo magumu kambi ya mtaa wa Lumumba wameshaona dalili zote chochote kinanaweza kutokea tarehe 28 Oktoba maana wananchi wanapiga kura ya maoni yao kupima miaka mitano ya Magufuli na ile ya uchaguzi mkuu .
 
Aibu sana hii kwa kusababisha hali zetu kuwa ngumu hivi
 
Case study chaguzi za marudio na za serikali ya mitaa jibu unalo
Ukiona time imemtangaza mpinzani, tofauti ya kura ni kubwa mno. Nyamagana Masha alizidiwa zaidi ya 13000 na Wenje, lakini bado walitaka Masha awe mshindi!
 
Siasa na Utawala
Profesa Rwekaza Sympho Mukandala anazungumzia kigezo muhimu na kikubwa cha siasa na uongozi na kubaki madarakani kwa muda muafaka, Ni je wananchi wanafuraha?

Prof. Mukandala anasema haitoshi baba wa nyumba kuleta nyama, samaki na chakula kila siku nyumbani lakini familia yake inaishi bila furaha. Prof. Mukandala anataka utoe tathmini katika maeneo yao chini baada ya muhadhara wake na kutoa alama/ maksi juu ya utawala wa CCM


  • Kiongozi kuongoza kwa hiyari, kushawishi na siyo kushurutisha
  • Wakati wa janga kubwa kwa nchi, kiongozi kuwa mbele pamoja na wananchi kukabiliana na changamoto hiyo
  • Kukithiri kwa Umasikini wa watu
  • Maendeleo ya Vitu kuleta Umasikini ktk Maendeleo ya Watu
  • Ajira na Viwanda
  • Kilimo Kwanza na Masoko ya Kilimo , Mifugo, Uvuvi
  • Wananchi kukosa kushirikishwa ktk kipi ni kipau-mbele kwao maana serikali haitoi nafasi wananchi kusema
  • Sera za kiuchumi za serikali kukazania Maendeleo ya Vitu na kusahau kabisa Maendeleo ya Watu.
  • Utawala wa sheria
  • Uhuru wa Kujumuika na Kufanya Siasa
  • Kupiga vita rushwa
  • Kushindwa siasa za Ushawishi kubaki Siasa za Kushurutisha
  • Tanzania kuelewa diplomasia ya kujinafasi ki Geopolitics ktk majukumu kikanda / Kimataifa : SADC , EAC , Africa Union , United Nations, WHO, Benki ya Dunia World Bank, Fuko la Fedha IMF
  • Uwezo wa Mwenyekiti wa CCM kuzuia chama kisiwe na mpasuko si tu CCM Tanganyika na hata CCM Zanzibar kuelekea 2020

Kipimo cha kufanya vizuri CCM hakiwezi kupimwa kwa vile serikali yake imeweza kutengeneza miundombinu lukuki na kulazimisha watu waridhike wakati wananchi hawana furaha kutokana na ukata mifukoni mwao. Kipimo halisi ni hayo madokezo hapo juu.


Source :


 
Back
Top Bottom