Huyu Prof kwakuwa wazungu mabasi yao yanasimama kwenye take away basi zile burger, hot dogs na can za cocacola siyo vyakula?Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula. Hii ni kweli kabisa, ni kama tuna mzimu wenye njaa ya kula, basi likisimama ni mbio madirishani au hotelini kufakamia menu, baada ya hapo matumbo ndiii kama Meya wa stendi ya zamani kabla ya ile ya JPM.
Upande basi moja na waha au wasukuma, wanatembea na stoku ya viazi na karanga walivyochemsha jana, au ugali na dagaa.
Kwani wanajitakia au mfumo ndiyo umewafikisha huko,Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula. Hii ni kweli kabisa, ni kama tuna mzimu wenye njaa ya kula
Tuanzie hapa UTAMADUNI ni nini?Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula.
Hii ni kweli kabisa, ni kama tuna mzimu wenye njaa ya kula, basi likisimama ni mbio madirishani au hotelini kufakamia menu, baada ya hapo matumbo ndiii kama Meya wa stendi ya zamani kabla ya ile ya JPM.
Upande basi moja na waha au wasukuma, wanatembea na stoku ya viazi na karanga walivyochemsha jana, au ugali na dagaa.
Wasukuma safari huona sherehe,kwanza huvaa vizuri Kisha kula sannaNimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula.
Hii ni kweli kabisa, ni kama tuna mzimu wenye njaa ya kula, basi likisimama ni mbio madirishani au hotelini kufakamia menu, baada ya hapo matumbo ndiii kama Meya wa stendi ya zamani kabla ya ile ya JPM.
Upande basi moja na waha au wasukuma, wanatembea na stoku ya viazi na karanga walivyochemsha jana, au ugali na dagaa.
leo mimi nawatetea watu wa ukimani. naunga mkono unachosema. kwenye basi ngumu kushika kitabu pia utulivu wa kusoma unautoa wapi bus lina makelele na barabara mbovu. heri kwenye treni. lakini yote ya yote kusoma ni utamaduni mgumu ukimaniunaanzaje kusoma huku unarushwarushwa kisa mibarabara mibovu, mwambie kwenye sgr tutasoma ila kwenye mabasi haya ya watu binafsi kwenye mibarabara iliyojaa mashimo na mivimbiano atusamehe.
Sio watu wenye njaa.....watz walio wengi sio wote ni watu wenye njaa njaa mingiWatanzania ni watu wenye njaa
Leo nimepata jibu kwa nini mabasi ya tabora, kigoma yana harufu nzito ndaniUpande basi moja na waha au wasukuma, wanatembea na stoku ya viazi na karanga walivyochemsha jana, au ugali na dagaa.
Issue si kununua, kusoma.Sasa ninunue gazeti buku wakati karanga ni jero na habari zote ninazipata online?