Prof. Safari: Kwenye usafiri wa umma, wazungu husoma vitabu na magazeti, watanzania wanatafuna mahindi ya kuchoma na mayai ya kuchemsha

Prof. Safari: Kwenye usafiri wa umma, wazungu husoma vitabu na magazeti, watanzania wanatafuna mahindi ya kuchoma na mayai ya kuchemsha

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula.

Hii ni kweli kabisa, ni kama tuna mzimu wenye njaa ya kula, basi likisimama ni mbio madirishani au hotelini kufakamia menu, baada ya hapo matumbo ndiii kama Meya wa stendi ya zamani kabla ya ile ya JPM.

Upande basi moja na waha au wasukuma, wanatembea na stoku ya viazi na karanga walivyochemsha jana, au ugali na dagaa.
 
Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula. Hii ni kweli kabisa, ni kama tuna mzimu wenye njaa ya kula, basi likisimama ni mbio madirishani au hotelini kufakamia menu, baada ya hapo matumbo ndiii kama Meya wa stendi ya zamani kabla ya ile ya JPM.

Upande basi moja na waha au wasukuma, wanatembea na stoku ya viazi na karanga walivyochemsha jana, au ugali na dagaa.
Huyu Prof kwakuwa wazungu mabasi yao yanasimama kwenye take away basi zile burger, hot dogs na can za cocacola siyo vyakula?

Labda wazungu wamestaarabika hawana fujo kama za Wasukuma wa Maswa wakiwa watatu kwenye bus utatamani ushuke au unaweza kusamehe nauli yako, halafu hawakai pamoja, mmoja mbele, mmoja katika na mwingine siti ya nyuma halafu wanataka wapige story zao kwa kilugha. Shubaamiti.
 
Yaani kama kwenye mwendokasi wa Kivukoni Mbezi mtu amesimama anasoma vipi kitabu!

Wakati huohuo mtu huyu anadaiwa Mgodi, Songesha, Kamilisha, Umoja Loan, Bustisha, Nivushe.
Halafu wakati huo huo Pesa X wanamtumia meseji wasapu kwamba watamtangaza kwenye vyombo vya habari kama mdaiwa sugu.

Mdaiwa sugu naye anawajibu kwa kuwatumia screenshot ya historia yake mbove ya ulipaji wa madeni kwa makampuni mengine na kiimoji cha kucheka.
 
sababu ya uwepo wa uislamu tanzagiza ndiyo maana labda hali iko hivyo, wazungu ni Christian au wana chimbuko la ukristo atleast …
 
Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula. Hii ni kweli kabisa, ni kama tuna mzimu wenye njaa ya kula
Kwani wanajitakia au mfumo ndiyo umewafikisha huko,
 
Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula.

Hii ni kweli kabisa, ni kama tuna mzimu wenye njaa ya kula, basi likisimama ni mbio madirishani au hotelini kufakamia menu, baada ya hapo matumbo ndiii kama Meya wa stendi ya zamani kabla ya ile ya JPM.

Upande basi moja na waha au wasukuma, wanatembea na stoku ya viazi na karanga walivyochemsha jana, au ugali na dagaa.
Tuanzie hapa UTAMADUNI ni nini?
 
Wasukuma safari huona sherehe,kwanza huvaa vizuri Kisha kula sanna
 
unaanzaje kusoma huku unarushwarushwa kisa mibarabara mibovu, mwambie kwenye sgr tutasoma ila kwenye mabasi haya ya watu binafsi kwenye mibarabara iliyojaa mashimo na mivimbiano atusamehe.
leo mimi nawatetea watu wa ukimani. naunga mkono unachosema. kwenye basi ngumu kushika kitabu pia utulivu wa kusoma unautoa wapi bus lina makelele na barabara mbovu. heri kwenye treni. lakini yote ya yote kusoma ni utamaduni mgumu ukimani
 
Watanzania ni watu wenye njaa
Sio watu wenye njaa.....watz walio wengi sio wote ni watu wenye njaa njaa mingi

Watz wakishakula na kuvimbiwa na kuja.mba baas. Hakunaga kitu kingine wanawaza

kwenye vichwa vyao zaidi ya umbea na uwizi na uzinzi. Shenz sana
 
Upande basi moja na waha au wasukuma, wanatembea na stoku ya viazi na karanga walivyochemsha jana, au ugali na dagaa.
Leo nimepata jibu kwa nini mabasi ya tabora, kigoma yana harufu nzito ndani
 
Point ya profesor ni kuwa hatuna utamaduni wa kusoma
 
Sasa ninunue gazeti buku wakati karanga ni jero na habari zote ninazipata online?
Issue si kununua, kusoma.

Unafanya nini ukiwa kwenye usafiri wa umma?

Kwa kuwa issue ni kusoma, unaweza kutembea na kitabu hard copy au soft copy ili kila upatapo nafasi usome badala ya kupiga soga.
 
Back
Top Bottom