Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna uwezo wa kusoma UDSM!Nashukuru Mungu sikusoma UDSM wala sitapeleka mwanangu akaharibiwe ubongo pale.
Ku
Kushiba kwa CV kusikutishe mkuu tunataka kujua kinyesi Cha Ng'ombe Kilo 25 kwa siku alishawahi kufanya observation hii au literature.
Mbona wenye mabwawa ya kufugia samaki huwalisha samaki kinyesi cha kuku?
Ni kweli mkuu kwakua mimi sio kilaza.Huna uwezo wa kusoma UDSM!
Ni kweli mkuu kwakua mimi sio kilaza.
Toka tumepata uhuru hakuna jambo lolote la maana tumepata toka hicho chuo.
Kwa ufupi tu hakuna mtu yeyote makini aliyepoteza muda wake kusoma pale.
Kuwa straightNiko wazi mkuu huyu jamaa yumkini si reja reja.
Alikuwa Mkemia Mkuu wa Serikali huyu mwamba?
Yumkini hawezi kuwa reja reja.
Kuwa straight
Sio unaandika kama Hadija kopa
What is your point?
Njaa inaondoa yote haya uliyoandika.Background check zinaleta mrejesho huu muhimu:
Prof. Samuel Manyele ni msomi mbobevu wa shahada ya Ph.D katika iliyokuwa department ya Chemical and Process Engineering ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Leo hii ikiwa ni department ya Chemical and Mining Engineering Jalalani hapo.
View attachment 2158001
Prof. Samuel Manyele alikuwa Mkemia Mkuu wa Serikali katika serikali ya Rais Kikwette na pia mwanzoni mwa serikali ya JPM.
Kwa highlights hizi ninashawishika kwenda mdogo mdogo kuhusiana na ripoti yake.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Prof. Samuel Manyele yumkini hawezi kuwa mtu reja reja kama tulio wazowea kutokea jalalani.
Njaa inaondoa yote haya uliyoandika. Hicho kinyesi cha wanyama ndo kimeanza Jana au juzi mpk Leo hii maji yawe meusi. Kwa Tanzania ukiitwa Profesa ujue umetukanwa
Hana Jipya Huyo Utetezi Kuhusu Samuel Hautmsafisha Kamwe
Mzee wa kg25
Tukumbushane Kuwa kabla ya kuingia kwa uekezaji mkubwa wa madini ardhi kubwa katika eneo hilo ilikuwa ikitumika kwa kilimo na ufugaji zaidi, hicho kipindi ndicho mto mara ungekuwa na concentration kubwa ya vinyesi katika mto Mara na viunga vyake ikiwemo moto Tingite lakini haikutokea Hivyo.
Je ni kwanini Tatizo hili linatokea wakati kuna uchimbaji mkubwa wa madini katika eneo hili ambapo kwa watu wa eneo hili hatuna mifugo mingi ukilinganisha na kipindi cha nyuma?
Lakini hii imekuwa ikitokea baada ya shughuli za uchimbaji kupanuka zaidi katkika maeneo hayo.
Kiufupi tumepigwa.kwasababu utafiti wa awali walisema kuna mafuta. Na mafuta nikitu kinacho onekana kwenye maji kwann wamesema mikojo .naomba utafiti wa Mto Mara urudiwe kwa usalama wa afya za watu
View attachment 2158021
Boss, tulia sana! Huyu siyo mkemia.Background check zinaleta mrejesho huu muhimu:
Prof. Samuel Manyele ni msomi mbobevu wa shahada ya Ph.D katika iliyokuwa department ya Chemical and Process Engineering ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Leo hii ikiwa ni department ya Chemical and Mining Engineering Jalalani hapo.
View attachment 2158001
Prof. Samuel Manyele alikuwa Mkemia Mkuu wa Serikali katika serikali ya Rais Kikwette na pia mwanzoni mwa serikali ya JPM.
Kwa highlights hizi ninashawishika kwenda mdogo mdogo kuhusiana na ripoti yake.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Prof. Samuel Manyele yumkini hawezi kuwa mtu reja reja kama tulio wazowea kutokea jalalani.
Boss, tulia sana! Huyu siyo mkemia. Hana sifa ya kuitwa mkemia. Miaka yote alisifika kwa kutengeneza mapipa ya kuchonea uchafu, yeye akiyaita incinerator. Yote yalishaoza. Nafasi ya mkemia mkuu alipewa kwa upendeleo wa wazi, bila sifa.
Hili la samaki ni jambo la mazingira. Profesa huyu hana sifa hiyo na kwa tamaa ya kusikika, alikubali jukumu hilo. Yaonekana Waziri hakuhitaji ukweli maana chombo cha kitaifa ni NEMC. Kwa nini aunde tume nje yaofisi yake? Huu ndo uzembe wa uongozi. Tunaishia kuandikiwa ripoti duni kama hii.