Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Watu wanaovaa tai yenye bendera ya inji hii hua nakua na wasi wasi nao Sana mfano ni huyu Prof wa tume ya mchongo pamoja na nduguye
Mwigulu Nchemba
Mwigulu Nchemba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile disaster inakulikana chanjoMkuu wangu hapa chini ni bandiko langu jana punde baada ya kusikia habari hizi:
View attachment 2158036
Uzi:
Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini
Kimsingi nilikuwa na usongo mkubwa na huyu mwamba ndiyo kisa katika kujizatiti nikayakuta na haya:
Mkemia Mkuu Ato Siri ya Kupimwa Mkojo kwa Wahalifu
Ukikuta hayo kimsingi unafanya je ukigundua kumbe maji ni marefu?
Kiungwana tunatafuta inputs zaidi.
Au nasema uongo ndugu Kennedy ?
Ile disaster inakulikana chanjo
Kuna report ya jamaa wa Great Lake initiative na po kuna several online reports hata kwenye East African newspapers zimewahi kugusia hizi issues
Prof ana issue huyo
Usizoee kuwa wazi mkuu kwani sio kitu kizuri.Niko wazi mkuu huyu jamaa yumkini si reja reja.
Alikuwa Mkemia Mkuu wa Serikali huyu mwamba?
Yumkini hawezi kuwa reja reja.
Usizoee kuwa wazi mkuu kwani sio kitu kizuri.
Unadhani watakua na ubora gani?😂😂😂Usikute uyo professor Kuna watu amewahi kuwafundisha humu jf[emoji848]
Hapa itabid Professor aelezee pia kama kinyesi cha ng'ombe kina sumu ,ni kwa jinsi gani Nyama ya Ng'ombe wenye Kinyesi hicho ni salama kula?Background check zinaleta mrejesho huu muhimu:
Prof. Samuel Manyele ni msomi mbobevu wa shahada ya Ph.D katika iliyokuwa department ya Chemical and Process Engineering ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Leo hii ikiwa ni department ya Chemical and Mining Engineering Jalalani hapo.
View attachment 2158001
Prof. Samuel Manyele alikuwa Mkemia Mkuu wa Serikali katika serikali ya Rais Kikwette na pia mwanzoni mwa serikali ya JPM.
Kwa highlights hizi ninashawishika kwenda mdogo mdogo kuhusiana na ripoti yake.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Prof. Samuel Manyele yumkini hawezi kuwa mtu reja reja kama tulio wazowea kutokea jalalani.
Hapa itabid Professor aelezee pia kama kinyesi cha ng'ombe kina sumu ,ni kwa jinsi gani Nyama ya Ng'ombe wenye Kinyesi hicho ni salama kula?
Nakuelewa mkuu lkn kumbuka lupia inatabia ya kuvunja sheria na kununua haki.Mkuu angalia namba ya publications na hata citations:
View attachment 2157939
Utakosa hofu hapo?
Kumvaa peku peku si inaweza kulinganishwa na fundi baiskeli wa kijiweni, kujaribu kumnanga scientist wa NASA kwenye mambo ya janga za juu?
Ni hapo mkuu ndipo nilipokikwaa kisiki. Kwa hakika nilikuwa nimempania kweri kweri.
Ndipo nikadhani ni heri tungewasiki wabobezi wengine nao wanasema je kabla ya kina sisi kuanza kuanika kutokujua kwetu?
Ni hayo tu mkuu.
Wewe mtu unaelekea kuwa bwege. Hizo publication ndo CV ya Tanzania?Mkuu angalia namba ya publications na hata citations:
View attachment 2157939
Utakosa hofu hapo?
Kumvaa peku peku si inaweza kulinganishwa na fundi baiskeli wa kijiweni, kujaribu kumnanga scientist wa NASA kwenye mambo ya janga za juu?
Ni hapo mkuu ndipo nilipokikwaa kisiki. Kwa hakika nilikuwa nimempania kweri kweri.
Ndipo nikadhani ni heri tungewasikia wabobezi wengine nao wanasema je kabla ya kina sisi kuanza kuanika kutokujua kwetu?
Ni hayo tu mkuu.
Tangu waziri aliyemteua na yeye mwenyewe na timu yake wote hovyo!Kwenye red kunamhusu huyu bwana:
View attachment 2158138
Kitaaluma takwimu hizo ndizo vigezo muhimu kuutambua ubobezi wa mtu.
Ninadhani Professor ni mbobevu, hajapungukiwa wasaidizi wala vifaa ambavyo angehitaji. Bila shaka hata ofisi ya Mkemia Mkuu angeitumia kwa hili angehitaji.
Isitoshe kwenye timu ya ufundi hakuwa peke yake.
Kwani maelekezo kutokea juu yalikuwa je labda?
Wewe mtu unaelekea kuwa bwege. Hizo publication ndo CV ya Tanzania? Huyu mtu ni wa hovyo kabisa! Aemwahi kufanya nini ktk hiyo nyanja ya uchafuzi wa mazingira hadi atueleze mavi ya ng'ombe kuwa sumu ya samaki? Mshenz huyu! Naionba anawinda kurudishiwa nafasi ya mkemia mkuu wa serikali ambayo aliitumia vibaya.
Mimi ni Mkulima wa parachichi hapa Njombe.Bwege mbona ni wewe mjomba?
Hata kusoma hata unelewa wewe kweli au ni ile ile ya kujishasha kikwetu Kagera buana?
View attachment 2158413
Wapi unaposoma CV?
Wapi unaposoma sumu?
Kwamba kafanya nini? Kwani wewe umefanya nini hata kujipa mwenyewe ujasiri wa kuhoji hayo?
Busara kujikita kwenye mada kuliko kujishasha ati kuwa wewe ndiye kinara.
Bure kabisa!
Tangu waziri aliyemteua na yeye mwenyewe na timu yake wote hovyo! Naona kama ni wewe Mnyere unajiita brazaj. Sijui kwa nini unaleta publication ka akigezo cha ubobezi ameandika vitu gani bhana? wewe vipi bado una ujinga wa primary mbona?