Prof. Samuel Manyele wa Tume ya vinyesi vya Ng'ombe Mto Mara

Prof. Samuel Manyele wa Tume ya vinyesi vya Ng'ombe Mto Mara

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Background check zinaleta mrejesho huu muhimu:

Prof. Samuel Manyele ni msomi mbobevu wa shahada ya Ph.D katika iliyokuwa department ya Chemical and Process Engineering ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Atakuwa angalipo kwenye hiyo department kwenye ambayo sasa ni shule ya Uhandisi Jalalani hapo.

IMG_20220320_153014_596.jpg

Prof. Samuel Manyele alikuwa Mkemia Mkuu wa Serikali katika serikali ya Rais Kikwette na pia mwanzoni mwa serikali ya JPM.

Kwa highlights hizi ninashawishika kwenda mdogo mdogo kuhusiana na ripoti yake.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Prof. Samuel Manyele yumkini hawezi kuwa mtu reja reja kama tulio wazowea kutokea jalalani.

Background check zinaleta mrejesho huu muhimu:

Prof. Samuel Manyele ni msomi mbobevu wa shahada ya Ph.D katika iliyokuwa department ya Chemical and Process Engineering ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Leo hii ikiwa ni department ya Chemical and Mining Engineering Jalalani hapo.

Prof. Samuel Manyele alikuwa Mkemia Mkuu wa Serikali katika serikali ya Rais Kikwette na pia mwanzoni mwa serikali ya JPM.

Kwa highlights hizi ninashawishika kwenda mdogo mdogo kuhusiana na ripoti yake.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Prof. Samuel Manyele yumkini hawezi kuwa mtu reja reja kama tulio wazowea kutokea jalalani.

Usikute ndie alipima papai na mbuzi vikawa na korona😀😀
 
Hii ripoti hata Mimi wa darasa la 3B naiona imechangamshwa yaani ng'ombe anye mpaka maji yageuke sumu yaue samaki😀😀 acha waendelee kuwabeba wawekezaji kwa uongo kwenye maisha ya watu

Siyo wewe peke yako mkuu.

Lakini mkuu twende mdogo mdogo.

Wanasema jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza!
 
Hii ripoti hata Mimi wa darasa la 3B naiona imechangamshwa yaani ng'ombe anye mpaka maji yageuke sumu yaue samaki[emoji3][emoji3] acha waendelee kuwabeba wawekezaji kwa uongo kwenye maisha ya watu
Kwa kweli mkuu inashangaza sana... Yaani kinyesi cha Ng'ombe kiue samaki?

Report ya Profesa ni batili....
 
Usikute ndie alipima papai na mbuzi vikawa na korona😀😀

Tanzania ya Magufuli haikuwahi kuishiwa vituko mkuu.

Ndiyo kisa ikabidi kujikita kwenye background check kwanza kabla ya kumuibukia mzima mzima kumnanga.

Niliyoyakuta huko ikabidi kuwa mpole kwanza.

Ninakazia, mdogo mdogo. Profesa CV imeshiba kweri kweri.

Tutamweza Huyu? Huyu si wa nyungu wajomba.
 
Profesa ni kwa ajili ya kuandaa maandiko kinadharia yenye tafiti mbalimbali. Hana uwezo wa kutumia utafiti kuleta uhalisia.

Kwa hakika wasomi wabobezi katika field hii wangejitokeza haraka kusafisha hali ya hewa.

Ingependeza wao kupinga au kuiunga mkono ripoti kwa hoja nzito nzito za kitalaamu.

Hasa hasa kwa pale UDSM ambako ni wajibu wao kukilinda Chuo. Kwani hili jina jalalani halipendezi.
 
Ku
Tanzania ya Magufuli haikuwahi kuishiwa vituko mkuu.

Ndiyo kisa ikabidi kujikita kwenye background check kwanza kabla ya kumuibukia mzima mzima kumnanga.

Niliyoyakuta huko ikabidi kuwa mpole kwanza.

Ninakazia, mdogo mdogo. Profesa CV imeshiba kweri kweri.

Tutamweza Huyu? Huyu si wa nyungu wajomba.
Kushiba kwa CV kusikutishe mkuu tunataka kujua kinyesi Cha Ng'ombe Kilo 25 kwa siku alishawahi kufanya observation hii au literature.
 
Back
Top Bottom