Prof Shivji: Barua kwa Rais; Ardhi mali ya nani?

Prof aliyeamua kuweka njaa pembeni
 
Prof kaisaidia mambo kadhaa.
Kwamba ili kumhamisha mtu kutoka eneo lake kwenda kwingine, lazima kumlipa.
Kwamba, eneo la malisho kwa wafugaji ni eneo halali kwao hivyo kuwahamisha kuna wajibu wa kuwalipa.
Kwamba kama kuna wananchi wako ndani ya hili eneo la.km 1500 na hawakulipwa fidia ili wahame ni kosa.
Maeneo yote ambayo serikali inayachukua kwa ajili ya uwekezaji au shughuli nyingine in wajibu wa kuwalipa wahusika. Kama haikulipa unakuwa unyang'anyi.
Nchi hii nimesoma na kujua nikifundishwa kuwa ardhi ni mali ya umma na rais ni mdhamini wa ardhi hiyo. Wala sijaona kosa lolote la mawaziri kusema ardhi ni mali ya umma. Sheria ya rais kutamka kuwa eneo fulani lonatwaliwa na rais kwa manufaa ya umma ipo na sioni tatizo hapa. Inawezekana kabisa serikali haikulieleza vizuri. Maeneo mengi tu yametwaliwa na rais na wananchi wakalipwa.
Mwisho, neno KIUMMA ni Kiswahili au lugha gani. Najua UMMA.
 
Fair compensation ni muhimu sana sheria za ardhi zipo wazi katika hilo.
 
Swali linalomkosesha usingizi kila mtanzania mwenye nia njema na nchi yake.
 
Kuwahamisha wamasai toka katika makazi yao ya kurithishwa toka kwa mababu ni makosa.
Walirithishwaje? Maana kwa sheria za nchi arshi ni mali ya serikali. Hakuna ardhi ya mtu. Ndio maana una nunua kiwanja na bado unalipia kodi
 
Kwa hiyo Taifa kama Taifa halina uhalali wa kuitumia ardhi yake kwa manufaa ya Umma wote wa kitanzani na sio jamii ya kabila fulani tu profeseli?
Tatizo mna kichwa Cha kufugia nywele badala ya kubeba akili. Ameishafafanua kua serikali lazima ifate taratibu sio kitumia ubabe

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Walirithishwaje? Maana kwa sheria za nchi arshi ni mali ya serikali. Hakuna ardhi ya mtu. Ndio maana una nunua kiwanja na bado unalipia kodi
Tatzo lenu vijana wa kijan mnakua hamna akili hata kama mkielimishwa. Itaje hiyo sheria inayosema ardhi ni Mali ya serikali. Mbona professor amefafanua vizuri kua ardhi sio Mali ya serikali.. hivi kua mdhamini ndo kua mmiliki wa hicho kitu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Duuhh, mpira bongo ni mizinguo tu.

Hii ni hela pipi kwa mchezaji wa majuu
 
Professor Shivji ktk ubora wake.

Wahamishwe kwenye ardhi Yao wanayoimiliki kisheria na kupewa ardhi ingine bila document Wala fidia.

Mwisho wa jambo hili ni AIBU Kwa wahusika vizazi Hadi vizazi.


Mungu akubariki professor.
Sasa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…