Kama wewe ulivyo kibaraka wa tutashitakiwa MIGAHuyu niliwaji pendekeza anyang'anywe PhD na afutwe uprofesa baada ya kuyakana maandiko, machapisho na mafundisho yake ya muundo sahihi wa muungano wa serekali tatu.
Hata hivyo huyu ni kibaraka wa watawala kama kabudi
Mbona wakati ule alimsifu JK kwa kuanzisha mchakato wa katiba mpya
Takwa la katiba mpya ni takwa la wanasiasa wachache wenye uchu wa madaraka. Sio takwa la wananchiMatakwa ya watu yanawezaje kuheshimiwa ikiwa takwa la katiba mpya hamliheshimu? Hivi nyinyi mataga mbona huwa akili zenu mnapenda kushikiwa?
Watawala ni wale wale tu.Tume huru itatuletea watawala wapya......
Hata sasa hivi ikitokea tu wameshika madaraka kwa katiba hii hii, usitegemee wataleta katiba mpya.Huo ndio ukweli ambao wapuuzi wamebishana sana juzi kati! Ishu ni kwamba jamaa wanataka uchochoro wa kuingilia ikulu ila wakipata hio chance mna uhakika gani hawatabadili katiba na kujiwekea vifungu vya upendeleo ili wabaki kuchuma mali kupitia madaraka!
Everything has a backbone. Unaweza ukaona katiba haiwezi kumaliza umaskini simply kwakuwa huna uwezo wa ku link katiba ya nchi na ukuwaji wa uchumi wa nchi.Prof Yuko sahihi katiba haiwezi kumaliza umaskini simply kwa kuwa tu na katiba, wanasiasa wanaililia kisa madaraka Yao.
Ni kweli alisema hivyo Alhamisi pale UDSM wakati wa kongamano la Kigoda cha Mwalimu Julius Nyerere. Kauli yake hiyo ilinishangaza maana ina'imply' kwamba kumbe tukiwa na Katiba mbaya ndiyo mwarobaini wa matatizo yetu. Labda angetoa hoja kwamba pamoja na kuwa na Katiba Mpya tunahitaji pia kuboresha maeneno kadha wa kadha.Source ya habari ni jamvi la habari!
Sasa ulichokifurahia ni nini? Kwamba huyo professor akisema hivyo ndio kuwa tutaacha kudai haki yetu?Na hayo hapo ni maoni yako na mtazamo wako binafsi pia...... kama ilivyo kwa Shivji na wengine
Msomi nguli wa Tanzania Prof Issa Shivji amelichambua dai la katiba mpya na kusema halina tija wala si mwarobaini wa matatizo yanayowakumba watanzania kwa sasa.
Prof Shivji amesema wanasiasa wanapenda madaraka na siyo siasa safi na kuwatumikia wananchi, ametolea mfano kwa vita ya madaraka inayoendelea nchini Kenya na Afrika Kusini licha ya kubadili katiba mara kwa mara.View attachment 1838690
Kuhusu suala la covid 19 je chama hakikumtaka spika kutengue uwepo wa hao watu bungeni? Ina maana mnajisahaulisha au mnajitoa ufahamu? Huwa mnatumia makalio kufikiri au mna vichwa kama binadamu wengine.Wewe machaga, matakwa ya watu huwa yanaheshimiwa kwa shinikizo la watu kwa umoja wao.
Marekani wana katiba bora sana, mbona kuna mambo kufanyika mpaka waandamane. South Afruca ni vile vile na Kenya.
Hivi mnafikiri katiba inashika bunduki na kutishia watu wafuate matakwa ya watu?
Haya COVID-19 wako bungeni kinyume na katiba hii hii mbovu, mmefanya nini ?
Kila mtu anataka vitu vizuri akiwa amekaa amekunja nne, anakunywa wine.
Hata hiyo katiba ikiwa unavyotaka, ikivunjwa makusudi mtafanyaje ?
Wewe usie na akili huna madhara kwetu. Wewe ni msukule mmoja ambae umeshikiwa akili na kamwe huwezi ku prevail mbele ya watu wanaojielewa.nyie ni mbuzi tu nani kawaambia kila mtu anataka hiyo mikalatasi ya katiba ? usitusemee wote kila mtu anamaoni yake sema wewe pekeyako unataka siyo kila mtu umsemee punda wewe
Sasa ulichokifurahia ni nini? Kwamba huyo professor akisema hivyo ndio kuwa tutaacha kudai haki yetu?
Kama kwa akili yako hiyo ndio unawaza hivyo basi bora ufe tu. Hujui hata kuwa hata rasimu ya Warioba ilihusisha kukusanya maoni mitaani wa raia walala hoi.Takwa la katiba mpya ni takwa la wanasiasa wachache wenye uchu wa madaraka. Sio takwa la wananchi
Kuna nchi hata hiyo katiba hawanaKatiba siyo lazima iwe mwarobaini ambao inasemekana unatibu magonjwa arobaini.
Katiba hata ikiwa panadol inatosha kabisa kutuondolea headache!
Professa amechemsha. Wasomi wetu hovyo sana. Wao ndiyo chanzo cha matatizo tuliyonayo kama Taifa. Hawana msaada zaidi ya maji gambol na Matumbo yao tuu.
MOFOWahi Arusha haraka ukatoe ushahidi wa jinsi ulivyobakwa na Sabaya
Uko sahihi hyo katiba ni nani anaitaka kabla umaskini haujaondolewa wanasiasa wanakuja na agenda zisizogusa Raia Moja kwa moja.Huo ndio ukweli ambao wapuuzi wamebishana sana juzi kati! Ishu ni kwamba jamaa wanataka uchochoro wa kuingilia ikulu ila wakipata hio chance mna uhakika gani hawatabadili katiba na kujiwekea vifungu vya upendeleo ili wabaki kuchuma mali kupitia madaraka!