pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Mie naangalia tu sina nijualo
Kuhusu haya mambo
Kuhusu haya mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na umri mkubwa ndio unakua na akili?Walioomba ipewe hadhi ya mkoa ni watu wenye umri mkubwa wanaojua wanaongea nini na kwa nini.
Ivi mkoa wa Geita na Morogoro upi unastahili kugawanywaHuo utakuwa mkoa. Sisi wa Ngara na maeneo hayo tunaelewa maana ya Chato kuwa mkoa. Tunaelewa maana ya wilaya kadhaa kuunganishwa pamoja ukapatikana mkoa mpya.
Wengi humu wanapinga kwa sababu ya kupinga mengi aliyokuwa akiyafanya hayati JPM, wanazo hoja za kisiasa zaidi kuliko uhalisia.
Idadi ya watu,ukubwa wa eneo, ugumu wa jografia n.kLeta orodha ya sifa zinazotakiwa sehemu husika kuwa Mkoa.
Kama ishu ni kuisogeza karibu serikali na ukanda huo ulioutaja mbona tayari tuna mkoa wa Kigoma ambao unapakana na maeneo hayoNaunga mkono kabisa kuundwa kwa mkoa wa Chato kwa sababu kuu moja, ... nayo ni kuisogeza serikali karibu zaidi na ukanda huu uliopakana na chanzo kikuu cha migogoro ya nchi za maziwa makuu (TUTSI/HUTU conflict zone)!
[emoji109] 😎[emoji3577][emoji95][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji88]
Wanasema mama yake alikuwa mchawi nguri na hata kuna kipindi Dada yake alikatwa mapanga kwa tuhuma za kuroga wanakijiji wenzakeJPM sijui alikua na roho hgani aisee
Huyu jamaa ameshupalia mkoa bila kutoa sababu za msingi. Anna Tibaijuka amesema miaka 11 iliyopita mwendazake alitaka chato uwe mkoa, lakini Geita ikakidhi vigezo, Chato ikabwagwa. Hivi Chato Ina umuhimu gani mpaka ilazimishwe kuwa mkoa kila Mara. Barabara ya Rami ililazimishwa, ililazimishwa kutoka tarata ya Biharamulo kuwa wilaya, sasa ilazimishwa kuwa mkoa. Mbuga za wanyama za burigi Chato, uwanja wa ndege, mseveni amelazimishwa kujenga shule. Na mengine mengi. What is special with chato. Mnalazimisha mpaka kuazima wilaya za mikoa mingine. Madiwani kamwe hawa uwezo wa kukata wilaza za Kagera na Kigoma.Utatapika na kutapika lakini Chato itapanda hadhi na sisi wa wilaya za karibu hatutalazimika kufunga Safari kwenda Bukoba mjini.
Sidhani kama Mmawia anayafahamu hayo maeneo zaidi ya kuleta siasa za kumpinga hayati JPM.