Mkoa hauanzishwi kwa kufuata vigezo alivyovitoa bali ni idadi ya wakazi, eneo na rasilimari. Watu wanawaza mji wa Chato tu badala ya kuunganisha eneo zima yaani kuanzia Kankonko hadi Karagwe ukijumuisha na hiyo Chato na pori la Burigi
Naomba tuache porojo pembeni. Tuchukueni mikoa 5 ya sasa tulinganishe na mkoa pendekezwa kwa vigezo vinane:Kwa nini jina la mkoa liitwe Chato??? Kwa nini mkoa usiitwe Biharamulo au kakonko au Nyakanazi?? Kwa nini jina la mkoa mpya liitwe Chato? Na kwa nini makao makuu yawe Chato? Hii ndiyo hoja ya msingi
sijui mnagombania nini
Hapana.
Labda wewe ndiye unayetaka nifikiri hivyo.
Kiufupi ni hivi:
Miaka yote pamekuwepo na taratibu zinazotumika na kupata vigezo vya kuianzisha hii mikoa.
Tukiondoa mifano michache, hasa ya hivi karibuni, utaratibu na vigezo hivyo ndivyo vinavyostahili kufuatwa bila kujali matakwa ya mtu au watu fulani wanaosukuma uamzi wao unaoegemea matakwa yao.
Hili ndilo tatizo nisilokubaliana nalo. Acha Chato ipitie kwenye taratibu hizo, na ikionekana vigezo vipo, basi na iwe mkoa.
Unajidanganya sana
Mimi niliwahi kusema hili kuwa Chato haina HADHI kuwa Mkoa. Leo ninamuunga mkono Prof. Tibaijuka kuwa Chato haina hadhi kuwa Mkoa. Kwa nini tunaharibu kodi za wananchi kuunda Mkoa wa Chato. Pili, Kisesa, Katoro hazina hadhi ya kuwa Wilaya. Tuachane na upendeleo aliotaka kuonyesha Rais wa Awamu ya Tano.
Yupo sahihi, kuna mikoa kama Morogoro, Lindi na Ruvuma inasifa zaidi ya kugawanywa, Geita haina hata miaka 10 tangu igawanywe.........
Hizo huduma kwanini zisishuke mpaka level ya kata, kata iwe na idara zote zilizoko manispaa, hiyo ndo njia ya kupelekwa huduma kwa wananchi, na itaongeza Anita za watumishiKijiografia unaposema kuanzisha mkoa wa chato na chato iwe makao makuu ili kusogeza huduma karibu na wananchi huo ni uongo wa kupingwa kwa nguvu zote,
kama tuko serious Nyakanazi ndio eneo liliopo katikati ya Biharamulo, Ngara, Kakonko na Wilaya ya Bukombe,
kwanini isiundwe wilaya ya nyakanazi kisha tukatengeneza mkoa wa nyakananzi utakaoundwa na wilaya za Biharamulo, Nyakanazi, Ngara, Kakonko na Bukombe?
kwanini tunagangania chato kutoka kakonko na ngara kwenda chato bado ni mbali sana,
kama ajenda iliyopo ni kuwasogezea wananchi huduma za karibu basi uanzishwe mkoa wa nyakanazi ila kama kuna ajenda nyingine ya kijinga basi endeleeni na chato yenu
Kigezo kikubwa ni eneo la utawala kuwa kubwa, Mbeya iliizaa Songwe kwasababu ilikuwa na takribani wilaya 8..........Vigezo gani vinatumika kugawa eneo kuwa mkoa?
Hivi mkoa wa Katavi una wilaya ngapi, una watu wangapi?Mkoa hauanzishwi kwa kufuata vigezo alivyovitoa bali ni idadi ya wakazi, eneo na rasilimari. Watu wanawaza mji wa Chato tu badala ya kuunganisha eneo zima yaani kuanzia Kankonko hadi Karagwe ukijumuisha na hiyo Chato na pori la Burigi
Anzeni sasa kupaza sauti waha wenzanguSasa sisi wa kakonko kigoma hatuyakubali kua sehemi ya mkoa wa chato sisi ni waha iweje mkatuchanganye na wasukuma kwa hiyo tuanze makujifunza tena kisukuma warah hatuwezi kukubali
Hatuhitaji kupoteza fedha za ummasijui mnagombania nini
Hizo Wilaya zilitoka wapi? KUna watu ni wapuuzi tu! Wanaongeza mzigo kwa nchi na kusababisha watu kutengana. Hata wilaya zikifika 100, eneo ni constant, haliongezeki.Kigezo kikubwa ni eneo la utawala kuwa kubwa, Mbeya iliizaa Songwe kwasababu ilikuwa na takribani wilaya 8..........
Kigezo kikubwa ni eneo la utawala kuwa kubwa, Mbeya iliizaa Songwe kwasababu ilikuwa na takribani wilaya 8..........
Sukuma gang lipo na itachukua muda sana kupotea ....sasa bado wanajinamizi la mwendazake baada 2025 labda litayeyukaHayo Mambo ya the so called 'Sukuma gang' ni hatari...machafuko huwa yanaanzia kwa kauli Kama hizi za ubaguzi..