Mh. Rais asione aibu kwa hili, kwa kuwa si jambo la busara kuufanya mkoa kwa kulazimisha, aseme bila aibu hapana, jiwe alishakataa maeneo mengi kuwa mikoa bila aibu kwa kigezo haisababishi kuondoa shida za wananchi!
 
Mtani wangu Kanena kwanini nimpinge?
 
Huu ni mtego kwa Mama Samia,apime mwenyewe lawama za watu lak 2 wa Chato azipime na lawama za watu zaidi ya milioni 1 kutoka Biharamulo,Muleba etc ambazo zitamegwa kwenda mkoa wa chato..
 
Mnanisagia kunguni nisipewe ukuu wa mkoa wa chato, siyo?
 
Huyo mama tangu alivyotujibu kuwa milioni 80 ni vi hela vya mboga tu kwa hili tumuangalie tu, CHATO kuna sababu zote kuwa mkoa kama miundombinu ikiwemo Airport, hospital ya kisasa, ofisi za TRA, mahakama, chuo cha VETA miundombinu ya barabara vyote vipo sawa, pia kwa wilaya ambazo zipo mbali na Bukoba mjini na kigoma mjini ni fursa nzuri kwao.
 
Hili andiko linatosha kuwa cabinet paper ma kufanya maamuzi. Hongera Beatrice Kamugisha
 
Mimi nimemuelewa prof.
 
Chato haina vigezo? Chato inavigezo maana mkoa haujengwi kwa wilaya moja zitaongezwa na wilaya zingine na mkoa ndo utaitwa wilaya, vitu vilivyopo Chato vimeshaiweka Geita mjini kuwa na uhitaji wa mambo makubwa ya kuheshimisha mkoa hivyo Chato kuwa Mkoa ni muhimu sana.
 
Dikteta alituharibu sn
 
Mwenye uwelewa na vigezo hapa atusidie ili tujue kwa mujibu wa sheria ya Jamuhuri mkoa unatakiwa uwe na sifa zipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…