Prof. Tibaijuka: Chato haina sifa kuwa Mkoa
Hakuna kiongozi atakubali kupoteza rasilimali fedha za umma eti kujenga makao makuu ya mkoa chato.
Hivi huwa mna nini vichwani mnapotoa statements kama hizi! Wewe ni Samia? Na ikiwa mkoa aibu utaziweka wapi?
 
Huo utakuwa mkoa. Sisi wa Ngara na maeneo hayo tunaelewa maana ya Chato kuwa mkoa. Tunaelewa maana ya wilaya kadhaa kuunganishwa pamoja ukapatikana mkoa mpya.

Wengi humu wanapinga kwa sababu ya kupinga mengi aliyokuwa akiyafanya hayati JPM, wanazo hoja za kisiasa zaidi kuliko uhalisia.
Wewe ni Mushuti maana Ngara na biharamulo na wilaya za kigoma wote ni WASHUTI
 
Hivi huwa mna nini vichwani mnapotoa statements kama hizi! Wewe ni Samia? Na ikiwa mkoa aibu utaziweka wapi?
Habari ya kuwa mkoa chato hizo sahau kabisa kama ulivyo sahau baada ya mazishi
 
Hiyo Bukoba wakati inapewa hadhi ya makao makuu ya mkoa ilikuwa ni pori tu lakini leo ni mji mkubwa.

Mama Tibaijuka wala asiwe na hofu Chato itajengeka kadri muda unavyokwenda.
Wewe unapajua Chato au unapaaoma kwenye magazeti?

Hawa Mataga wa mwendazake wameshindwa kuipa mkoa Ifakala ,Chato haikusitahili kuwa hata Wilaya,oneni hata aibu.
 
Watu wa chato ni manyama mkuu... angethubutu kuongea angepewa pyuu pyuuu pyuuu....

Kumbuka Yule mkurugenzi wa itigi alivyomfwata Mtu kanisani ku mpyuu pyuu pyuu
Hahaha

Ova
 
hawa sukumagans wamenifanya niyaelewe maneno ya mwalimu kwamba hawa jamaa hapaswi kupewa nchi maana wanaukabila sana.
sishangai kuona kanda ya ziwa kuwa ngome ya upinzani 2025.
 
Alichopeleka Magufuli Chato ni uwanja wa ndege na Mbuga.

Mambo mengine hayakuwa yake ni watu tu kwenye kujipendeza, wazo la Chato kuwa mkoa sio lake, miradi ya NHC sio ombi lake, Chato ilitakiwa kupewa hospitali ya wilaya kama sehemu zingine kuna watu baada ya hospitali kujengwa wakataka iongezewe ukubwa iwe ya kanda sio idea yake.

Magufuli alichokuwa akifanya akiona mambo mazuri yanajengwa au yanapendekezwa kwao alikuwa anakaa kimya tu: sehemu kubwa ni maamuzi ya watu waliokuwa wakijipendekeza sio yeye.
 
Back
Top Bottom