Prof. Tibaijuka: Chato haina sifa kuwa Mkoa
Alichopeleka Magufuli Chato ni uwanja wa ndege na Mbuga.

Mambo mengine hayakuwa yake ni watu tu kwenye kujipendeza, wazo la Chato kuwa mkoa sio lake, miradi ya NHC sio ombi lake, Chato ilitakiwa kupewa hospitali ya wilaya kama sehemu zingine kuna watu baada ya hospitali kujengwa wakataka iongezewe ukubwa iwe ya kanda sio idea yake.

Magufuli alichokuwa akifanya akiona mambo mazuri yanajengwa au yanapendekezwa kwao alikuwa anakaa kimya tu: sehemu kubwa ni maamuzi ya watu waliokuwa wakijipendekeza sio yeye.
Hapo kwenye hospitali ya wilaya ipo tangu enzi za kale
 
Kiukweli lipo tatizo la kufikirika,ni Bora kuongeza halmashauri na kupandisha hadhi palipo na vigezo, ofisi ya RC Haina impact kubwa kwa ustawi wa Jamii. Kwa dunia ya leo mawasiliano hata wazo la kuhamia Dodoma halina tija Bora fungu like lingetumika boresha sector kilimo, SGR ingepata mizigo ya kutosha mbeleni.
Jamaa aliikimbia DSM kuogopa wageni kutoka nje, ni rahisi sana wageni kutembelea Ikulu Dar kuliko Ikulu za Chato or Dodoma. Sijui kwa nini jiwe alikuwa anakwepa sana wageni wa kimataifa, hasa wazungu.
 
Hapo kwenye hospitali ya wilaya ipo tangu enzi za kale
Uzinduzi wa Hospitali ya wilaya Chato ndio tukio la mwisho Magufuli kufanya akiwa na raisi wa Msumbuji kabla ya kuelekea Dodoma na Dar mauti yalipomkuta.
 
Uzinduzi wa Hospitali ya wilaya Chato ndio tukio la mwisho Magufuli kufanya kabla kuelekea Dodoma na Dar mauti yalipomkuta.
Uzinduzi ulifanyika lini mbona iyo hospital ya wilaya ipo tok kitambo tukio la mwisho ilikuwa ni kuweka jiwe la msingi kwenye hospital ya rufaa ya kanda iliyojegwa CHATO nadhan nipo sahii
 
Naunga mkono kabisa kuundwa kwa mkoa wa Chato kwa sababu kuu moja, ... nayo ni kuisogeza serikali karibu zaidi na ukanda huu uliopakana na chanzo kikuu cha migogoro ya nchi za maziwa makuu (TUTSI/HUTU conflict zone)!
👊 😎✌️💥☠️☠️☠️💀
 
Uzinduzi ulifanyika lini mbona iyo hospital ya wilaya ipo tok kitambo tukio la mwisho ilikuwa ni kuweka jiwe la msingi kwenye hospital ya rufaa ya kanda iliyojegwa CHATO nadhan nipo sahii
Unachanganya ile ni hospitali ya wilaya Chato, sema kulikuwa na mapendekezo waiongezee majengo na departments iwe hospitali ya kanda.

Hospitali ya kanda inatakiwa kutoa kila aina ya matibabu na inabidi iwe ni kila aina ya daktari bingwa, Chato aina sifa hizo ni hospitali ya wilaya tu.

Halafu it doesn’t make sense kuiongezea iwe ya kanda, wilaya ya Geita ina population density kubwa zaidi (kigezo muhimu kwenye maamuzi) kupata hospitali ya kanda sio Chato; tatizo watu walikuwa wanapendekeza vitu kwa kujipendekeza tu.
 
Yaa
Mama wa Hela ya Mboga
Yaani, hata yeye huyo mama sidhani kama anaweza kuwaambia wananchi wake,kipi cha maana cha maendeleo,aliwaachia angalau hata kwa hizo hela za mboga alizosema, kusaidia maendeleo jimboni kwake .... yeye aendelee kula hiyo pesa na wajukuu, manake watz walishakubali yaishe asubiri ahadi alipewa na mwendazake ya kupewa post nyingine........kazi iendelee.
 
Nchi ilikuwa inatumbukia kwenye ukabila wa hali ya juu mno, ndani ya miaka 3 ya mwish, JIWE aligeuanzisha Uwanja ndege, traffic ligh za kuvukia punda, uwanja wa mpira mkubwa kuliko wa Taifa DAr, TRA KUBWA, CRDB -ambayo kwa siku ilikuwa na wateja wanee tu, makao makuu ya utalii, mbuga Buriigi wakati hakuna wanyama, wakakakmata simba , nao simba wakakimbilia burundi,

Ramani inaonyesha Chato ni sehemu ya Wilaya ya Biharamulo Mkoa wa Kagera.
Kiuhalisia. Na kihistoria. Mengine ni kulazimishalazimisha tu.

Naendelea kusisitiza hakuna hoja yoyote ya kiuchumi kuunda mkoa wa Chato. La sivyo basi tuelimishwe.

Ila kama mnapenda siasa za upendeleo wa sehemu fulani ama kwa kuwa mkubwa aliwahi kuzaliwa pale au mtu apewe nafasi kwa sababu ni mtoto wa kiongozi endeleeni kuwabebesha wananchi mizigo ya kulipa kodi kusudi wateule wajichane. Period.

Kwanza ikumbukwe Mkoa wa Geita ulianzishwa kusudi Chato iwe Makao Makuu. Ikakosa vigezo. Geita mjini ikaonekana ndiyo yenye sifa za kuwa Makao Makuu ya Mkoa mpya wa Geita. Hii ilikuwa 2010. Sasa 11 years later Chato ati ina vigezo kuwa Makao Makuu ya Mkoa wake wenyewe? Are we serious with our development? Really? Na Rais wetu mpendwa SSH tunataka kweli kumtwisha zigo la kuamua jambo hili na controversy zake? Elimu haina mwisho. Mimi kama kuna vigezo naomba viorodheshwe. Labda ndiye sina taarifa. Ila so far Hoja ya kuwaletea maendeleo Kakonko, Biharamulo, Ngara na Muleba inayokatwa vipande ninazikataa. Mkoa unaweza kuleta maendeleo gani kwa Wilaya yake wakati Mkoa unategemea bajeti ya Serikali Kuu. Mkoa una mapato gani zaidi ya kutumia kodi? Lets be serious. Maendeleo yanatokana na uwekezaji na uwezeshaji kwa wananchi. Siyo watumishi wa Serikali tena baadhi bila maadili wanaweza kuishia kuwabugudhi wananchi badala ya kuwa msaada.

Njia pekee kumuenzi Hayati Magufuli ni kurekebisha mambo ambayo kama binadamu hakufanya vizuri. Mengine yote ni ubinafsi. Na kufifisha sifa zake katika historia ya nchi hii. Tumuache apumzike.

Miundombinu iliyowekwa Chato siyo kigezo kuunda mkoa hapo.

Tuikamilishe na kuitafutia matumizi mbadala ya kitaifa. Mfano Airport ya Chato inaweza kufanywa Hub ya kilimo cha contract floriculture na horticulture...(kilimo mkataba cha maua na mboga) ili tuwe na ndege za mizigo kuja kubeba. Na maziwa .

Hospitali ya Kanda Chato.... naomba tutathmini kwanza maendeleo ya hospitali ya Mloganzila.
State of the Art buildings only 40km away from Dar City Centre na Muhimbili.

Mojawapo ya mafanikio makubwa ya Awamu ya nne. Lakini Angalia changamoto zake.
Uhaba wa madaktari hadi leo. Sasa hao specialist doctors watakaokubali kuishi Chato mtawalipa fedha kiasi gani?.
A hospital is not just buildings. Its manpower resources and the economy surrounding it.
Katika dhana ya mipango miji na maendeleo ya makazi lazima vigezo vyote hivyo kuangaliwa.
Kwa uelewa wangu Chato haina vigezo. Tusidanganyane.

Naendelea kusisitiza hakuna hoja yoyote ya kiuchumi kuunda mkoa wa Chato. La sivyo basi tuelimishwe.

Ila kama mnapenda siasa za upendeleo wa sehemu fulani ama kwa kuwa mkubwa aliwahi kuzaliwa pale au mtu apewe nafasi kwa sababu ni mtoto wa kiongozi endeleeni kuwabebesha wananchi mizigo ya kulipa kodi kusudi wateule wajichane. Period.

Kwanza ikumbukwe Mkoa wa Geita ulianzishwa kusudi Chato iwe Makao Makuu. Ikakosa vigezo.
Geita mjini ikaonekana ndiyo yenye sifa za kuwa Makao Makuu ya Mkoa mpya wa Geita. Hii ilikuwa 2010. Sasa 11 years later Chato ati ina vigezo kuwa Makao Makuu ya Mkoa wake wenyewe?
Are we serious with our development? Really?
Na Rais wetu mpendwa SSH tunataka kweli kumtwisha zigo la kuamua jambo hili na controversy zake?
Elimu haina mwisho. Mimi kama kuna vigezo naomba viorodheshwe. Labda ndiye sina taarifa.
Ila so far Hoja ya kuwaletea maendeleo Kakonko, Biharamulo, Ngara na Muleba inayokatwa vipande ninazikataa.
Mkoa unaweza kuleta maendeleo gani kwa Wilaya yake wakati Mkoa unategemea bajeti ya Serikali Kuu.
Mkoa una mapato gani zaidi ya kutumia kodi? Lets be serious. Maendeleo yanatokana na uwekezaji na uwezeshaji kwa wananchi.
Siyo watumishi wa Serikali tena baadhi bila maadili wanaweza kuishia kuwabugudhi wananchi badala ya kuwa msaada.

Njia pekee kumuenzi Hayati Magufuli ni kurekebisha mambo ambayo kama binadamu hakufanya vizuri.
Mengine yote ni ubinafsi. Na kufifisha sifa zake katika historia ya nchi hii. Tumuache apumzike.

Miundombinu iliyowekwa Chato siyo kigezo kuunda mkoa hapo. Tuikamilishe na kuitafutia matumizi mbadala ya kitaifa.
Mfano Airport ya Chato inaweza kufanywa Hub ya kilimo cha contract floriculture na horticulture...(kilimo mkataba cha maua na mboga) ili tuwe na ndege za mizigo kuja kubeba. Na maziwa .

Hospitali ya Kanda Chato.... naomba tutathmini kwanza maendeleo ya hospitali ya Mloganzila.

State of the Art buildings only 40km away from Dar City Centre na Muhimbili. Mojawapo ya mafanikio makubwa ya Awamu ya nne.
Lakini Angalia changamoto zake. Uhaba wa madaktari hadi leo.
Sasa hao specialist doctors watakaokubali kuishi Chato mtawalipa fedha kiasi gani?.
A hospital is not just buildings. Its manpower resources and the economy surrounding it.
Katika dhana ya mipango miji na maendeleo ya makazi lazima vigezo vyote hivyo kuangaliwa. Kwa uelewa wangu Chato haina vigezo. Tusidanganyane.
 
Huyu naye atulie ale mafao naona anawashwa washwa..sisi tumeamua chato iwe mkoa yeye kina muuma nini?kwanza ni moja ya mafisadi papa wa nchi hii..asifanye tukubuke aliyoyafanya.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huyu naye atulie ale mafao naona anawashwa washwa..sisi tumeamua chato iwe mkoa yeye kina muuma nini?kwanza ni moja ya mafisadi papa wa nchi hii..asifanye tukubuke aliyoyafanya.

#MaendeleoHayanaChama
ni CHADEMA huyu mama, wa kumfukuza chamani
 
Anna Tibaijuka tulia..endelea kula nyama ya milioni kumi
"Katika mazishi Wazee Chato walimuomba Rais Samia mkoa wakidai ni ahadi ya mtangulizi wake.kwa hekima akasema ataangalia vigezo.Kama Mbunge Mstaafu jirani Muleba Kusini najua vigezo havipo.Wazo halitekelezeki. Wazee jirani na sisi naamini tutapewa nafasi kushauri"Anna Tibaijuka

---
Anaandika PROF. ANNA K. TIBAIJUKA

Ramani inaonyesha Chato ni sehemu ya Wilaya ya Biharamulo Mkoa wa Kagera. Kiuhalisia. Na kihistoria. Mengine ni kulazimishalazimisha tu.

Naendelea kusisitiza hakuna hoja yoyote ya kiuchumi kuunda mkoa wa Chato. La sivyo basi tuelimishwe.

Ila kama mnapenda siasa za upendeleo wa sehemu fulani ama kwa kuwa mkubwa aliwahi kuzaliwa pale au mtu apewe nafasi kwa sababu ni mtoto wa kiongozi endeleeni kuwabebesha wananchi mizigo ya kulipa kodi kusudi wateule wajichane. Period.

Kwanza ikumbukwe Mkoa wa Geita ulianzishwa kusudi Chato iwe Makao Makuu. Ikakosa vigezo. Geita mjini ikaonekana ndiyo yenye sifa za kuwa Makao Makuu ya Mkoa mpya wa Geita. Hii ilikuwa 2010. Sasa 11 years later Chato ati ina vigezo kuwa Makao Makuu ya Mkoa wake wenyewe? Are we serious with our development? Really? Na Rais wetu mpendwa SSH tunataka kweli kumtwisha zigo la kuamua jambo hili na controversy zake? Elimu haina mwisho. Mimi kama kuna vigezo naomba viorodheshwe. Labda ndiye sina taarifa. Ila so far Hoja ya kuwaletea maendeleo Kakonko, Biharamulo, Ngara na Muleba inayokatwa vipande ninazikataa. Mkoa unaweza kuleta maendeleo gani kwa Wilaya yake wakati Mkoa unategemea bajeti ya Serikali Kuu. Mkoa una mapato gani zaidi ya kutumia kodi? Lets be serious. Maendeleo yanatokana na uwekezaji na uwezeshaji kwa wananchi. Siyo watumishi wa Serikali tena baadhi bila maadili wanaweza kuishia kuwabugudhi wananchi badala ya kuwa msaada.

Njia pekee kumuenzi Hayati Magufuli ni kurekebisha mambo ambayo kama binadamu hakufanya vizuri. Mengine yote ni ubinafsi. Na kufifisha sifa zake katika historia ya nchi hii. Tumuache apumzike.

Miundombinu iliyowekwa Chato siyo kigezo kuunda mkoa hapo. Tuikamilishe na kuitafutia matumizi mbadala ya kitaifa. Mfano Airport ya Chato inaweza kufanywa Hub ya kilimo cha contract floriculture na horticulture...(kilimo mkataba cha maua na mboga) ili tuwe na ndege za mizigo kuja kubeba. Na maziwa .

Hospitali ya Kanda Chato.... naomba tutathmini kwanza maendeleo ya hospitali ya Mloganzila. State of the Art buildings only 40km away from Dar City Centre na Muhimbili. Mojawapo ya mafanikio makubwa ya Awamu ya nne. Lakini Angalia changamoto zake. Uhaba wa madaktari hadi leo. Sasa hao specialist doctors watakaokubali kuishi Chato mtawalipa fedha kiasi gani?. A hospital is not just buildings. Its manpower resources and the economy surrounding it. Katika dhana ya mipango miji na maendeleo ya makazi lazima vigezo vyote hivyo kuangaliwa. Kwa uelewa wangu Chato haina vigezo. Tusidanganyane.
 
Mama kasema ukweli toka moyoni..
Kaeleza namna ya kumuenzi JPM
Na jinsi ya kuutumia uwanja wa ndege Chato
 
Back
Top Bottom