Prof. Tibaijuka: Lissu kuendelea kusalia Gerezani haina afya, Nchi haiwezi kutulia bila maridhiano

Samia alikuja na “R” nne. Moja ya “R” hizo ni REFORMS, yaani mabadiliko. Lisu akamuunga mkono Mama kwa kusema “Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi” (NO REFORM, NO ELECTION). Akakamatwa kwa uhaini wakati aliunga mkono falsafa ya 4R! Mbadilishie mashtaka mseme alikosea kumuunga mkono Mama
 
Huyu mama kama maCCM yangemsikiliza nchi hii ingekuwa mahali salama pa kuishi. Nawashangaa sana maCCM kwanini hayayafanyii kazi maoni ya Profesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…