Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kama alivuliwa na majambazi kwanini awapende majambazi🤔hata afya yake imezorota sana . anaoenakana kuwa na maumivu makubwa. huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalmbali ila shida nadhani ni mihemko,jazba na chuki vinamfanya aumie. anapaswa akubalie tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana. atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marhamu. so amove on tu maisha yaendelee.... asikunjane moyo.
Imagine na umri wake bado analilia uCAG.hata afya yake imezorota sana . anaoenakana kuwa na maumivu makubwa. huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalmbali ila shida nadhani ni mihemko,jazba na chuki vinamfanya aumie. anapaswa akubalie tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana. atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marhamu. so amove on tu maisha yaendelee.... asikunjane moyo.
ana hasira sana na serikali kwasababu alikuwa na matarajio makubwa kwamba itamtumia, alipoingia serikalini akasahau kuwa pamoja na usomi unatakiwa kufanya kazi kwa busara na hekima kulingana na waliokuzunguka. mfano, mimi sinywi pombe, ila nafanya biashara na kazi na walevi, ila hata siku moja sijawahi kuwaita walevi, nikiwaita walevi nina uhakika hata huo ulevi wanaweza wasibadilike kwasababu wataona sijatumia busara kuwashauri, na hata biashara nao wanaweza kukata tusiendelee nao. yeye kaja kichwakichwa kwenye awamu ambayo ilikuwa haipendi kukosolewa moja kwa moja bali kukosolewa kwa hekima na busara. sasaivi amekaa anakula matunda ya kutokuwa na busara.hata afya yake imezorota sana . anaoenakana kuwa na maumivu makubwa. huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalmbali ila shida nadhani ni mihemko,jazba na chuki vinamfanya aumie. anapaswa akubalie tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana. atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marhamu. so amove on tu maisha yaendelee.... asikunjane moyo.
Mi naona bora kuondolewa kwa Assad kulikuwa na unafuu maana ilibidi atumikie vipindi viwili ila alipomakiza kimoja hakuteuliwa tena kuendelea na kingine! Lakini Ndugai aliondolewa vibaya sana! Tena kwa vichambo kama vyote licha ya kuomba radhi lakini wapi!Aliondolewa kimagumashi sana
Yule kichomi ndugae sijui yuko wapi sasa?
Mwendazake kaacha athari kubwa sana na kuidumaza nchi yetu
Tutachukua hata miaka ishirini ili kuamka tena!
sasa shida yake ni kwamba, umri wao umeenda sana. ukiwa mzee ukawa na vinyongo na mahasira ya ajabuajabu, unakaribisha maradhi ya uzee, utaondoka kabla ya wakati wako.Mi naona bora kuondolewa kwa Assad kulikuwa na unafuu maana ilibidi atumikie vipindi viwili ila alipomakiza kimoja hakuteuliwa tena kuendelea na kingine! Lakini Ndugai aliondolewa vibaya sana! Tena kwa vichambo kama vyote licha ya kuomba radhi lakini wapi!
Ukiwaangalia hawa watu wawili unaona kabisa Ndugai anachuki za wazi kwa Mh Rais aliemuondoa kimezengwe ila Assad bado anakinyongo mno! Sijui analikuwa na nn pale kwenye kiti cha CAG.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bahati mbaya sana kwake HARUHUSIWI kikatiba kuajiriwa na taasisi yoyote inayokuwa audited na CAG!hata afya yake imezorota sana . anaoenakana kuwa na maumivu makubwa. huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalmbali ila shida nadhani ni mihemko,jazba na chuki vinamfanya aumie. anapaswa akubalie tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana. atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marhamu. so amove on tu maisha yaendelee.... asikunjane moyo.
Ni msomi ila namuweka kundi la wazee wa hovyo..chuki imemuharibu akili.hata afya yake imezorota sana . anaoenakana kuwa na maumivu makubwa. huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalmbali ila shida nadhani ni mihemko,jazba na chuki vinamfanya aumie. anapaswa akubalie tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana. atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marhamu. so amove on tu maisha yaendelee.... asikunjane moyo.
hata afya yake imezorota sana . anaoenakana kuwa na maumivu makubwa. huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalmbali ila shida nadhani ni mihemko,jazba na chuki vinamfanya aumie. anapaswa akubalie tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana. atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marhamu. so amove on tu maisha yaendelee.... asikunjane moyo.
Komeo...hata afya yake imezorota sana . anaoenakana kuwa na maumivu makubwa. huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalmbali ila shida nadhani ni mihemko,jazba na chuki vinamfanya aumie. anapaswa akubalie tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana. atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marhamu. so amove on tu maisha yaendelee.... asikunjane moyo.
Wigwa,mizee mingine isiyo na hekima ndiyo hii analazimisha madaraka