ana hasira sana na serikali kwasababu alikuwa na matarajio makubwa kwamba itamtumia, alipoingia serikalini akasahau kuwa pamoja na usomi unatakiwa kufanya kazi kwa busara na hekima kulingana na waliokuzunguka. mfano, mimi sinywi pombe, ila nafanya biashara na kazi na walevi, ila hata siku moja sijawahi kuwaita walevi, nikiwaita walevi nina uhakika hata huo ulevi wanaweza wasibadilike kwasababu wataona sijatumia busara kuwashauri, na hata biashara nao wanaweza kukata tusiendelee nao. yeye kaja kichwakichwa kwenye awamu ambayo ilikuwa haipendi kukosolewa moja kwa moja bali kukosolewa kwa hekima na busara. sasaivi amekaa anakula matunda ya kutokuwa na busara.
worse enough, hata baada ya mwendazake kuondoka, awamu ya mama ambaye ni very considerate, yeye bado ameonekana hana busara, sasa asaidiwaje huyu?