Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

Kitendo tu cha kusubiri mwanaume mwenzio afe ndiyo ujitokeze kumshambulia ni upumbavu hata kama una hoja.
 
Kitendo tu cha kusubiri mwanaume mwenzio afe ndiyo ujitokeze kumshambulia ni upumbavu hata kama una hoja.
Tahadhari ndio ilisababisha kobe aishi miaka mingi...

Kupitia lussu, azory, ben nk kuna kitu unajifunza hapo...

Najua huwezi liona hilo wewe timu mapambio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tahadhari ndio ilisababisha kobe aishi miaka mingi...

Kupitia lussu, azory, ben nk kuna kitu unajifunza hapo...

Najua huwezi liona hilo wewe timu mapambio

Sent using Jamii Forums mobile app

Tahadhari ndio ilisababisha kobe aishi miaka mingi...

Kupitia lussu, azory, ben nk kuna kitu unajifunza hapo...

Najua huwezi liona hilo wewe timu mapambio

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndiyo upumbavu ninaouzungumzia hapa!

Kama hataki kufa kwa anachokiamini si akae kimya milele asubiri kufa kwa malaria!

Nani kamdanganya kuwa sasa yupo salama kuharisha chochote?

FYI:Muda unaofikiri uko salama ndiyo huwa wa hatari zaidi.
 
Huo ndiyo upumbavu ninaouzungumzia hapa!

Kama hataki kufa kwa anachokiamini si akae kimya milele asubiri kufa kwa malaria!

Nani kamdanganya kuwa sasa yupo salama kuharisha chochote?

FYI:Muda unaofikiri uko salama ndiyo huwa wa hatari zaidi.
Mwache azungume ni haki yake... Na wewe ni haki yako..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nmeskia anasema tulitakiwa kuanza na ndege moja ilihali anajua kabisa hii nchi tushakuaga na ndege moja! kwa kifupi ni bora alifukuzwa tu
 
Safi sana mkuu. Huyu mtu amekuwa kwenye bodi nyingi kabla ya kuwa CAG , wewe umetaja NBC , vile vile kuna NSSF to mention but few . Taasisi hizi zote zilikuwa zimajaa upigaji. Tatizo la wabongo hawajuii falsafa ya chapati au samaki kukaangwa kwa kugeuzwa geuzwa , ukimgeuza geza Assad hafai hata kidogo. Anajiona yuko right kuliko wengine , ni fanatic fulani wa misimamo ya kijinga jinga.
 

kutokufuata sheria ya manunuzi ni tatizo kubwa na lina hasara nyingi kuliko faida. Procurement yoyote inayofanywa kwa siri, uharaka na kutokufuata sheria za manunuzi ni bomu kubwa na hatari sana, huwezi kununua mali ya uma ovyoovyo tu kama unaenda sokoni kununua nyanya, sitetei mti wala sina upande ila wewe kutetea kufanya procurement bila kufata kanuni za manunuzi nakupinga na nakaa kwa sababu ni hatari sana nakupa mfano wa hasara unaweza ishia kununua kitu kisicho na ubora, unaweza kununua kitu kwa gharama kubwa tofauti na uhalisia na unaacha nafasi za watu kuiba pesa wakati wa manunuzi. kwa nchi kama tanzania ambayo uchumi upo chini , hakuna nyongeza ya mishahara hakuna ajira kwa vijana hakuna madawa hospitalini matatizo lukuki etcetc how comes unatoa pesa cash unaenda nunua mindege tena bila hata kufata utaratibu?? hicho cha kusema hataki kupoteza mda ndo madhara yake hapa unanunua mandege makubwa hayaruki maintanance costs ni kubwa, hujufanya feasibillity study kama hio biashara ni feasible mwisho wa siku kampuni inapata hasara ujue hakuna taratibu ya kitaalamu isio na faida serikali kwenye hili swala hakuna ubishi ilikosea sana na imetuingiza hasara ambayo ingeweza kuepukika
 
Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi...
Mtahaha sana .... IPO SIKU KUTAKUWA NA COLABO YA MA-CAG WOTE AAFUU MJE MUWAKATAE
 
Hizo taasisi zilizopigwa, ZIMEPIGWA NA ASSAD? Wewe umejuaje kwamba zimepigwa?
 
Hujakosea usemacho, ila nnachokisemea mimi ni afadhali aliyethubutu kununua hata kama hakufuata njia sahihi kuliko yule ambaye hakununua kabisa.

Shirika lilikuwa limekufa kabisa... hamna ndege hata moja. Je, hiyo hela angeila yeye au kujinunulia majumba na vitu vingine vya thamani ingekuaje? Hao ambao wanamsema wamefanya nn cha maana.

Na pia upatikanaji wa dawa na huduma nyingine za kijamii ni mkubwa zaid ukilinganisha na kipind kingjne chochote cha serikali zilikuwa madarakani.

"AHERI UFANYE UKOSEE, KULIKO KUTOKUFANYA KABISA" na hiyo ndo maana ya UTHUBUTU
 
Hujakosea usemacho, ila nnachokisemea mimi ni afadhali aliyethubutu kununua hata kama hakufuata njia sahihi kuliko yule ambaye hakununua kabisa. Shirika lilikuwa limekufa kabisa..
Dhamira ya serekali ilikuwa nzuri hilo halina ubishi ila approach yake ni mbovu na lazima ikanwe isikae ijirudie tena. kununua hayo mandege bila kufata utaratibu ni mbaya zaidi kuliko kutokununua kabisa.

Mimi na wewe hatuna uhakika kama kuna ufisadi umefanyika hapo na kama umefanyika ni hasara kwa taifa haya umenunua ndege kwa kukurupuka hujafanya survey kama biashara hio itakulipa kampuni mpaka leo linaingia hasara tu maintaniance cost na running costs ni kubwa kuliko mapato alafu unakuja kujisifia eti ni bora mimi nilinunua ndege duuh ni hatari sana uthubutu kwenye jambo bila mipango endelevu ni ujinga tu kama ujinga mwingine
 
Cash ina mambo yake ya kufanya, ni kichaa tu ananunua ndege cash kwa (U$200mil) halafu watu wanakufa kwa kukosa matibabu na madawa huku watoto wanasoma chini ya miembe.

As simple as that, as easy as ABC. Hatuangalii kama Ethiopia wamefanya, Qatar wamefanya, US airline wamefanya, British air wamefanya, tunacho angalia ni matatizo na uwezo wetu sisi wenyewe.
 
Of course familia yangu ni ya kimasikini, ndio maana kwangu sina wazo la kununua hata gari kwa cash sembuse ndege!, ila kumwambia bibi na shangazi zangu ni wajinga kwa kuweza kununua wanachokiweza, wewe na huyo aliyesema tutatifuana.
Utatifuana na nani wewe usiyejua hata IPSAS ni nini.

Komaa kula mabuyu tu jomba.
 
Hizo taasisi zilizopigwa, ZIMEPIGWA NA ASSAD? Wewe umejuaje kwamba zimepigwa?
Usidandie gari kwa mbele , nimekuambia kulikuwa na upigaji Je hujui kuwa aliwahi kiwa mjumbe pale NSSF (as it then was)? Ujenzi wa majengo ya ovyo ovyo ambayo hayawezi kurudisha ghalama haraka , hivyo poteza pesa za wafanyakazi.

Yeye Assad wakati wa tenure yake alifanya nini? The guy has no clean hands , akae kimya , aache siasa , Kama ni kadi yake ya CUF basi aendeleze tujue. Aache kushutumu marehemu ambaye hawezi kuja kujitetea Sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…