chief_
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 830
- 1,395
Magu alifanikiwa kuwabrainwash wajinga.... Kila siku mapambioNinayo clip hapa,ametumia neno"ujinga" siyo "kichaa" na wewe ume-personalise
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magu alifanikiwa kuwabrainwash wajinga.... Kila siku mapambioNinayo clip hapa,ametumia neno"ujinga" siyo "kichaa" na wewe ume-personalise
Hawa watu hawataki kuelezwa ukweli na tukubali tu jamani kuwa nchi hii ndanibya Magu ilikuwa inaendeshwa kwa style ya one man show.
Wapambane na hali zaoHawa watu hawataki kuelezwa ukweli na tukubali tu jamani kuwa nchi hii ndanibya Magu ilikuwa inaendeshwa kwa style ya one man show.
wataisoma namba
Tahadhari ndio ilisababisha kobe aishi miaka mingi...Kitendo tu cha kusubiri mwanaume mwenzio afe ndiyo ujitokeze kumshambulia ni upumbavu hata kama una hoja.
Tahadhari ndio ilisababisha kobe aishi miaka mingi...
Kupitia lussu, azory, ben nk kuna kitu unajifunza hapo...
Najua huwezi liona hilo wewe timu mapambio
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndiyo upumbavu ninaouzungumzia hapa!Tahadhari ndio ilisababisha kobe aishi miaka mingi...
Kupitia lussu, azory, ben nk kuna kitu unajifunza hapo...
Najua huwezi liona hilo wewe timu mapambio
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwache azungume ni haki yake... Na wewe ni haki yako..Huo ndiyo upumbavu ninaouzungumzia hapa!
Kama hataki kufa kwa anachokiamini si akae kimya milele asubiri kufa kwa malaria!
Nani kamdanganya kuwa sasa yupo salama kuharisha chochote?
FYI:Muda unaofikiri uko salama ndiyo huwa wa hatari zaidi.
Safi sana mkuu. Huyu mtu amekuwa kwenye bodi nyingi kabla ya kuwa CAG , wewe umetaja NBC , vile vile kuna NSSF to mention but few . Taasisi hizi zote zilikuwa zimajaa upigaji. Tatizo la wabongo hawajuii falsafa ya chapati au samaki kukaangwa kwa kugeuzwa geuzwa , ukimgeuza geza Assad hafai hata kidogo. Anajiona yuko right kuliko wengine , ni fanatic fulani wa misimamo ya kijinga jinga.Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi.
Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash.
Utafiti unaojulikana Duniani kote uliofanywa na Chase & Associate unaonyesha kua ndege zote za biashara 73% hununuliwa kwa cash ama wanaita outright purchase. Je, wote hao 73% ni vichaa? Ama profesa ndie ana akili kuwazidi?
Profesa anataka kuaminisha umma kua njia pekee na ya lazima ya kununua ndege ni kwa mkopo, kwa cash unakua kichaa, hivi huyu jamaa ana akili kweli?
Profesa ameongea kama mtu ambae hakwenda shule, profesa analazimisha mtazamo wake ndio uwe mtazamo wa watu wote.
Nilikua namkubali profesa lakini hii la ku-personalize tofauti zake na Magufuli na kumshambulia marehemu kua ni kichaa tena kwa mtazamo wake binafsi imesababisha nimemuondoa akili profesa Assad.
Hivi profesa yeye kwenye maisha ama kwenye public settings ameweza kufanikisha lipi?, Amewahi kua mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa NBC, enzi za utawala wake benki ilikua inaelekea kufa/kufilisika kabisa. Bila yeye kuondolewa bank isingekuwepo sasa hivi. Asijionyeshe kua no brainy saana, alipewa nafasi mbona hakutuonyesha huo u brainy wake?
Analalamikia kua hakupewa nyaraka za SGR, JNHP, ATCL, kwa nini hakujiuzuru kuonyesha credibility? Maana hapo ni sawa na kua alizuiwa kutekeleza majukumu yake ya msingi kwa maslahi mapana ya nchi, kwa nini hakujiuzuru?
Labda kama ulikuwa hujui, taratibu za manunuzi ya serikali, watu binafsi au mashirika yote lazima yafuate mwongozo wa kitaalamu. Sio kwamba kwa vile wewe ni raia basi ununue vitu hovyo hovyo bila kujua matokeo yake huko baadae.
Licha ya hivo unapaswa kujua sheria zetu zina ukiritimba na mlolongo mrefu wakati wa kutekeleza manunuzi ya yoyote ya serikali. Hayati kwa kulijua hilo aliona ni vyema akafanya jambo sahihi hata kama alikiuka sheria za manunuzi. Angekuwa amenunua kwa ajili yake na familia yake hakika hata mimi nisingemtetea hata mara moja.
Hebu jiulize swali moja. Vitu vyote wanavyomlaumu navyo magufuli alinunua au kuvifanya kwa ajili yake au taifa. Ndo utaelewa n nn nnacjokitetea
Mtahaha sana .... IPO SIKU KUTAKUWA NA COLABO YA MA-CAG WOTE AAFUU MJE MUWAKATAENimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi...
Hizo taasisi zilizopigwa, ZIMEPIGWA NA ASSAD? Wewe umejuaje kwamba zimepigwa?Safi sana mkuu. Huyu mtu amekuwa kwenye bodi nyingi kabla ya kuwa CAG , wewe umetaja NBC , vile vile kuna NSSF to mention but few . Taasisi hizi zote zilikuwa zimajaa upigaji. Tatizo la wabongo hawajuii falsafa ya chapati au samaki kukaangwa kwa kugeuzwa geuzwa , ukimgeuza geza Assad hafai hata kidogo. Anajiona yuko right kuliko wengine , ni fanatic fulani wa misimamo ya kijinga jinga.
Hujakosea usemacho, ila nnachokisemea mimi ni afadhali aliyethubutu kununua hata kama hakufuata njia sahihi kuliko yule ambaye hakununua kabisa.kutokufuata sheria ya manunuzi ni tatizo kubwa na lina hasara nyingi kuliko faida. Procurement yoyote inayofanywa kwa siri, uharaka na kutokufuata sheria za manunuzi ni bomu kubwa na hatari sana, huwezi kununua mali ya uma ovyoovyo tu kama unaenda sokoni kununua nyanya...
Dhamira ya serekali ilikuwa nzuri hilo halina ubishi ila approach yake ni mbovu na lazima ikanwe isikae ijirudie tena. kununua hayo mandege bila kufata utaratibu ni mbaya zaidi kuliko kutokununua kabisa.Hujakosea usemacho, ila nnachokisemea mimi ni afadhali aliyethubutu kununua hata kama hakufuata njia sahihi kuliko yule ambaye hakununua kabisa. Shirika lilikuwa limekufa kabisa..
Cash ina mambo yake ya kufanya, ni kichaa tu ananunua ndege cash kwa (U$200mil) halafu watu wanakufa kwa kukosa matibabu na madawa huku watoto wanasoma chini ya miembe.Ethiopian Airlines fleet - Wikipedia
en.wikipedia.org
Soma hapo ujue Eithiopia Airline wanamiliki ndege ngapi walizonunua cash na order walizoweka kwa cash kuletewa ndege na ambazo wamekopa/lease.
Halafu mtu anakuja kuropoka eti kununua cash ni ukichaa.
Utatifuana na nani wewe usiyejua hata IPSAS ni nini.Of course familia yangu ni ya kimasikini, ndio maana kwangu sina wazo la kununua hata gari kwa cash sembuse ndege!, ila kumwambia bibi na shangazi zangu ni wajinga kwa kuweza kununua wanachokiweza, wewe na huyo aliyesema tutatifuana.
Usidandie gari kwa mbele , nimekuambia kulikuwa na upigaji Je hujui kuwa aliwahi kiwa mjumbe pale NSSF (as it then was)? Ujenzi wa majengo ya ovyo ovyo ambayo hayawezi kurudisha ghalama haraka , hivyo poteza pesa za wafanyakazi.Hizo taasisi zilizopigwa, ZIMEPIGWA NA ASSAD? Wewe umejuaje kwamba zimepigwa?