LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Mmmh, wapi umeambiwa walinunua kwa cash? Bado taarifa yako haijakamilikaEthiopian Airlines fleet - Wikipedia
en.wikipedia.org
Soma hapo ujue Eithiopia Airline wanamiliki ndege ngapi walizonunua cash na order walizoweka kwa cash kuletewa ndege na ambazo wamekopa/lease.
Halafu mtu anakuja kuropoka eti kununua cash ni ukichaa.