Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Unataka kubishana na Prof Assad, kwa kutumia google daaah fanya hivi kukata mzizi wa fitna tutajie masharika ya ndege ambayo walinunua ndege cash?Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi...