Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

Hiyo wiki-info imeonyesha mpango wa kukopa pesa na kukodi ndege. Haionyeshi malipo ya pesa taslimu. Rudia kusoma
 
Wanufaika wa mateso ya marehemu magufuli wote wamejitoa fahamu wanatetea uonevu uovu mateso manyanyaso ya marehemu magufuli kwa watanzania pasipo kuona Aibu, ama kweli Nchi hii ilijaa mashetani wengi ambao ni wanufaika wa udikiteta wa marehemu
 
Professor anaendesha vits nyekundu gari ambayo wanaume huhonga just for papuchi
 
Mtu aliyejinufaisha kupitia mgongo wa udikiteta wa marehemu magufuli huwa ni vigumu aone madhambi ya marehemu
 
Dadangu punguza jazba basi.
 
Rubbish. Nenda kanywe chai na mwenda zake kama unampenda sana. Wewe ungesimama kwenye nafasi ya Profesa kwa mambo aliyotendewa na hiyo mwenda zake. Kila mtu sasa amemgeuka hata tuliodhani ni die hard fans wa mwenda zake wamepiga u turn. Hata Ndugai kamgeuka.
 
Out of topic
 
Kasoma kataarifa kidogo tu mtandaoni anajiona GURU
 
Weka data acha kuropoka.
Usitusumbue na link fake.
Sikiliza basi neno la Bwana; ,,
,, Bwana akamwambia Samweli, Hata lini utamlilia Sauli, ikiwa mimi nimemkataa asiwamiliki Israeli?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Unajua Emirates, Etihad, Gulf Air, Singapore Airways, Quntas, Autralian wote wananunua keshi.

Labda ni kweli ni nyingi, lakini lazima tume na ndege zetu.

Huyu ana ajenda, wote waliotumbuliwa wana hasira hawajuhi jinsi ya kujiajiri. Watagemea watateuliwa.

Na hili group lao linaloitwa kigogo 2014 linawapoteza Watanzania sana.
 
Nani kakuambia mletauzi pekeake ndio amemdharau huyo profesa, hata mimi nimemdharau na wengine wengitu wenye akili.
 
Mjomba samahani una elimu gani?Au ndo Rushwa ya akili inakusumbua kama alivyosema Jana!

Kaa tafakari sio unachomoa vineno,unakurupuka tu bila kuelewa.
Nawewe mjomba samahani unaelimu gani?
Mbona unashindwa kujibuhoja ya mletauzi unaanza mipasho.
 
Sasa shida zote hizo za nini wakati hela ipo. Tununue tu. Sisi ni nchi tajiri na sio masikini tuanze kukopa kopa kila siku.
Maeneo mengi watoto bado wanakaa chini madarasa hata hayatoshi, mahospitali na vituo vya afya hamna wafanyakazi wala vitendea kazi, maji ndio kabisaa tunachangia na wanyama. Ni shida sana.
 
Nani kakuambia mletauzi pekeake ndio amemdharau huyo profesa, hata mimi nimemdharau na wengine wengitu wenye akili.
Na wewe huna tofauti naye na wa mfano wenu wako wengi wachache katika 100 mpo watatu hivyo haisumbui kitu
Kwa sasa sio muda wenu wa kuelewa mtaelewa huko mbeleni
Kuelewa taratibu inaruhusiwa
 
Maeneo mengi watoto bado wanakaa chini madarasa hata hayatoshi, mahospitali na vituo vya afya hamna wafanyakazi wala vitendea kazi, maji ndio kabisaa tunachangia na wanyama. Ni shida sana.
Hayo maeneo mengi na wap huko... mzee kajenga shule na ameboresha ngapi, vituo vya afya, zahanat na hospitali ngap zimejengwa...? Maendeleo sio hivo tu kila siku watu huongezeka. Hivyo ukiona serikali inanunua ndege au kufanya shughuli nyngne za kimaendeleo, kwanza jua inatengeneza ajira pili inaongeza wigo wa ukusanyaji kodi....

ni sawa naww nyumban kwako useme mm nataka ntumie hela yangu yote kusomesha watoto na matibabu ukasahau kuna siku zitaisha inabidi utafute nyingine. Watanzania lazima ifike mahali tuwe na jicho la kuona mbali. Mipango ya muda mfupi na muda mrefu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi.

Hata marekani inarusha vyombo kwenda kufanya tafiti sayari za mbali lakini kuna watu wake hawana makazi wanalala mtaani. Chaguo ni lako, chukua au acha.
 
Nadhani ukiangalia balance sheet ya mashirika kumi makubwa ya ndege utakuta wanamadeni makubwa ya muda mrefu sababu manunuzi ya ndege.

Kwa Tanzania report ya CAG imeweka mambo sawa zaidi serikali ndio inamiliki ndege sio ATCL. Shirika lina mkataba wa lease operating licence only, na tena serikali inaonekana wapo serious kulipwa hela yao kwa mujibu wa mkataba.

So hela ya serikali imeanza kurudi kitambo tu kwa manunuzi ya ndege; be it inarudishwa kivingine ATCL kupitia ruzuku.

Hope na ATCL nao wapo serious kibiashara kulipwa hela yao siku raisi au viongozi wengine wa nchi wanapochokua ndege kwa shughuli za serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…