LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Mmmh, wapi umeambiwa walinunua kwa cash? Bado taarifa yako haijakamilika
Soma hapo ujue Eithiopia Airline wanamiliki ndege ngapi walizonunua cash na order walizoweka kwa cash kuletewa ndege na ambazo wamekopa/lease.
Halafu mtu anakuja kuropoka eti kununua cash ni ukichaa.
Si uzome link hiyo, sasa kama kusoma hujui nikusaidieje?Mmmh, wapi umeambiwa walinunua kwa cash? Bado taarifa yako haijakamilika
Mjomba samahani una elimu gani?Au ndo Rushwa ya akili inakusumbua kama alivyosema Jana!Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi..
Kwanini kulikuwa na usiri na kuhamisha baadhi ya mashirika kuyapeleka na kuyaweka mfukoni!?Tuliomuondoa akili ni wengi na wenye akili. Majuha kama nyie mnashabikia tu hamkuona kama amekosea.
Hapa hatuzungumzi individual company, tunazungumzia serikali yenye wajibu wa kutoa huduma kwa jamiii.Hivi mindege inaweza ikawa kipaumbele cha cash huku huduma za jamii ni mbovu, unakopa za kutoa huduma kwa jamii unatumia cash kununua mindege mibovu ambayo ni irrelevant ktk matumiz na uhitaji.Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi...
Elimu niliyonayo sidhani kama kuna mtu kwenye ukoo wenu atakua nayo ama atakuja kua nayo.Mjomba samahani una elimu gani?Au ndo Rushwa ya akili inakusumbua kama alivyosema Jana!
Kaa tafakari sio unachomoa vineno,unakurupuka tu bila kuelewa.
Hivi alikumbuka kuwaambia kuwa mtu ukikopa gharama zinakuwa juu zaidi ya uñunuzi wa hizo ndege kwa cash...? Na pia kwa mfano kipindi chote cha corona ndege zilikuwa haziruki, kama zingekuwa zimekopwa hela ya kulipa hayo madeni ingetoka wapi...? Pathetic profools... nlikuwa namwelewa lkn kwa hili naona kavuka mipaka. Aache unafki
Wanachi wangejua kupitia wabunge gani, hawa walioko bungeni ama wengine? Hivi una akili sawasawa kweli?Hapa hatuzungumzii individual company,tunazungumzia serikali yenye wajibu wa kutoa huduma kwa jamii...
wewe wa hovyo sana hukuelewa logic behind ya prof,, kama kuna opportunity ya mkopo unanunua na fedha unaalllocate kwenye mradi mingine yenye kurudisha fedha kwa haraka biashara ya ndege hairudishi fedha kwa haraka ndiyo maana miaka yoote mitano ni hasaraNimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi...
Ugua pole Mjomba ake.Elimu niliyonayo sidhani kama kuna mtu kwenye ukoo wenu atakua nayo ama atakuja kua nayo.
Huyu ana utapia mlo kama sio mtindio wa ubongo na wengi wanomuunga mkono basi hawajui kama ambavyo huyu mleta mada hajui na hajui kama hajui na analazimisha kujionesha ni yeye ndio mwerevuwewe wa hovyo sana hukuelewa logic behind ya prof,, kama kuna opportunity ya mkopo unanunua na fedha unaalllocate kwenye mradi mingine yenye kurudisha fedha kwa haraka biashara ya ndege hairudishi fedha kwa haraka ndiyo maana miaka yoote mitano ni hasara
Ripoti inaonesha CHADEMA kuna madudu, mwenyekiti atauluzwa?Kasema kununua Airline kwa kutumia Taslimu
Kwasababu inapoingiza fedha deni linalipwa
Taslimu ziingizwe kwenye Elimu Afya ya Jamii na Miundombinu ya kuunganisha Vijiji kwa Vijiji.
Umeshawahi kuishi nje au unaropoka tu.Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi...
Kitu ambacho ujamwelewa ni kuwa kwa inchi maskini kama Tanzania kununua ndege kwa Cash ndio ukichaaNimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi...
Yani bora limeenda tu na halirudi tena. Ingewezekana kabla ya kuzikwa wangechukua sampuli za ubongo wake waende maabara kupima na kutafiti jamaa liliumbwaje na kuwa natabia ya hovyo na ya kukera ili asije kutokea Rais mwengine wa hovyoooooooo.Unanunuaje cash wakat wafanyakaz wako umewakazia more than 5 yrs hakuna nyongeza , vijana ajira hamna , amesema cash ina matumizi yake Kwa issue kama hzo unapiga mkopo , hakuna haja ya kulaza njaa watu alaf unaenda kununua Boeing Kwa keshi unakuja kuliweka ardhini haliendi popote linakula hela ya maintenance , huku vijana mtaani wanakomaa na vibanda umiza , kw dharau unawaambia wajiajiri
Ni lini bunge lilipitisha budget ya kununua mindege,ambayo haikufuata utaratibu wa manunuzi?Nyie ni mazombie yake,endeleeni kuabudu huo mzimu wenu maana hata muubiriwe vipi sio riziki kwakua aliwapa ulaji mmefutuka mithili ya mighulube ya MbeyaWanachi wangejua kupitia wabunge gani, hawa walioko bungeni ama wengine? Hivi una akili sawasawa kweli?