Makala josee
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 511
- 447
Duh hizi porojo mnazitoa wapi waungwana, taaluma yako ya ualimu si bule ikakushinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok kwakua bunge halikuchukua hatua kwakua mazombie yake,kwa hyo unataka tuhalalishe makosa ya jiwe kwakua Bunge halikuchukua hatua?Alafu usijifanye ulikua kipofu au kiziwe enzi za jiwe,hukuona alijimilikisha mihimili yote achilia mbali ķuvunja katiba mara nyingi,wote walienda na beat zake ukiwemo na wew,walioenda kinyume walisulubiwa au kupelekwa gerezani?We endelea kufurahia matunda yake kwako na kujifanya zombie huku unaujua ukweli juu ya maovu ya Jiwe.You are very selfish.Ndio maana najaribu ku question uwezo wako wa akili.
Okay, bajeti haikupitishwa na bunge, hilo bunge lako lilichukua hatua gani? Maana lina mamlaka nauwezo wa kumuondoa rais kama akifanya kinyume na katiba, walifanya nini?
Ndio maana nakuuliza unategemea hawa wabunge kweli? Uko sawasawa kichwani? Kichwani umejaza ugoro ama mavi?
Mm Baba yako mzazi nipo na mama yako tumejiungia hahaaaa napata mamboTulia mke wangu mrembo.
Mtoto mzuri tulia wewe,shanga zimekubana?Mm Baba yako mzazi nipo na mama yako tumejiungia hahaaaa napata mambo
Mtu ameamka asubuhi amevimbiwa na maharage sijui ya wapi..ana google ka research kamoja ambako hata hakaendani na muktadha wa tanzania..halafu anataka abishane na Prof Assad. AmakweliWewe Hakimu Mfawidhi nilidhani na wewe una akili timamu kumbe na wewe ni mtu wa hovyo kabisa. Kwanza kabisa, Aircraft Couriers nyingi duniani hazimilikiwa na serikali kwa asilimia 100%. Halafu pili wanaonunua ndege kwa pesa taslimu wengi wao ni mashirika binafsi (Aircraft Financing Corporation or Privately Owned Civilian Courriers) ambayo hufanya hivyo kwa lengo la kutengeneza mikataba ya utumiaji (Aircraft Lease Agreement) na wateja wengine au nchi ambao (The Lessee) na siyo serikali.
Ukienda kule Ireland makampuni mengi yana miliki ndege lakini siyo kwa lengo la usafirishaji peke yake bali kuazimisha kwa wateja mbalimbali. Lakini kubwa Upright Purchase huwa inafanywa na mashirika makubwa binafsi yenye mizizi mirefu kwenye biashara ya usafiri wa anga. Hebu wacha hizi mambo za kushabikia upuuzi na ujinga, yaani unasoma kitaarifa kimoja huko mtandaoni halafu unahisi ushakuwa Guru......
SILLY !!!!!!Kuna watu bhana wamejaa unafiki licha ya biblia,quran na mavazi yao yanayoakisi uchaji wa Mungu wao.
Baada ya kuona camera zinakumulika umeamua kutumia IST ili uonekane ni mtu mwadilifu sana kumbe ni nafiki kubwa lililojaa ujuaji wa kijinga tu na chonganishi!
"Wanaotumia IST wanawake" Ukaona utumie kauli ya mjinga mwenzako ili uonekane mwema kumbe nafiki.
Sasa kama ungekuws mwadilifu kwanini umepokea hela ili uchonganishe watu?
Kama hujaelewa halikuhusu...pita kushoto nenda zako!
Uzi tayari
Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi.
Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash.
Utafiti unaojulikana Duniani kote uliofanywa na Chase & Associate unaonyesha kua ndege zote za biashara 73% hununuliwa kwa cash ama wanaita outright purchase. Je, wote hao 73% ni vichaa? Ama profesa ndie ana akili kuwazidi?
Profesa anataka kuaminisha umma kua njia pekee na ya lazima ya kununua ndege ni kwa mkopo, kwa cash unakua kichaa, hivi huyu jamaa ana akili kweli?
Profesa ameongea kama mtu ambae hakwenda shule, profesa analazimisha mtazamo wake ndio uwe mtazamo wa watu wote.
Nilikua namkubali profesa lakini hii la ku-personalize tofauti zake na Magufuli na kumshambulia marehemu kua ni kichaa tena kwa mtazamo wake binafsi imesababisha nimemuondoa akili profesa Assad.
Ve
Itakuwa ni busara na hekima kubwa kwa Prof Assad kuyafuta maneno ya kuhudhi aliyotumia maana hayalingani na hadhi yake. Pili yeye kama Mhasibu aliyebobea anajua ziko njia nyingi zinazo tumiwa kununua vitu mbalimbali na amekuwa akizifundisha, alitakiwa kutumia jukwaa hilo kuelimisha umma.Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi.
Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash.
Utafiti unaojulikana Duniani kote uliofanywa na Chase & Associate unaonyesha kua ndege zote za biashara 73% hununuliwa kwa cash ama wanaita outright purchase. Je, wote hao 73% ni vichaa? Ama profesa ndie ana akili kuwazidi?
Profesa anataka kuaminisha umma kua njia pekee na ya lazima ya kununua ndege ni kwa mkopo, kwa cash unakua kichaa, hivi huyu jamaa ana akili kweli?
Profesa ameongea kama mtu ambae hakwenda shule, profesa analazimisha mtazamo wake ndio uwe mtazamo wa watu wote.
Nilikua namkubali profesa lakini hii la ku-personalize tofauti zake na Magufuli na kumshambulia marehemu kua ni kichaa tena kwa mtazamo wake binafsi imesababisha nimemuondoa akili profesa Assad.
Kwa maana hiyo...mikopo ambayo mtukufu mwendazake amechukua katika kipindi chake lazma kutakua na upigaji umefanyika eehh? Maana mkopo wowote lazma uendane na upigaji si ndio?Huyo profesa aliamua tu apunguze nyongo. Tungenunua kwa mkopo ingekuwa ni sawa na IPTL nyingine. Kwenye huo mkopo kungezuka upigaji mwingi sana na kesi ambazo zingekuwa kichaka cha upigaji. Kosa la marehemu ni kupuuza vipaumbele vya taifa. Kununua ndege kibao huku shule haina madawati, hospitali haina madawa, wakulima hawajalipwa fedha zao ni kosa lisilosameheka. Na hiyo hasara imekujaje wakati ATCL haikuwa na mshindani fastjet?
Hawataki sasa maana wanaona ndiyo mwisho wao wa maisha
Kwahiyo sasa hivi hayo madege yanaliingizia kitu gani taifa ?Huyo profesa aliamua tu apunguze nyongo. Tungenunua kwa mkopo ingekuwa ni sawa na IPTL nyingine. Kwenye huo mkopo kungezuka upigaji mwingi sana na kesi ambazo zingekuwa kichaka cha upigaji. Kosa la marehemu ni kupuuza vipaumbele vya taifa. Kununua ndege kibao huku shule haina madawati, hospitali haina madawa, wakulima hawajalipwa fedha zao ni kosa lisilosameheka. Na hiyo hasara imekujaje wakati ATCL haikuwa na mshindani fastjet?
Huwaoni wanavyokamatwa wahamiaji haramuEthiopian Airlines fleet - Wikipedia
en.wikipedia.org
Soma hapo ujue Eithiopia Airline wanamiliki ndege ngapi walizonunua cash na order walizoweka kwa cash kuletewa ndege na ambazo wamekopa/lease.
Halafu mtu anakuja kuropoka eti kununua cash ni ukichaa.
Uzuri wa Prof yeye huwa anasemaga ukweli...anayekwazika akwazike lakini anasimama kwenye facts. Ndio maana alipoulizwa kwanini ripoti zake hazifanyiwi kazi..akajibu kwamba bunge (linalotakiwa kufanyia kazi mapendekezo yake) ni dhaifu...ambao ndio ukweli. Ndugai akavimba wee...wakamuita bungeni ili awapigie magoti na kuomba msamaha and he never did that. Na ndio moja ya sababu ya kumtumbua. But he left with his head held high. Hatakiwi kufuta neno hata moja.Itakuwa ni busara na hekima kubwa kwa Prof Assad kuyafuta maneno ya kuhudhi aliyotumia maana hayalingani na hadhi yake. Pili yeye kama Mhasibu aliyebobea anajua ziko njia nyingi zinazo tumiwa kununua vitu mbalimbali na amekuwa akizifundisha, alitakiwa kutumia jukwaa hilo kuelimisha umma.
Hata mimi nimeshangaa sana eti Prof. anaongea uongo wa wazi kiasi hicho!!! Lakini sishangai huwa ananunuliwa kirahisi sana nakumbuka alipokuwa Mwenyekiti wa Bodi ya NBC alishindwa kusimamia Benki ya NBC kiasi akafikia kutaka kufirisika kabisa kwa mbinu za Barclays ambao walikuwa main shareholder kwa kutumia mtindo wa kuongeza expenditure on the system background na yeye kutitwa South Africa na kupewa vipesa kiduchuuu. Lakini baada ya kuondolewa kwenye Uenyekiti NBC ikaanza na kupata faida. Nashangaa kujiona anajua sana kila kitu wakati hakuna chochote ambacho alishawahi kuongoza taasisi yoyote ikafanikiwa hapa nchini.Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi.
Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash.
Utafiti unaojulikana Duniani kote uliofanywa na Chase & Associate unaonyesha kua ndege zote za biashara 73% hununuliwa kwa cash ama wanaita outright purchase. Je, wote hao 73% ni vichaa? Ama profesa ndie ana akili kuwazidi?
Profesa anataka kuaminisha umma kua njia pekee na ya lazima ya kununua ndege ni kwa mkopo, kwa cash unakua kichaa, hivi huyu jamaa ana akili kweli?
Profesa ameongea kama mtu ambae hakwenda shule, profesa analazimisha mtazamo wake ndio uwe mtazamo wa watu wote.
Nilikua namkubali profesa lakini hii la ku-personalize tofauti zake na Magufuli na kumshambulia marehemu kua ni kichaa tena kwa mtazamo wake binafsi imesababisha nimemuondoa akili profesa Assad.
Ukweli upi mkuu? Muulize alipokuwa Mwenyekiti wa Bodi ya NBC alifanyanini zaidi ya kuipeleka NBC kaburini? Na asingeondolewa sasa hivi NBC ingekuwa ni hadithi tu.Uzuri wa Prof yeye huwa anasemaga ukweli...anayekwazika akwazike lakini anasimama kwenye facts. Ndio maana alipoulizwa kwanini ripoti zake hazifanyiwi kazi..akajibu kwamba bunge (linalotakiwa kufanyia kazi mapendekezo yake) ni dhaifu...ambao ndio ukweli. Ndugai akavimba wee...wakamuita bungeni ili awapigie magoti na kuomba msamaha and he never did that. Na ndio moja ya sababu ya kumtumbua. But he left with his head held high. Hatakiwi kufuta neno hata moja.
Anayetakiwa kufuta maneno na kutubu dhambi zake ni yule Sheikh wa dar ambaye alisemaga JPM ni zaidi ya Yesu na zaidi ya Mungu.