Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

Kwa taarifa yako kwa wale wa UD wanajua yule jamaa ni mzee wa ma benz tangu ametoka US.Hicho ki IST kama kimekuuma pambana na hali yako.

Tatizo liko kwa yule anayejiita mtetezi wa wanyonge kumbe ni mpigaji konki per se.
Kwa taarifa yako..nimefanya nae kazi UD.
 
Kwa nini wataalamu walipiga mahesabu ya lini SGR itapata faida ila hawakupiga mahesabu ya lini mandege yenu yataleta faida kabla hayajanunuliwa?

Halafu unafahamu reli hakuna mtu binafsi anaweza kuwekeza kuijenga ila ndege tayari tulikuwa na mashirika binafsi yaliyikuwa yanafanya vizuri sana? Ni Kiherehere gani kiliwatuma muende kuingia kufanya biashara kushindana na sekta binafsi iliyokuwa inafanya vizuri kabisa??
Sidhani kama serikali inakatazwa kuwa na biashara zake. Unapaswa kujua uchumi wa nchi ukitegemea mashirika binafsi ni nini kinaweza kutokea na hata kuhatarisha usalama nchi.

Pili kuhusu SGR ilisemwa wazi ya hilo, yamkini hata kwenye ndege imesemwa lakini mimi sina taarifa hivo siwezi kujibia jambo nisilolifahamu kwa kutaka sifa au kutetea hoja yangu. Nitasema jambo ambalo nina ufahamu nalo tu.
 
Inahitaji akili sana kukuelekeza mtu kama wewe. Hivi unajua zile sio mali ya Air Tanzania bali walikuwa wanazikodi kutoka kwenye shirika la ATCL hivo ilikuwa lasima urejeshe faida kwa kila Air Tanzania ilikuwa ikipata then mzunguko unaenda hivo ingawa kiuhalisia faida ilikuwa bado haitengenezwi kwa kuwa mtaji uliowekwa ulikuwa bado haujarudi??? Ww ukiwa na duka lako umewekeza milioni 1, ukiuza bidhaa za shilingi elfu 5 siku ya kwanza, ukipiga mahesabu utasema umepata faida kwa kuwa bidhaa umeziuza kwa faida na si hasara. Lakini kiuhalisia faida haipo kwa kuwa mtaji wako bado haujarudi yaani hela ya uwekezaji. Lakiki kwa kadiri mazingira ya biashara yanavyozidi kuimarika itafika wakati naww utaanza kuongelea faida halisi na kuanza kukuza mtaji. Hivi ndivyo biashara ilivyo.

Sasa kwenye shirika kubwa kama lile lenye ushindani usitegemee ya kuwa faida itakuja haraka haraka hivo. Muda ndo kila kitu. Shirika la Ethiopia Airlines usione limefanikiwa sana ni kutokana na miaka mingi ya kulikuza na kulisimamia... sasa lina zaid ya miaka 75... jifunze kuheshimu mdomo unakulisha
Ndugu hapa ATCL umepotosha kwa 100%. Hasara ya ATCL haina uhusiano wowote na mtaji uliowekezwa na serikali wakati wa kununua zile ndege. Hasara ile imetokana na gharama za uendeshaji wa kila siku vs mapato
 
Serikali ya Pombe imekopa 1.2 Trillion kutoka World Bank kwa ajili ya ujenzi wa madarasa alafu at the same time serikali ya Pombe imenunua ndege kwa cash sh. 1.5 Trillion.

Mkiambiwa mwendazake alikua ni tapeli mnarusha miguu kama kuku aliyekatwa kichwa.
Hii naicopy niongezee kwenye comment yangu , Jiwe hakuwa hata na PHD yule aliishia la saba Kwa akili zake
 
Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi.

Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash.

Utafiti unaojulikana Duniani kote uliofanywa na Chase & Associate unaonyesha kua ndege zote za biashara 73% hununuliwa kwa cash ama wanaita outright purchase. Je, wote hao 73% ni vichaa? Ama profesa ndie ana akili kuwazidi?

Profesa anataka kuaminisha umma kua njia pekee na ya lazima ya kununua ndege ni kwa mkopo, kwa cash unakua kichaa, hivi huyu jamaa ana akili kweli?

Profesa ameongea kama mtu ambae hakwenda shule, profesa analazimisha mtazamo wake ndio uwe mtazamo wa watu wote.

Nilikua namkubali profesa lakini hii la ku-personalize tofauti zake na Magufuli na kumshambulia marehemu kua ni kichaa tena kwa mtazamo wake binafsi imesababisha nimemuondoa akili profesa Assad.

Mataga safari hii lazima muanzishe chama chenu.
 
Professa kilaza huyo amejawa na husda....
alibinywa barabara....
 
Unanunuaje cash wakati wafanyakazi wako umewakazia more than 5 yrs hakuna nyongeza, vijana ajira hamna, amesema cash ina matumizi yake kwa issue kama hzo unapiga mkopo, hakuna haja ya kulaza njaa watu alaf unaenda kununua Boeing Kwa keshi unakuja kuliweka ardhini haliendi popote linakula hela ya maintenance, huku vijana mtaani wanakomaa na vibanda umiza, kwa dharau unawaambia wajiajiri....na unasepa chato kutengeneza uwanja wa ndege wa kimataifa , alaf Mimi msinikumbushe habari za jiwe kabisa aisee...the worst president ever
Haya tumeondika sasa uzeni hizo za cash nenda mkanunue kwa mkopo then mje mtuambie faida mlotengeneza
 
Unanunuaje cash wakati wafanyakazi wako umewakazia more than 5 yrs hakuna nyongeza, vijana ajira hamna, amesema cash ina matumizi yake kwa issue kama hzo unapiga mkopo, hakuna haja ya kulaza njaa watu alaf unaenda kununua Boeing Kwa keshi unakuja kuliweka ardhini haliendi popote linakula hela ya maintenance, huku vijana mtaani wanakomaa na vibanda umiza, kwa dharau unawaambia wajiajiri....na unasepa chato kutengeneza uwanja wa ndege wa kimataifa ......
Serikali ya Pombe imekopa 1.2 Trillion kutoka World Bank kwa ajili ya ujenzi wa madarasa alafu at the same time serikali ya Pombe imenunua ndege kwa cash sh. 1.5 Trillion. Alaf Mimi msinikumbushe habari za jiwe kabisa aisee...the worst president ever

View attachment 1749154
Asante sana kwa comnent yenye ukweli
 
Back
Top Bottom