UPOPO
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,563
- 5,687
Huwa kuna vitu nilikuwa naina vinatendeka na watu tukanyamaza kimya tukanungunika moyoni tukawa kama yeye nahisi ndio maana Mungu alioamua kumwondoa mazima aisee.Kuna siku nilijisemesha mwenyewe kuhusu yanayoendelea nikawa najisemea ukitoka hadharani kuongea unakamatwa ,unabambikiwa mikesi kisa mfalme hataki kukosolewa wala ushauri .Beki tatu wangu akaniambia ,Mungu akiona unag'ang'ania vitu anakuondoa tu .Ndio yaliyotokea wengi tulilalamikia kwa moyo