James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Halafu nimejaribu kufungua hiyo link yake hata haifanyi kazi ndio ujue huyu jamaa ni kanjanja tuUngetaja mashirika ya ndege yaliyonunuliwa cash ndege zake Sio blahblah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu nimejaribu kufungua hiyo link yake hata haifanyi kazi ndio ujue huyu jamaa ni kanjanja tuUngetaja mashirika ya ndege yaliyonunuliwa cash ndege zake Sio blahblah.
Kweli wewe mataga.. Yaani unaleta link ya Wikipedia ndo kama ushahidi..? Hivi unajua hata wewe unaweza kuingia na uka-edit habari yeyote uliopo pale..?Ethiopian Airlines fleet - Wikipedia
en.wikipedia.org
Soma hapo ujue Eithiopia Airline wanamiliki ndege ngapi walizonunua cash na order walizoweka kwa cash kuletewa ndege na ambazo wamekopa/lease.
Halafu mtu anakuja kuropoka eti kununua cash ni ukichaa.
Achana naye huyu mwendaazimu hata hiyo link ya source yake aliyoiweka haifanyi kaziKwa wewe mtu mmoja kumuondoa haimpunguzii credit zake.
Hamshambulii marehemu anashambulia utendaji wa marehemu na iwe angalizo kwa watu wajao na waliopo.
Kuwa kiongozi si kuwa ndio unajua kila kitu na wenzio ni magarasa tu.
Hebu pita vizuri, nami nilikua nakukubali ila kwa chuki yako hii kama ya kidini nadhani nimekudharau.
Wenye akili mdogo Kama wewe Ndio wanafaa kusamehewa. Hakuna asiyejua zitto kubwa la wanafiki. mtu yeyote mzalendo wa kweli huwezi kucriticise wizi wa meko kwa tabasamu, Lazima uoneshe kukwerwa Kama kweli tunachukia mabilioni ya Watanzania kuibiwa huwezi kuchekacheka au kutabasamu. Assad ni mzalendo wa kweli.Ukimsikiliza prof. Assad utaelewa kuwa alikuwa bitter, angeweza hata kusema, "anayenunua ndege cash ni m**nge" sema tu mazingira hayafai. He's bitter with Magufuli regime, unajua kuna wale wametoa constructive criticism kama Zitto, Ila prof yeye ameonyesha chuki ya wazi kabisa. Asamehewe tu!
Kwani ukinunua kwa mkopo hakuna riba?Kitu ambacho ujamwelewa ni kuwa kwa inchi maskini kama Tanzania kununua ndege kwa Cash ndio ukichaa
Katika hiyo research yako uliyoweka link nitajie mataifa yenye hadhi kama Tanzania ambayo yamenunua ndege kwa cash?
Unalipa ndege cash na miundombinu huna wala maji safi huna, then how do you call it?
Wewe dada nawe mambo ya kaburi bichi ndo unamletea Nani jukwaa hili la GT wewe ni great sinker. Magufuli alikuwa mwizi . over.Ni dhahiri atakuwa alikuwa anafanya kazi kwa kutumwa na JPM akamshtukia! Hata kujitokeza sasa kaburi likiwa bado bichi ni dhahiri hafanyi haya kwa dhamiri yake bali kutumwa! Bora angekaa kimya tubaki na nadharia zetu kumuheshimu!
Mkuu James MartinAchana naye huyu mwendaazimu hata hiyo link ya source yake aliyoiweka haifanyi kazi
Kama kuna uhuru na uwazi mngetuambia Ukweli mauaji ya MKIRU, shambulio la Lissu kwa Nini ripoti haikusomwa baada ya kuandaliwa, Risisti na mikataba ya ujenzi wa uwanja wa Chato iko wapi?Hivi kwanini uhuru wa vyombo vya habari uliminywa na mtu kutaka serikali isemwe kwa mazuri tu bila kukosolewa!?
"You are not free to that extent" maneno ya nani akiashiria nini?
Kuweni na utu na aibu, haya uyasemayo ni kwakuwa palikuwa na uhuru wa kuhoji na kuwaweka wazi waTanzania ma wakati huo ukihitaji 'data' kwa wizara/sehemu yoyote unapata na kuiweka wazi kwa wazalendo wote na si wazalendo uchwara
Jishughulishe kufikiri kidogo basi kama, JK angeamua kuficha mambo kama kipindi hiki hivi si angeitwa Malaika au?
Naomba niku ignore kama mwenzio, soma between the lines halafu ndio uje hapa ondoa mihemko na uokotolezi wa quotation/s ambazo hujatuliza kifikicho chakoKama kuna uhuru na uwazi mngetuambia Ukweli mauaji ya MKIRU, shambulio la Lissu kwa Nini ripoti haikusomwa baada ya kuandaliwa, Risisti na mikataba ya ujenzi wa uwanja wa Chato iko wapi?
Kwa hiyo Kuhoji machache ya hayo ni kutujibu kwa hiyo quotation yako kuwa "you are not free to that extent".kwa makusudi unapotosha kwa maslahi ya Nani? Halafu unajiita mzalendo wa kweli?
Hufai wewe na ndio maana awamu ya 5 imekula matrilioni ya pesa.Kifupi humjui huyu Profesa.Soma habari zake katika post alieituma Mr Ole Mushi April 7,2019 simu no.0712702602,JF. ANAHESHIMIKA DUNIANI KOTE.Mh Rais Mstaafu Kikwete alituwekea watu mahiri sana.Awamu ya 5 ya ulaji wa matrilioni ya fedha ndio iliyomuondoa msomi huyu tena bila ya kufuata sheria na utaratibu kama alivyoainisha msomi mwingine Profesa Issa Shivji.Nadhani wewe uliyeandika ndio wale wanaojiita sijui Sukuma Gang.#KAZI IENDELEE.Salaam za Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania.Huyo Assad hafai kuwa mtumishi wa uma kama bado anafundisha UDSM serikali imuondoe, ni hafai hafai
Si uzome link hiyo, sasa kama kusoma hujui nikusaidieje?
Uko sahihi kabisa, mzee alikuwa na nyongo kali sana tumboni na leo kaitema: Japo tukiwa wakweli hata marehemu naye alikuwa anawatemea wenzake nyongo kali na kuwadhalilisha hadharani mara nyingine kwa taarifa za majungu tu. Lakini nadhani tukubali kwamba haya ndiyo madhara ya kuminya uhuru wa kujieleza, baada ya uongozi kuondoka tunasikia makelele na manung'uniko mengi ambayo huenda tungeyasikia zamani tungeyaone leo ni kitu cha kawaida kisicho na msingi wowote ule.Ukimsikiliza prof. Assad utaelewa kuwa alikuwa bitter, angeweza hata kusema, "anayenunua ndege cash ni m**nge" sema tu mazingira hayafai. He's bitter with Magufuli regime, unajua kuna wale wametoa constructive criticism kama Zitto, Ila prof yeye ameonyesha chuki ya wazi kabisa. Asamehewe tu!
Mbezi Boy tunaongelea ATCL usichanganye mambo.Kwa maana hiyo...mikopo ambayo mtukufu mwendazake amechukua katika kipindi chake lazma kutakua na upigaji umefanyika eehh? Maana mkopo wowote lazma uendane
Mmawia soma vizuri comment yangu utapata jibu la swali lako.Kwahiyo sasa hivi hayo madege yanaliingizia kitu gani taifa ?
Kwa hiyo angenunua kwa mkopo halafu faida inayopatikana tunalipa Deni?Kasema kununua Airline kwa kutumia Taslimu.
Kwasababu inapoingiza fedha deni linalipwa.
Taslimu ziingizwe kwenye Elimu Afya ya Jamii na Miundombinu ya kuunganisha Vijiji kwa Vijiji.
Wewe hujawahi kufanya biashara nini?Kwa hiyo angenunua kwa mkopo halafu faida inayooatikana tunalipa Deni?
Sawa bossMmawia soma vizuri comment yangu utapata jibu la swali lako.
Mkuu hapo uliposema ulikuwa unamkubali Assad naomba ufute hiyo kauli, maana uzi wako naona sehemu kubwa kama umemshambulia sana! Kitwanga hilo alishalisema zamani sana tangu mwendazake yupo na uzi upo humu watu wakasema ni kwavile katumbuliwa, wengine wakauliza eti hakuwa kalewa? Kwa uzi huu wako inaonyesha hujawahi kumkubali Asad hivyo hata kama alilosema lina ukweli lazima utapinga tuNimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi.
Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash.
Utafiti unaojulikana Duniani kote uliofanywa na Chase & Associate unaonyesha kua ndege zote za biashara 73% hununuliwa kwa cash ama wanaita outright purchase. Je, wote hao 73% ni vichaa? Ama profesa ndie ana akili kuwazidi?
Profesa anataka kuaminisha umma kua njia pekee na ya lazima ya kununua ndege ni kwa mkopo, kwa cash unakua kichaa, hivi huyu jamaa ana akili kweli?
Profesa ameongea kama mtu ambae hakwenda shule, profesa analazimisha mtazamo wake ndio uwe mtazamo wa watu wote.
Nilikua namkubali profesa lakini hii la ku-personalize tofauti zake na Magufuli na kumshambulia marehemu kua ni kichaa tena kwa mtazamo wake binafsi imesababisha nimemuondoa akili profesa Assad.
Hivi profesa yeye kwenye maisha ama kwenye public settings ameweza kufanikisha lipi?, Amewahi kua mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa NBC, enzi za utawala wake benki ilikua inaelekea kufa/kufilisika kabisa. Bila yeye kuondolewa bank isingekuwepo sasa hivi. Asijionyeshe kua no brainy saana, alipewa nafasi mbona hakutuonyesha huo u brainy wake?
Analalamikia kua hakupewa nyaraka za SGR, JNHP, ATCL, kwa nini hakujiuzuru kuonyesha credibility? Maana hapo ni sawa na kua alizuiwa kutekeleza majukumu yake ya msingi kwa maslahi mapana ya nchi, kwa nini hakujiuzuru?