Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi.

Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash.

Utafiti unaojulikana Duniani kote uliofanywa na Chase & Associate unaonyesha kua ndege zote za biashara 73% hununuliwa kwa cash ama wanaita outright purchase. Je, wote hao 73% ni vichaa? Ama profesa ndie ana akili kuwazidi?

Profesa anataka kuaminisha umma kua njia pekee na ya lazima ya kununua ndege ni kwa mkopo, kwa cash unakua kichaa, hivi huyu jamaa ana akili kweli?

Profesa ameongea kama mtu ambae hakwenda shule, profesa analazimisha mtazamo wake ndio uwe mtazamo wa watu wote.

Nilikua namkubali profesa lakini hii la ku-personalize tofauti zake na Magufuli na kumshambulia marehemu kua ni kichaa tena kwa mtazamo wake binafsi imesababisha nimemuondoa akili profesa Assad.

Hivi profesa yeye kwenye maisha ama kwenye public settings ameweza kufanikisha lipi?, Amewahi kua mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa NBC, enzi za utawala wake benki ilikua inaelekea kufa/kufilisika kabisa. Bila yeye kuondolewa bank isingekuwepo sasa hivi. Asijionyeshe kua no brainy saana, alipewa nafasi mbona hakutuonyesha huo u brainy wake?

Analalamikia kua hakupewa nyaraka za SGR, JNHP, ATCL, kwa nini hakujiuzuru kuonyesha credibility? Maana hapo ni sawa na kua alizuiwa kutekeleza majukumu yake ya msingi kwa maslahi mapana ya nchi, kwa nini hakujiuzuru?

Mkuu ni aibu kubwa kumkashifu mtu mwenye PhD ya uzamilivu, kwa kutumia vioja mufu kama
Njoo na Research then crush so unakuja upuuzi then unamkosoa mtu ambaye anaongea kwa tafiti za kiuchumu
Foolish you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio swala la copy and paste hapa, unaangalia hali na mazingira yako mahususi, unanunua cash wakati uzoefu huna, kuna shule ina watoto 1500 walimu 6 na matundu ya choo 5! Hospitali hazina madaktari, dawa na vitendea kazi, raia 85% wanakula mlo mmoja kwa siku! Eti wewe ni tajiri wakati hata kilo ya gesi huwezi kuitoa huko aridhini bila msaada wa hao unaowaita mabeberu! Ni uzwazwa! CAG kafumbua fumbo, ni wizi mtupu!
 
Soma hapo ujue Eithiopia Airline wanamiliki ndege ngapi walizonunua cash na order walizoweka kwa cash kuletewa ndege na ambazo wamekopa/lease.

Halafu mtu anakuja kuropoka eti kununua cash ni ukichaa.
Sijawahi kukuona mtu aliye mjinga na asiye na akili kama wewe...unaposema ndege ambazo wamekopa/lease una maana gani? Tuanzie hapo.
 
Assad anaweza naye ana shida ile ile ya Mwendazake ya kuamini wao wako sahihi kwenye kila jambo.
Halafu hili la kuwalaumu wenzake kwa woga na kusema wana “acquired stupidity “
Inanikumbusha alivyoinuiliwa pale Ikulu kueleza kama kuna unadhilifu kwenye Serikali akasema hamna, akiwa mkavu kabisa..wacha maisha yaendelee tu!
 
Sijawahi kukuona mtu aliye mjinga na asiye na akili kama wewe...unaposema ndege ambazo wamekopa/lease una maana gani? Tuanzie hapo.
Sasa kama akili ya kunielewa huna utasemaje mimi ni mjinga?

Ukitakiwa kwanza unielewe ama uelewe nilichokiandika, ukikosoe ndio useme mimi ni mjinga na nisiye na akili.

Sasa hapa asiye na akili ni nani kati yangu na wewe?

Bado hata nikikujibu bado huna akili ya kunielewa. Itakua ni kupoteza muda wangu bure.
 
Sio swala la copy and paste hapa, unaangalia hali na mazingira yako mahususi, unanunua cash wakati uzoefu huna, kuna shule ina watoto 1500 walimu 6 na matundu ya choo 5! Hospitali hazina madaktari, dawa na vitendea kazi, raia 85% wanakula mlo mmoja kwa siku! Eti wewe ni tajiri wakati hata kilo ya gesi huwezi kuitoa huko aridhini bila msaada wa hao unaowaita mabeberu! Ni uzwazwa! CAG kafumbua fumbo, ni wizi mtupu!
Mkuu, hoja yako naielewa na nakubaliana na wewe.

Nilichotaka kuweka sawa ni ile notion aliyotaka kuaminisha umma Bw. Assad kua wote wanaonunua ndege cash ni wajinga hawana akili.

Assad alisema generally kua kununua ndege cash ni ujinga na akasema njia pekee ni kukopa ama lease, tena akawa anashangaa eti wapi ulisikia watu wananunua ndege cash. Hapo ndio uongo wa Professa ulipo na ndio nilitaka kuweka kumbukumbu sahihi.

Otherwise angesema ama angetolea mfano specific kwa Tanzania na kwa mazingira yetu, alikua sahihi na sikua na sababu wala hoja ya kumpinga.

Hope umenipata.
 
Mkuu ni aibu kubwa kumkashufu mtu mwenye PhD ya uzamilivu, kwa kutumia vioja mufu kama
Njoo na Research then crush so unakuja upuuzi then unamkosoa mtu ambaye anaongea kwa tafiti za kiuchumu
Foolish you

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwani Assad alitoa pepa yoyote ya research kusema alichokisema juzi hadi na mimi nine na utafiti kumpinga?

Jambo la pili, kwako mtu akishakua na phd ama profesa hawezi kupingwa, chochote anachokisema ni sahihi 100%?

Siwezi kushangaa, watu wengi kama wewe huamini Professa anajua kila kitu, hatakiwi kupingwa. Sisi wengine akili zetu ni kubwa kuliko hilo, tunaona vitu kwa tofauti, tunauwezo wa ku -disect maneno ya mtu yeyote na kutafta loope holes.

Hope umenipata mkuu na hope sijakukwaza.
 
Ungetaja mashirika ya ndege yaliyonunuliwa cash ndege zake Sio blahblah.

Soma hapo chini nilipowekea rangi nyekundu.

Southwest Airlines orders 100 Boeing 737 MAX planes​

March 29, 2021 at 6:02 am Updated March 29, 2021 at 9:17 pm

A Boeing worker in December inspects an engine on a Boeing 737 MAX 8 built for Southwest Airlines at Renton Municipal Airport in Renton. (Ted S. Warren / The Associated Press, file)

Skip Ad

By
DAVID KOENIG
and
Dominic Gates

The Associated Press

DALLAS — Confirming reports earlier this month, Southwest Airlines said Monday it is expanding its all-Boeing fleet with an order for 100 MAX jets instead of buying planes from Europe’s Airbus.
Southwest ordered the 150-seat 737 MAX 7 and expects the first 30 to show up next year. It is also converting orders for 70 MAX 8s to the smaller model.

The news is a boost for the troubled jet program and for the workforce in Renton that builds it. Boeing has now announced about 270 orders and commitments for the MAX since December, including deals with United, Alaska, Ryanair and other airlines.
The Dallas-based Southwest publicly mused about buying the Airbus A220 instead, sending executives on a scouting trip to Europe. It would have been a huge blow to Boeing — in money and pride — if Southwest, its biggest customer, had gone with Airbus. However, CEO Gary Kelly said sticking with Boeing “was our preference all along.”

Financial terms of the deal were not announced, but Southwest made clear Boeing offered it a tremendous bargain to keep Airbus out.
Aircraft-valuation firm Avitas estimates the typical discounted price of a MAX 7 at about $36 million. However, in this case, given the importance of Southwest as a MAX customer and the compensation Boeing owes the airline for delayed MAX deliveries and the nearly two-year grounding of its MAX fleet, the discount was much bigger than normal.

Southwest estimated Monday that for the years 2021 through 2026, it will spend approximately $5.1 billion on 169 MAX firm orders, consisting of 135 of the MAX 7s and 34 of the larger MAX 8s. That’s an average price of slightly more than $30 million each — although it doesn’t include the advance payments the airline already made to Boeing for MAX aircraft not yet delivered.

Southwest’s cash outlay this year and next will be especially low because its previous advance payments cover the MAXs to be delivered in that period. With that taken into account, plus the compensation credits provided by Boeing to settle estimated damages, Southwest said it will have to pay out just over $23 million per airplane for 30 planned deliveries in 2022.

Though Southwest took a hard look at the Airbus A220, which would have delivered better economics per trip, the Boeing discounts and compensation credits swung the deal. Bainbridge Island-based aviation analyst Scott Hamilton wrote on his Leeham.net news site that “There was no way Airbus could match the financial terms.”

The new MAX 7s eventually will replace Southwest’s aging fleet of 143-seat Boeing 737-700s while providing better fuel mileage.
Southwest is also taking options for 155 more jets, both MAX 7s and 8s. Combined with past orders, Southwest is therefore in line to take more than 600 MAXs through 2031.

Kelly said Monday’s announcement came on the 50th anniversary of the airline’s agreement with Boeing for its first three planes. Most big airlines operate several plane models from more than one manufacturer, but Southwest has turned its reliance on the 737 into an advantage, simplifying maintenance and pilot training and scheduling.
That loyalty was put to the test, however, when the MAX was grounded worldwide in March 2019 after two crashes that killed 346 people. The grounding forced Southwest and other airlines to cancel thousands of flights in all. Last year, Southwest disclosed that it received $428 million in initial compensation from Boeing.
Regulators in the United States, Europe, Canada, Brazil and other countries cleared the plane to resume flying after Boeing changed an automated flight-control system that played a role in the crashes. Southwest resumed passenger flights with its MAX 8 jets on March 11. American and United already had resumed MAX flights, and Alaska Airlines began using the plane too.
Earlier this month, Boeing reported its first positive net orders for commercial airplanes in 15 months. The orders could indicate that airlines are starting to feel more optimistic about a rebound in travel, which has been devastated by the coronavirus pandemic.
Boeing shares rose 2.3% Monday and helped the Dow Jones Industrial Average close with a gain of 98 points, or 0.3%.

DAVID KOENIG
 
Unaweza ukawa sahihi kabisa. Sasa ili kutatua tatizo sasa tunapaswa kuuza hizo ndege kisha tukazikope, si ndio?
Kasema kuuza akimaanisha winding up the company ili tulipe madeni yote afu kampuni mpya isajiliwe ikiwa imeanza A.

Mind you ATCL kuna nchi nyingi tu inaogopa kupeleka ndege sababu ya madeni. Ndio maana hilo wazo likaja
 
Kasema kununua Airline kwa kutumia Taslimu.

Kwasababu inapoingiza fedha deni linalipwa.

Taslimu ziingizwe kwenye Elimu Afya ya Jamii na Miundombinu ya kuunganisha Vijiji kwa Vijiji.
Interest kwenye mikopo ya kibiashara ni kubwa kuliko interest kwenye social services! Kukopa kununua ndege au treni za kibishara sinazotegemewa kuwa zinaingiza pesa moka kwa moja utalipa interest kubwa kuliko ile ya mkopo ili kujenga barabara au kujenga shule ambazo zitakuwa haziingizi pesa moja kwa moja.
 
Soma hapo chini nilipowekea rangi nyekundu.

Southwest Airlines orders 100 Boeing 737 MAX planes​

March 29, 2021 at 6:02 am Updated March 29, 2021 at 9:17 pm

A Boeing worker in December inspects an engine on a Boeing 737 MAX 8 built for Southwest Airlines at Renton Municipal Airport in Renton. (Ted S. Warren / The Associated Press, file)

A Boeing worker in December inspects an engine on a Boeing 737 MAX 8 built for Southwest Airlines at Renton Municipal Airport in Renton. (Ted S. Warren / The Associated Press, file)

Skip Ad

By
DAVID KOENIG
and
Dominic Gates

The Associated Press

DALLAS — Confirming reports earlier this month, Southwest Airlines said Monday it is expanding its all-Boeing fleet with an order for 100 MAX jets instead of buying planes from Europe’s Airbus.
Southwest ordered the 150-seat 737 MAX 7 and expects the first 30 to show up next year. It is also converting orders for 70 MAX 8s to the smaller model.

The news is a boost for the troubled jet program and for the workforce in Renton that builds it. Boeing has now announced about 270 orders and commitments for the MAX since December, including deals with United, Alaska, Ryanair and other airlines.
The Dallas-based Southwest publicly mused about buying the Airbus A220 instead, sending executives on a scouting trip to Europe. It would have been a huge blow to Boeing — in money and pride — if Southwest, its biggest customer, had gone with Airbus. However, CEO Gary Kelly said sticking with Boeing “was our preference all along.”

Financial terms of the deal were not announced, but Southwest made clear Boeing offered it a tremendous bargain to keep Airbus out.
Aircraft-valuation firm Avitas estimates the typical discounted price of a MAX 7 at about $36 million. However, in this case, given the importance of Southwest as a MAX customer and the compensation Boeing owes the airline for delayed MAX deliveries and the nearly two-year grounding of its MAX fleet, the discount was much bigger than normal.

Southwest estimated Monday that for the years 2021 through 2026, it will spend approximately $5.1 billion on 169 MAX firm orders, consisting of 135 of the MAX 7s and 34 of the larger MAX 8s. That’s an average price of slightly more than $30 million each — although it doesn’t include the advance payments the airline already made to Boeing for MAX aircraft not yet delivered.

Southwest’s cash outlay this year and next will be especially low because its previous advance payments cover the MAXs to be delivered in that period. With that taken into account, plus the compensation credits provided by Boeing to settle estimated damages, Southwest said it will have to pay out just over $23 million per airplane for 30 planned deliveries in 2022.

Though Southwest took a hard look at the Airbus A220, which would have delivered better economics per trip, the Boeing discounts and compensation credits swung the deal . Bainbridge Island-based aviation analyst Scott Hamilton wrote on his Leeham.net news site that “There was no way Airbus could match the financial terms.”

The new MAX 7s eventually will replace Southwest’s aging fleet of 143-seat Boeing 737-700s while providing better fuel mileage.
Southwest is also taking options for 155 more jets, both MAX 7s and 8s. Combined with past orders, Southwest is therefore in line to take more than 600 MAXs through 2031.

Kelly said Monday’s announcement came on the 50th anniversary of the airline’s agreement with Boeing for its first three planes. Most big airlines operate several plane models from more than one manufacturer, but Southwest has turned its reliance on the 737 into an advantage, simplifying maintenance and pilot training and scheduling.
That loyalty was put to the test, however, when the MAX was grounded worldwide in March 2019 after two crashes that killed 346 people. The grounding forced Southwest and other airlines to cancel thousands of flights in all. Last year, Southwest disclosed that it received $428 million in initial compensation from Boeing.
Regulators in the United States, Europe, Canada, Brazil and other countries cleared the plane to resume flying after Boeing changed an automated flight-control system that played a role in the crashes. Southwest resumed passenger flights with its MAX 8 jets on March 11. American and United already had resumed MAX flights, and Alaska Airlines began using the plane too.
Earlier this month, Boeing reported its first positive net orders for commercial airplanes in 15 months. The orders could indicate that airlines are starting to feel more optimistic about a rebound in travel, which has been devastated by the coronavirus pandemic.
Boeing shares rose 2.3% Monday and helped the Dow Jones Industrial Average close with a gain of 98 points, or 0.3%.

DAVID KOENIG
Kichuguu manunuzi ya Southwest Airlines ni tofauti na manunuzi yetu, hebu mwenyewe isome hii habari kwa mara ya pili, mbona inaonyesha hiyo hela ya cash ni advance payment pamoja na fidia waliyoipata kutoka kwa kampuni ya Boeing baada ya ndege zao kuwa grounded!

Southwest’s cash outlay this year and next will be especially low because its previous advance payments cover the MAXs to be delivered in that period. With that taken into account, plus the compensation credits provided by Boeing to settle estimated damages, Southwest said it will have to pay out just over $23 million per airplane for 30 planned deliveries in 2022.

Naomba unieleweshe ikiwa sijafahamu.
 
Elimu niliyonayo sidhani kama kuna mtu kwenye ukoo wenu atakua nayo ama atakuja kua nayo.
Misukuma mkisoma kdg mkaja mjini mnajiona ndio wenyew,elimu gani ulinayo wew bwege unaandika ujinga tu,bichwa taka tupu!!Hata jiwe alikua na Phd lakin mambo yake ilikua kama Msukuma wa la saba
 
Njoo nyumbani mtoto mzuri nikupe shule mama angu. Nimekumic mrembo wangu.

Mtoto mtamu sana wewe.
 
Kichuguu manunuzi ya Southwest Airlines ni tofauti na manunuzi yetu, hebu mwenyewe isome hii habari kwa mara ya pili, mbona inaonyesha hiyo hela ya cash ni advance payment pamoja na fidia waliyoipata kutoka kwa kampuni ya Boeing baada ya ndege zao kuwa grounded!

Southwest’s cash outlay this year and next will be especially low because its previous advance payments cover the MAXs to be delivered in that period. With that taken into account, plus the compensation credits provided by Boeing to settle estimated damages, Southwest said it will have to pay out just over $23 million per airplane for 30 planned deliveries in 2022.

Naomba unieleweshe ikiwa sijafahamu.
Kwa taarifa yako huwa wanalipa cash! inawezekana airliner ikachukua mkopo benki, lakini hawawezi kutoa ndege kutoka kiwandani bila kuilipia. Walitoa downpayment kusudi Boeing waanze uundaji wa ndege, halafu siku wakienda kuzichukua wanamalizia. Downpayment huhitajika kwa sababu Boeing hawawezi kumobilize resources zao kujenga ndege ambayo inawezekana mnunuaji hataweza kulipia.

Assad hajawahi kununua ndege kwa hiyo huenda hajui hilo. Tofauti ya kilichofanyika ni kuwa badala ya serikali kuchkua mkopo kutoka benki kwende kununua ndege hizo, serikali ilitumia pesa zake yenyewe, lakini kwa upande wa Boeing wao hawajali unatoa wapi pesa hizo, mradi uwalipe.

Kuna ule utaratibu wa ku-lease, yaani unaazima ndege unazifanyia biashara zako kwa muda fulani ambapo bila kujali unapata faida au hasara wewe utaendelea kuzilipia na hadi kipindi cha lease kiishe. Mahesabu leasing huwa ni ghali kuliko mahesbau ya ku-own, hasa kama unataka kuoperate kwa muda mrefu kama ambavyo nia ilikuwa ni kulifufua shirika la ATCL. Halafu ndege zote za lease huwa ni second hand, zimeshatumika sehemu nyingine.
 
Mkuu, I understand, nakuelewa ulivyoiweka na nakubaliana na wewe.

Shida yangu iko jinsi profesa alivyoiweka, alitamka generally kua wanonunua ndege cash ni vichaa, hapo ndio shida yangu ilipo.

Angesema Tanzania kununua ndege cash huku umeacha mahitaji mengine ya muhimu ni ukichaa ningemuelewa.

Yeye amesema generally kua njia pekee ya kununua ndege ni kwa mkopo na wanaonunua cash ni vichaa. Nadhani umepata shida yangu iko wapi.
Usichokielewa ni kuwa kwenye kauli yake Assad alitaka kuonyesha kuwa sisi kununua ndege kwa cash siyo kitendo cha Akili ndiyo sababu akatumia maneno "wale wanaonunua ndege kwa cash..."
Ni kauli aliyoitoa indirect kuipiga dongo serikali lakini bila kumpiga dongo marehemu na serikali yake direct.

Ukimsoma profesa between the lines hakulenga watu wote duniani, bali alilenga serikali yake kwa move ya kununua ndege cash.
 
Kwa taarifa yako huwa wanalipa cash! inawezekana airliner ikachukua mkopo benki, lakini hawawezi kutoa ndege kutoka kiwandani bila kuilipia. Walitoa downpayment kusudi Boeing waanze uundaji wa ndege, halafu siku wakienda kuzichukua wanamalizia. Downpayment huhitajika kwa sababu Boeing hawawezi kumobilize resources zao kujenga ndege ambayo inawezekana mnunuaji hataweza kulipia.

Assad hajawahi kununua ndege kwa hiyo huenda hajui hilo. Tofauti ya kilichofanyika ni kuwa badala ya serikali kuchkua mkopo kutoka benki kwende kununua ndege hizo, serikali ilitumia pesa zake yenyewe, lakini kwa upande wa Boeing wao hawajali unatoa wapi pesa hizo, mradi uwalipe.

Kuna ule utaratibu wa ku-lease, yaani unaazima ndege unazifanyia biashara zako kwa muda fulani ambapo bila kujali unapata faida au hasara wewe utaendelea kuzilipia na hadi kipindi cha lease kiishe. Mahesabu leasing huwa ni ghali kuliko mahesbau ya ku-own, hasa kama unataka kuoperate kwa muda mrefu kama ambavyo nia ilikuwa ni kulifufua shirika la ATCL. Halafu ndege zote za lease huwa ni second hand, zimeshatumika sehemu nyingine.

Kwa taarifa yako huwa wanalipa cash! inawezekana airliner ikachukua mkopo benki, lakini hawawezi kutoa ndege kutoka kiwandani bila kuilipia. Walitoa downpayment kusudi Boeing waanze uundaji wa ndege, halafu siku wakienda kuzichukua wanamalizia. Downpayment huhitajika kwa sababu Boeing hawawezi kumobilize resources zao kujenga ndege ambayo inawezekana mnunuaji hataweza kulipia.

Assad hajawahi kununua ndege kwa hiyo huenda hajui hilo. Tofauti ya kilichofanyika ni kuwa badala ya serikali kuchkua mkopo kutoka benki kwende kununua ndege hizo, serikali ilitumia pesa zake yenyewe, lakini kwa upande wa Boeing wao hawajali unatoa wapi pesa hizo, mradi uwalipe.

Kuna ule utaratibu wa ku-lease, yaani unaazima ndege unazifanyia biashara zako kwa muda fulani ambapo bila kujali unapata faida au hasara wewe utaendelea kuzilipia na hadi kipindi cha lease kiishe. Mahesabu leasing huwa ni ghali kuliko mahesbau ya ku-own, hasa kama unataka kuoperate kwa muda mrefu kama ambavyo nia ilikuwa ni kulifufua shirika la ATCL. Halafu ndege zote za lease huwa ni second hand, zimeshatumika sehemu nyingine.
Na kuhusu "compensation credits provided by Boeing to settle estimated damages" unaizungumziaje?
Southwest disclosed that it received $428 million in initial compensation from Boeing.
 
Ninayo clip hapa,ametumia neno"ujinga" siyo "kichaa" na wewe ume-personalise
Na wewe kaweke mdahalo, ita waandishi umsute, nchi ya kusutana sutana Tanzania

Back
Top Bottom