TANZIA Profesa Delphina Mamiro wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine - SUA afariki dunia

Huyu mama nilikutana nae Mara ya kwanza Philadelphia USA akiwa na mama mmoja anafundisha food nutrition sua ana maktaba ndogo bongola na mme wake yuko sua rip mama
 
You must be senile; ukifahamu umri wake itasaidia nini? Irrespective of age , the death of a scholar is a loss to the country! R.I.P. prof.
Muulize mama yako if I am senile! That one knows me perfectly well! Ungeliniuliza mbona unauliza umri.... then nikakujibu. Kwa vile umeleta matusi, Muulize mama yako mimi ni nani atakwambia
 
Muulize mama yako if I am senile! That one knows me perfectly well! Ungeliniuliza mbona unauliza umri.... then nikakujibu. Kwa vile umeleta matusi, Muulize mama yako mimi ni nani atakwambia

Wewe ni Mzee mstaafu MWEHU!!! Siwezi kupoteza muda na wewe, pumzika shambani kwako.
 
Yaani we acha tu.
 
Poleni Wafiwa... Mwenyezi Mungu aiweke roho ya Marehemu pahali panapostahili Amen
 
Jinsi unavyoishi na watu ukiwa hai ndivyo unavyojichagulia wapi uende siku ukifa. RIP haibadirishi chochote! Nikufarijiana tu.

RIP umejuaje kwamba haibadilishi kitu???, lete ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…