Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

Sitaki kuongeza chochote hebu msikilizeni wenyewe

View attachment 2077354

Huyu mwamba wa nyanda za juu kusini hamungunyi maneno juu ya hitaji jipya la haiba ya spika anatakiwa kuwa nayo na uwezo wa kuelewa mambo kwa kina na haraka bila kupelekeshwa na wenye nia ovu ya kukwaza wajibu wa Bunge kuisimamia na kuishauri serikali kwa niaba ya wananchi wa Tanzania kikamilifu.
Prof. (Dr.Juris) Handley Mpoki Mafwenga Mpoki apewe interview ndefu ktk media za Tanzania ili tufahamu haya mambo mpya anayozungumza ambayo siyo utamaduni na mazowea ya CCM

CV as of May 18, 2015:

Prof (Dr.Juris) Handley Mpoki Mafwenga is a Macro-Fiscal Policy Psychologist who has enthusiastically been involved in International negotiations pertaining to Investment and Fiscal policy. His Taxation, Evaluation of Illicit Financial Flows, Financial Risks Management, Anti-money laundering, Anti-Terrorism Measures, Investigation of Tax Crimes, and PPP projects Mgt, are considered his Magnum Opus.

He is a father of Revenue Forecasting Modeling, Financial programming, and Fiscal Psychology empiricism. He is a Supernumerary Fellow who served as a Professor at the Tumaini University Makumira (TUDARCO), Iringa University, Teofilo Kisanji University(TEKU) and IFM. Being a renowned Budget advocacy expert under the auspices of Treasury, he has been a Member of SADC Sub-Committee on Tax matters, SADC Trade Negotiating Forum (TNF) on trade services under UNCTAD, and Curriculum Validation Committee of the NACTE.

He is a versatile resource person of the NBAA, Natural Resources Governance Institute (NRGI) and Commonwealth Secretariat (COMSEC). He has been given awards (23 by the NBAA, 2 by the NRGI, 2 by the JET, 1 by the COMSEC, 1 by UN-ESCAP, and 2 by the TUDARCO. He is a Certified Tax Practitioner with wealthy of experience in Tax Laws, International Legal Practice, Investment Laws, and Mining, Oil and Gas. Handley is an icon of reforms of Anti-drugs Unit, VAT, PPP Center, Gold Audit Program, and Tanzania Minerals Audit Agency.

He has vigorously been an artery in the formulation of the Income Tax Act, EMA Act, Mineral Policy, 2009; Mining Act, VAT Act; Income Tax (Transfer Pricing) Regulations, Tax Administration Act, The Oil and Gas Revenues Management Act, SADC Protocol on the Exchange of Information in Mineral sector, SADC-MoU on the Exchange of Information on Tax Matters, and Treaties.

Handley, has made 60 vetted publications, 4 Books including “Mineral Tax Clinic-A reflection of Old and New Fiscal Regime for Effective Tax Auditing in Tanzania ISBN: 978 9976 60 552 6:” Co-authored a Book edited by Professor Sijbren Cnossen “The Excise Tax Policy “Administration in the Southern African Countries ISBN 1-86888-366-3”.

He is an Associate Editor of the EAJR of Iringa University, a regular contributor and peer reviewer of the NBAA Journals and the Teofilo Kisanji University Journal.

Handley holds a Ph.D.(Inter. Economic Law), Ph.D(finance), Ph.D (Business Studies), MA(M&E), LL.M(Taxation), LL.M(Procedural & Intern-legal practice), MSc (finance), MBA(Mg-Economics), PGDip(Tax Mgt), LL.B, ADDip(Tax Mgt), ICSA(UK), ACCPA(AML), P3PCertified
 
Asante sana Profesa (9PhD's); tumekupata vizuri sana. Ningekuwa mbunge kura yangu ningekupa wewe. Lakini kwa kuwa CCM imejaa wachumiatumbo wa kutosha, sitegemei kama watakupa kura na kuwatosa wachumiatumo wenzao. Ni ngumu sana.
Amesema ana PhD 9? Wewe nawe umesomaje hayo maelezo?
 
Ivi Kabudi ana degree ngapi
Nadhani nafasi ya speaker ni zaidi ya degree, you need people skills too.

Zungu anaweza kuwa speaker mzuri kushinda wasomi wengi anayo hiyo skill ya kuwa mkali inapobidi, kuwa mpole, kuacha hoja chungu kwa serikali kuibuliwa, kusoma mood za wabunge and so forth.

Ndio maana maspika uwa wabunge na wengi washakalia kiti kabla ya kupanda. Character na composure ni skills za kukalia kiti.

Anyway kibongo bongo unachohitaji ni sifa za kikatiba tu kupewa nafasi yoyote.

But then kati ya Zungu na Tulia; Tulia is best qualified she is a lawyer by trade and six years experience.
 
Hongera mwamba yuko vizuri kwa suitability principle huyu anafaa Samia afanye ahakikishe huyu awe speaker we need him
 
Tatizo ccm ina wenyewe,huyu hawezi toboa labda ingekuwa enzi za Jpm
Huwezi ukaokota watu tu jalalani na kuwapa nafasi nyeti kama ya Uspika, hata awe na degree 100!! Ni kama vile wewe huwezi tu ukaona mtu kwa mara ya kwanza and kwa kuwa mwili nyumba unampa kazi ya ulinzi nyumbani kwako, wakati hujui a,b,c,d zake zozote!!

JPM hapo kwenye kuamini madegree na wachonga ngenga ndipo paliharibu sana utawala wake hadi alipoanza kushtuka 2019-2020
 
Back
Top Bottom