Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

Hivi mitihani yake pale LST amesha clear?
Sina chuki naye hata chembe na sijasema hajui, ila sio GURU. Yes, inawezekana kabisa kuwa wewe unamfahamu vizuri ila mimi nakwambia kwa uzoefu nilivyofanya naye kazi (enzi hizo akijiita Dr hata kabla ya kuhitimu. He's good but not guru.
 
Sitaki kuongeza chochote hebu msikilizeni wenyewe

View attachment 2077354
Jamaa angebobea sehemu mmoja angekuwa wa maana zaidi kuliko kuwa na hii saladi. He is a Jack of everything but a master of none.

Hiyo rank ya Professorship ametunukiwa na chuo gani or is he a researcher?
He is actually not a Professor, you cant be a Professor if you are not an academia.
 
Kazi ya spika bungeni ni kuwa moderator tu.

Sio moderation tu, ni pia kukagua hadhi ya hoja zinazojadiliwa na zinavyowasilishwa na kuhakikisha sheria zinalindwa. Na kama kiongozi wa mhimili, ana majukumu mengi, hivyo elimu ni muhimu.
 
Huyu mtu mimi simfahamu kabisa ila kuna vitu vinne nimeangalia anaonekana kabisa ana shida somewhere.

1. Kitendo cha kuorodhesha degree zote kwenye business card na yeye kuona ni sawa.

2. Cheo chake kwenye utumishi wa umma hakijawahi kuwepo.

3. Ana line za simu za mkononi saba.

4. Video clip yake kushawishi achaguliwe kuwa Speaker wa Bunge la JMT ambalo baadhi yakazi zake ni kutunga sheria na kusimamia Serikali

Kwa mtu mwenye akili ukifanya tathmini ya kawaida sana utagundua kichwa chake hakiko sawa kuongoza hata kikao cha sendoff party
Huyo ni sociopath, siyo mzima. Hata ukiangalia hizo degrees zake huoni mpangilio wa kuwa alikuwa anataka kuwa nani. Una MBA ya managerial economics halafu unasoma Msc ya Finance.

Halafu una LLM ya Tax then unasoma LLM ya procedural law ili uwe nani at once?

Angalia hapa ana PhD ya Finance halafu ameweka na ya Juris Causa nna PhD nyingine B's.

Kwenye business card anaonyesha mpaka anakoishi Bunju Mabwepande.

Hapa hakuna msomi na ndiyo maana hata Wizara ya fedha hawajampa kazi ya maana. Ameishia kujiansika kuwa ni Fiscal Policy Psychologist: Legal & Tax Expert. Hakuna cheo kama hicho Serikalini
IMG-20220112-WA0016.jpg
 
Kusoma kote huku lengo nini?kwanza sipati picha huyo afisa wa NIDA alivyokuwa anapewa maelekezo namna ya kuandika hizo tittle,alikoma sikuhiyo[emoji28]

Kwa hiyo shule alitakiwa awe na mchango mkubwa sana kwenye nchi yetu. Ametaja eneo moja ambalo hata akiamshwa usingizini anaweza kusema amelibadilisha/ kuboresha/ au kuongeza ufanisi kama mchango wa elimu yake?
 
Huyo ni sociopath, siyo mzima. Hata ukiangalia hizo degrees zake huoni mpangilio wa kuwa alikuwa anataka kuwa nani. Una MBA ya managerial economics halafu unasoma Msc ya Finance.

Halafu una LLM ya Tax then unasoma LLM ya procedural law ili uwe nani at once?

Angalia hapa ana PhD ya Finance halafu ameweka na ya Juris Causa nna PhD nyingine B's.

Kwenye business card anaonyesha mpaka anakoishi Bunju Mabwepande.

Hapa hakuna msomi na ndiyo maana hata Wizara ya fedha hawajampa kazi ya maana. Ameishia kujiansika kuwa ni Fiscal Policy Psychologist: Legal & Tax Expert. Hakuna cheo kama hicho Serikalini
View attachment 2077893

Nimeuliza kama kuna kazi yake ambayo anaweza kujivunia kabisa kwamba ni matunda ya elimu yake? Ameigusa vipi jamii?
 
Sio moderation tu, ni pia kukagua hadhi ya hoja zinazojadiliwa na zinavyowasilishwa na kuhakikisha sheria zinalindwa. Na kama kiongozi wa mhimili, ana majukumu mengi, hivyo elimu ni muhimu.
Moderation kwenye mijadala ya bunge na kupanga kamati za bunge ndio majukumu muhimu ya spika wa bunge kazi nyingine zinapaswa kufanywa na kamati na watumishi wa bunge. Kinyume na hapo lazima kuwepo na mikanganyiko. Pia maamuzi ya spika yanapaswa kuegemea zaidi maamuzi ya kamati za bunge na wingi wa kura bungeni, yeye ni tofauti sana na Kiongozi wa mhimili wa serikali.
 
Huyo ni sociopath, siyo mzima. Hata ukiangalia hizo degrees zake huoni mpangilio wa kuwa alikuwa anataka kuwa nani. Una MBA ya managerial economics halafu unasoma Msc ya Finance.

Halafu una LLM ya Tax then unasoma LLM ya procedural law ili uwe nani at once?

Angalia hapa ana PhD ya Finance halafu ameweka na ya Juris Causa nna PhD nyingine B's.

Kwenye business card anaonyesha mpaka anakoishi Bunju Mabwepande.

Hapa hakuna msomi na ndiyo maana hata Wizara ya fedha hawajampa kazi ya maana. Ameishia kujiansika kuwa ni Fiscal Policy Psychologist: Legal & Tax Expert. Hakuna cheo kama hicho Serikalini
View attachment 2077893
Sifa kubwa ya masikini wa mali na akili ni kumchukia aliyenacho
 
Kwanini asifae mkuu kama umeweza kuongozwa na ndugai prof mpoki anashida gani au ndiyo ile tabia yetu masikini kumchukia alie nacho😀😀
Mtu yoyote anaedhani huyu jamaa anafaa kuwa Speaker basi ana matatizo ya akili
 
Huwezi ukaokota watu tu jalalani na kuwapa nafasi nyeti kama ya Uspika, hata awe na degree 100!! Ni kama vile wewe huwezi tu ukaona mtu kwa mara ya kwanza and kwa kuwa mwili nyumba unampa kazi ya ulinzi nyumbani kwako, wakati hujui a,b,c,d zake zozote!! JPM hapo kwenye kuamini madegree na wachonga ngenga ndipo paliharibu sana utawala wake hadi alipoanza kushtuka 2019-2020
Anatoka jalala lipi mkuu huyo ni mtumishi wa serilikali hazina ni jalala?
Mtu yoyote anaedhani huyu jamaa anafaa kuwa Speaker basi ana matatizo ya akili
 
Kwa hiyo shule alitakiwa awe na mchango mkubwa sana kwenye nchi yetu. Ametaja eneo moja ambalo hata akiamshwa usingizini anaweza kusema amelibadilisha/ kuboresha/ au kuongeza ufanisi kama mchango wa elimu yake?
Hata sijui,huyo atakuwa anarukaruka tu,leo tafiti kesho kufundisha,keshokutwa kuajiriwa,mara kutoa mada kwenye makongamano nk
 
Hizo ni ramli tu huwezi mfahamu prof mwafwenga kwa nazungumzia yake ni mwalimu wangu namjua vizuri

Kuwa mwalim mzuri jambo moja, kuwa spika ni kitu kingine mkuu? Hatusemi atashindwa ila hizo degree sio kigezo na uhakika kwamba atakua spika bora.

Mzee wa viwango alikua nazo ngapi?
 
Back
Top Bottom