pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,296
- 6,692
Mazungumzo yake tu yametosha kumfahamuHakuna kitu gani unamfahamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazungumzo yake tu yametosha kumfahamuHakuna kitu gani unamfahamu?
Ndio mtaji wake
Sina chuki naye hata chembe na sijasema hajui, ila sio GURU. Yes, inawezekana kabisa kuwa wewe unamfahamu vizuri ila mimi nakwambia kwa uzoefu nilivyofanya naye kazi (enzi hizo akijiita Dr hata kabla ya kuhitimu. He's good but not guru.
Hahaha, Ili baada ya PhD aongeze neno "Advocate"😄Hivi mitihani yake pale LST amesha clear?
Jamaa angebobea sehemu mmoja angekuwa wa maana zaidi kuliko kuwa na hii saladi. He is a Jack of everything but a master of none.
Madigrii 9 lakini cheo chakeLegal & tax expert. Kwenye performance hakuna anachojua ukiona hivyo
Kazi ya spika bungeni ni kuwa moderator tu.Ha ha ha! Mpeni kabisa huyu, kabla umshawishi kwa hoja bungeni itakua shughuli.
Kazi ya spika bungeni ni kuwa moderator tu.
Huyo ni sociopath, siyo mzima. Hata ukiangalia hizo degrees zake huoni mpangilio wa kuwa alikuwa anataka kuwa nani. Una MBA ya managerial economics halafu unasoma Msc ya Finance.Huyu mtu mimi simfahamu kabisa ila kuna vitu vinne nimeangalia anaonekana kabisa ana shida somewhere.
1. Kitendo cha kuorodhesha degree zote kwenye business card na yeye kuona ni sawa.
2. Cheo chake kwenye utumishi wa umma hakijawahi kuwepo.
3. Ana line za simu za mkononi saba.
4. Video clip yake kushawishi achaguliwe kuwa Speaker wa Bunge la JMT ambalo baadhi yakazi zake ni kutunga sheria na kusimamia Serikali
Kwa mtu mwenye akili ukifanya tathmini ya kawaida sana utagundua kichwa chake hakiko sawa kuongoza hata kikao cha sendoff party
Kumbe bado badoMiaka 54-55 umri umeenda? Dah!!
Kusoma kote huku lengo nini?kwanza sipati picha huyo afisa wa NIDA alivyokuwa anapewa maelekezo namna ya kuandika hizo tittle,alikoma sikuhiyo[emoji28]
Huyo ni sociopath, siyo mzima. Hata ukiangalia hizo degrees zake huoni mpangilio wa kuwa alikuwa anataka kuwa nani. Una MBA ya managerial economics halafu unasoma Msc ya Finance.
Halafu una LLM ya Tax then unasoma LLM ya procedural law ili uwe nani at once?
Angalia hapa ana PhD ya Finance halafu ameweka na ya Juris Causa nna PhD nyingine B's.
Kwenye business card anaonyesha mpaka anakoishi Bunju Mabwepande.
Hapa hakuna msomi na ndiyo maana hata Wizara ya fedha hawajampa kazi ya maana. Ameishia kujiansika kuwa ni Fiscal Policy Psychologist: Legal & Tax Expert. Hakuna cheo kama hicho Serikalini
View attachment 2077893
Moderation kwenye mijadala ya bunge na kupanga kamati za bunge ndio majukumu muhimu ya spika wa bunge kazi nyingine zinapaswa kufanywa na kamati na watumishi wa bunge. Kinyume na hapo lazima kuwepo na mikanganyiko. Pia maamuzi ya spika yanapaswa kuegemea zaidi maamuzi ya kamati za bunge na wingi wa kura bungeni, yeye ni tofauti sana na Kiongozi wa mhimili wa serikali.Sio moderation tu, ni pia kukagua hadhi ya hoja zinazojadiliwa na zinavyowasilishwa na kuhakikisha sheria zinalindwa. Na kama kiongozi wa mhimili, ana majukumu mengi, hivyo elimu ni muhimu.
Sifa kubwa ya masikini wa mali na akili ni kumchukia aliyenachoHuyo ni sociopath, siyo mzima. Hata ukiangalia hizo degrees zake huoni mpangilio wa kuwa alikuwa anataka kuwa nani. Una MBA ya managerial economics halafu unasoma Msc ya Finance.
Halafu una LLM ya Tax then unasoma LLM ya procedural law ili uwe nani at once?
Angalia hapa ana PhD ya Finance halafu ameweka na ya Juris Causa nna PhD nyingine B's.
Kwenye business card anaonyesha mpaka anakoishi Bunju Mabwepande.
Hapa hakuna msomi na ndiyo maana hata Wizara ya fedha hawajampa kazi ya maana. Ameishia kujiansika kuwa ni Fiscal Policy Psychologist: Legal & Tax Expert. Hakuna cheo kama hicho Serikalini
View attachment 2077893
Mtu yoyote anaedhani huyu jamaa anafaa kuwa Speaker basi ana matatizo ya akili
Anatoka jalala lipi mkuu huyo ni mtumishi wa serilikali hazina ni jalala?Huwezi ukaokota watu tu jalalani na kuwapa nafasi nyeti kama ya Uspika, hata awe na degree 100!! Ni kama vile wewe huwezi tu ukaona mtu kwa mara ya kwanza and kwa kuwa mwili nyumba unampa kazi ya ulinzi nyumbani kwako, wakati hujui a,b,c,d zake zozote!! JPM hapo kwenye kuamini madegree na wachonga ngenga ndipo paliharibu sana utawala wake hadi alipoanza kushtuka 2019-2020
Mtu yoyote anaedhani huyu jamaa anafaa kuwa Speaker basi ana matatizo ya akili
Hata sijui,huyo atakuwa anarukaruka tu,leo tafiti kesho kufundisha,keshokutwa kuajiriwa,mara kutoa mada kwenye makongamano nkKwa hiyo shule alitakiwa awe na mchango mkubwa sana kwenye nchi yetu. Ametaja eneo moja ambalo hata akiamshwa usingizini anaweza kusema amelibadilisha/ kuboresha/ au kuongeza ufanisi kama mchango wa elimu yake?
Mazungumzo yake tu yametosha kumfahamu
Hizo ni ramli tu huwezi mfahamu prof mwafwenga kwa nazungumzia yake ni mwalimu wangu namjua vizuri