TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

Unajifanya mjuaji wa kila kitu.
Ngowi kaangukuwa na contena
Ni ngumu assassination ya aina hiyo kutokea au kuwepo.

Ingekuwa ajali ya mchongo kama ya sokoine hapo sawa

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Andika kitabu chako cha ujasusi wa kidola na umbea uwe unauza kama Yericko
 
Prof Honest Ngowi aliwapenda wadada weupe wa university sana na ilimfanya mke apate msongo wa mawazo .
Duh!
hii dunia ina mambo. sasa hao wadada ndio wamesababisha kifo chake? au kuna laana ya mjane?
hebu fafanueni tuelewe vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…