Profesa Jay hongera kwa Kuoa ila mbona Mkeo katika Harusi muda wote alikuwa analazimisha furaha?

Kumbeee...basi sio kosa lake aiseeh ilikuwa ni lazima awe hivyo hakukuwa na namna.yani ulale saa nane za usiku then kukipambazuka uanze tena hekaheka za harusi!!lazima mtu achoke aseeh.
Ila dada ni mrembo bhana tuache matani.
Kama anakibendi kweli!amejitahidi sana aiseeh
 
Mleta hoja huo ni umbeya na majungu,kufuatilia ndoa za watu wengine.Tuwekee Clip ya ndoa yako kama unayo na sisi tuikosoe na uone kama utafurahi

Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
 
Mi nampongoza mhe. kwa kuwa na mke mrembo kidogo sio kama Sugu sijui alimuokota wapi yule dada mmh!
Umenena mwaya yani yule mke wa sugu mweh....sura ka jiwe la kusugulia miguu[emoji57] [emoji15]
Afadhali hata faiza alikua hajambo kidogo
 
Wewe yakuhusu nini?! Kama mke wako alifurahi au anafuraha basi hongera, ila kwanza chunguza furaha za mke wako isije akawa anakucheka wewe kwa yeye kufanya mambo yake bila wewe kujua!😉
 
Uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia eeeeh [emoji442][emoji443][emoji443][emoji443][emoji456][emoji447][emoji448][emoji441][emoji441]. Huwez jua rais wa Mbeya kampendea nini bibie Happy. Mapenzi ni zaidi ya uzuri wa sura [emoji12]


Tabia ipi??
labda ya ufi.waji
 
Na huwenda jamaa alisimamia show siku ya send off....

"the highest risk should give maximum profit"
 


Wajanja wa mjini wanasema eti mchepuko wake alikuwepo pale na hakupendezwa na kitendo chake kufika pale. Alituma mashosti wake wamfukuze ila jamaa alidinda na kubaki mpaka mwisho.
 
GENTAMYCINE umelala kamanda maana sio kwa mitusi hiyo mwambwa..

Nimewachokoza ' makusudi ' baada ya kuona ' Jamvi ' la JF lilikuwa limedorora na kupoa hivyo nikatafuta tu mbinu ya ' kulichangamsha ' na kuwaamsha ' Wadau ' na nashukuru sasa naona baada ya kuweka huu ' uzi ' jamvi sasa limechangamka kama ambavyo nilitaka.

Huyu ndiyo GENTAMYCINE ' Talented and Charismatic Fella '.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…